Watu weusi waliwakosea nini Waisrael

Mkuu hebu ifike mahali nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe vivyo hivyo! Lakini nilitahadharisha kabla jamani; tukianza kufukua makaburi ya "manabii na mitume" humu tusije onana wabaya au kwamba tunatusi dini za watu; maana kuna "mabomu" mengine ya mitume yakiwekwa hapa "mbingu na ardhi zitatikisika"; tahadhari hiyo.

Ok, labda mimi sijui maana ya neno zinaa! Kwa tafsiri rahisi, nijuavyo mimi, uzinifu au zinaa ni kwa alieoa/olewa kutembea nje ya ndoa. Naomba tukubaliane hapa kwanza au kama tafsiri yangu sio sahihi nifahamishe tafadhali.
Zina ni tendo la ndoa, wanaloanza kufanya watu wawili kwa siri,kabla kutambulika na mamlaka husika za kifamilia na kutolea baraka.Lakini ikiwa tendo,linafanyika baaada ya mamlaka husika za kifamilia kukutana na kukubaliana,hiyo haiitwi zinaa,na ndio ukaona katika dini zote duniani,ikiwemo uislamu,waliokwisha kuwa mume na mke,baada ya mamlaka za kifamilia,kukubaliana kama wahusika ni wanando,wanahesabika ni wanandoa.Ndio maana dini zote, kokote ulimwenguni wanandoa,wanaohama kutoka dini moja kuingia dini nyingine,wanahesabika ni wanandoa sio wazinifu.Nina uhakika hujawahi kusikia leo kanisani kuna ndoa ya waislamu,au wamasai au wazungu au...waliongia ukristo wanaozeshwa upya.Na kwenye uislamu ni hivyo,hujawahi kusikia wanandoa wakristo au...wanaozeshwa upya.
Kwa hiyo uelewe ndoa,ni makubaliano ya jamii husika,wenye mamlaka na jamii,kujiwekea utaratibu ndoa ifungwe vipi.
Hapo kwa Nabii Ibrahimu,ingekuwa ni uzinifu,mke wake,asingejuwa kama mumewe,aenda fanya tendo la ndoa,lakini yeye mwenyewe mke ndio amemtaka mumewe,afanye hivyo,ni kwamba tayari mamlaka husika ya kijamii,imeshatoa idhini ya Ibrahimu kumuoa mjakazi wake,na kila,akiwemo mkewe wa kwanza,walifahamu kama Ibrahim,anamuoa mwanamke fulani.
Kwa hiyo ukisema kama uzazi wa Ibrahimu kupitia mwanamke huyu, ni wa zinaa,basi hapata bakia mtu yoyoye duniani hata mmoja,akiwemo wewe mwenyewe, kuwa ni uzao wa zinaa,kwasababu babu zako,walioana kabla ya kuingia ukristo, je waliona kivipi,na ikiwa walikuwa hawana dini.
 
Waarabu Wazungu wote ni racist tuu kwa watu weusi. so KUWAZA ni Israel pekee ni ujinga uliopindukia na ni mjinga pekee anayeweza anayepinga hili
Hawa waarabu weupe,ni machotar, waarabu wa asili weusi na wazungu waliopelekwa utumwa nchi za kiarabu,wakaoana na kuzaana,ndio wakazaliwa hawa weupe.Waarabu ndio taifa pekee duniani,liliopoteza uasili wake.Wamebakia wachache sana waarabu weusi duniani.Kiko kisiwa karibu na nchi ya Yemen,kinaitwa scotra,hapo ndio wanapatkana waarabu weus,wachache.
 
najua na wanabaguliwa pia Issue ubaguzi ni ubaguzi tuu no matter what
Kwa anayefahamu hawezi kumbaguwa muarabu mweusi,mwarabu mweusi ndio mwarabu mwenye hasa.Hawa weupe ni machotara,baada ya waarabu weusi wa asili,kuoana na watumwa wa kizungu,kutoka ueusi,Uturuki,Armenia,na ulaya mashariki,ndio wakazikwa machotara weupe.Waarabu weusi wapo wachache,wengine wall kwenye kisiwa katibu na Yemen.
 
Umenena ukweli. Hawa ni vibaraka wa mwarabu wanaotaka kutuingiza kwenye mtege wa kitoto ili nao tuwashabikie. Akili zao za kitoto sana. Alipoanza kuandika tu nilijui kuwa ni jamaa wale wa kuvaa makanzu ( Vibaraka vyam mwarabu) na propaganda zao.
Hata Yesu akivaa kanzu, Anglia biblia,kanzu imeitwa vazi takatifu.
 
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
mkuu, kwanza muisrael original ni black. na siyo mzungu. muisrael mzungu ni machotala na ndiyo waliojaa israel sasa hivi
 
Kwani mkuu wale walioko pale Israel ndio waisrael wa zamani?

Wale ni waisrael fake original huenda ni 1.9%
Wale watu walio kaa pale israel ni watu wa Mataifa tu hakuna jipya pale.
kweli. waisrael original ni black aseee
 
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Unamsema Ishameli kuwa ni mwana wa zinaa wakati wewe ,mama au babaako waulize vizuri. Ikiwa kwenu mumeruhusiwa kuzini halafu ndoa 90% ya waafrika ni haohao kama Ishamaeli
 
Heil Hitler! , "Heil, mein Führer!" , "Sieg Heil!"
 
Attachments

  • upload_2017-12-15_10-8-13.jpeg
    upload_2017-12-15_10-8-13.jpeg
    8.7 KB · Views: 36
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Tuliwafanya watumwa nchini Misri
 
baraka ya wayahudi ni hapa , hamna muafrika humo ?? BARAKA IKO MJI MKUU JERUSALEM

Umenena ukweli. Hawa ni vibaraka wa mwarabu wanaotaka kutuingiza kwenye mtege wa kitoto ili nao tuwashabikie. Akili zao za kitoto sana. Alipoanza kuandika tu nilijui kuwa ni jamaa wale wa kuvaa makanzu ( Vibaraka vyam mwarabu) na propaganda zao.
Lakini kwa mtazamo wangu historia karibuni yote ya wanadamu ilianza hapa Afrika. Kuna kila sababu ya watu kusema kwamba ktk makabila 12 ya Israel yapo mengine hapa Afrika. Tusikimbilie kwenye kusema eti kuna vibaraka wa waarabu Afrika ikiwa wapo waarabu afrika na wakiwa na mataifa yao kwa mfano: Libya, Egypt, Algeria, Morocco nk.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom