Mkuu sijakuelewa nipe elimu,hivi kama babu,baba wa yakobo, (Ibrahim Na lsaka ) walikuwa waarabu kivipi yakobo naye asiwe mwarabu.
ha ha ha,logic ni kuwa hata yakobo ni mwarabu,
babake mzee ibrahimu ni mwarabu wa kabila la wakaldayo ,pia mamake Rebeka nae asili yake ni hukohuko asyria,
hawa jamaa wanaongea lugha karibu sawa tu yenye asili ya aramaic,
kama ujuavyo aramain empire ilikuwa ni falme kule syria ya leo,so asili yao ndo huko,
jacobo kupewa nickname yaani israel hakubadirishi DNA ndani ya mwili wake,bado atabaki na Dna zilezile tu za wazazi wake,
ndo maana unakuta hakuna kabila la kiisrael au kiyahudi,
wanaongea kiebrania ambacho asili yake ni kulekule mesopotamia,babel.
Ukienda iraq leo hii utawakuta wakaldayo,na waasyria japo wamebaki wachache lakini wapo na wanahifadhi tamaduni zao.
Kiebrania kinachoongewa leo kule israel si sawa na kile cha zamani,
hiki modern walikihuisha karne ya 18,
ukitaka ujue hizi jamii zinaingiliana jaribu tu kujiuliza how come mtoto wa abraham mkubwa aliitwa toka kuzaliwa IshmaEl,
lakini jacobo yeye akapewa nickname,ukubwani lakini ndo imekuwa bigdeal,
how come mfalme wa syria aramain empire anaitwa Hazael ,wakati hakuwa myahudi,?
It means,hakuna kitu kinaitwa mungu wa israel in reality.
Deity El alikuwa ni mungu wa jamii mbalimbali huko caanan,
hizi story za jacobo kupigana mieleka na mungu ni story za kusadikika