Watu weusi waliwakosea nini Waisrael

Umenena ukweli. Hawa ni vibaraka wa mwarabu wanaotaka kutuingiza kwenye mtege wa kitoto ili nao tuwashabikie. Akili zao za kitoto sana. Alipoanza kuandika tu nilijui kuwa ni jamaa wale wa kuvaa makanzu ( Vibaraka vyam mwarabu) na propaganda zao.
Sema mwarabu ndio kibaraka wa myahudi...usichezee myahudi wewe....ninaishi nao ninawajua
 
Hatuna kosa lolote tulilowakosea mbweha wale...sisi ni miungu...wamejilaani wenyewe...na mwisho wa laana yao umefika kwa kuyachafua mambo matakatifu
Nchi ya ki-square metre Chache tu inayachakaza mataifa yote ya kiarabu katika kila vita, iko kwenye list ya nchi zenye majeshi imara kabisa duniani... Sasa hapo tulinganishe kati yao na ww nani mbweha
 
Hivi wewe unaijua airlifting ya silaha kutoka marekani kupewa waisrael ktk vita ya mwaka 1972 ilkuwa kiasi gani?

Hivi wewe unajua ni msaada kiasi gani wa kijeshi Israel anapewa na Marekani?

Acha kabisa ndugu
 
Mbweha wao wao.....kwani miye ndio dawa yao
 
Hivi wewe unaijua airlifting ya silaha kutoka marekani kupewa waisrael ktk vita ya mwaka 1972 ilkuwa kiasi gani?

Hivi wewe unajua ni msaada kiasi gani wa kijeshi Israel anapewa na Marekani?

Acha kabisa ndugu
Stupid.....Mimi Ni muisraael nnajua utumbo huuu
 
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Watu waliokosa maarifa na elimu ya manabii pasipo kuchanganya uzushi na matamanio ya nafsi zama hizi ndio wasemaji katika jamii kwa mfano huo utawaona hawana jambo lolote LA kujihimiza katika kuitafuta elimu juu ya manabii na mitume wa mwenyezi mungu.
 
Sisi ni isaka....tumewashinda
 
Wanachukia weusi maana weusi ndio uumbaji wa kwanza wa mungu adam na eva was black ...waisrael ni sons of fallen angels walopindisha kila kitu na kujiita wateule ..blacks are the first creation of God himself..
 
Kama black ni wa kwanza kuumbwa? Mbona akili na matendo yenu hayaendani kabisa na mambo mnayoyafanya kila siku huko afrika??? , wewe jamaa utakuwa umevimbiwa makande vs maharage
 
Waisrael wengi wako Afrika na wachache tu ndio wameenea duniani. Hivo walio israel ni watu ambao wana mpango wa kuhadaa dunia kwamba wao ni wayahudi na kumbe sio. Hivo wanawachukia waafrika maana sisi ni ndugu wa damu na wayahudi na tunafanana hadi rangi na wayahudi hivo kutuchukia ni hofu tu kuwa tunaweza kuamua kuwatoa na kuwarudisha wenye nchi na inawezekana wanawatafutaga wayahudi orijino ila tumewaficha ndio maana wanatuchukia ss
Wewe umetufungua akili sana,na ndio ukweli huo.Pale mashariki ya kati yote,walikuwa weusi,ila nyele zao,ziko za mawimbi,hata waarabu asili yao ni weusi,ila baada ya kuingia,watumwa wa kizungu,na kuona nao, ndio,walapatikana hawa machotara wa kiarabu weupe.Waarabu wa asili wamebakia wachache,kiko kisiwa karibu na jchi ya Yemeni,kinaitwa scotra,ndio wamebakia wachache waarabu wenyewe hasa, weusi na nyele za mawimbi.
 
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?
Hawa hata Yesu,hawamtaki,wanamwita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Duh, ndugu usiandike tu ili kufurahisha nafsi. Wana wa Israel ndio watoto wa Mungu utake usitake. Na kwa sisi tunaojua unapomuomba Mungu ili aweze kusikia haraka moja ya maombi yako umtaje kuwa Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka, Mungu wa Iblahimu, Mungu wa Yakobo na mengine mengi Mkuu. Atakae ichukia Israel na Mungu atamchukia pia. Suala la Mashariki ya kati liliongelewa kwenye biblia, hao wapelestina ni wana wa Ismail ambao katu hawatakuja kupatana na wana wa Isaka ambao ni Israel(Yakobo). Taratibu mkuu, hujui maana tutakujuza. Ukiende kwenye baraka, yeyote atajae wabariki waisrael nae atabarikiwa Duniani na Mbinguni.
Tusikubali tu wamebarikiwe,vile vile ,tuungane nao, katika kumkataa Yes,na kumuita mtoto wa nje ya ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom