Watu weusi waliwakosea nini Waisrael

Naona "waarabu" koko mmejipanga kweli kweli kwenye huu uzi. Poleni.
ha ha ha,waarabu koko tuko wengi kweli uende mbarali hukosi mwarabu,mpanda,kilosa,taveta,kirinyaga etc,
sasa wewe mwisraeli koko mko wachache mno,Tanzania nzima utakuta labda wako watano tu,halafu mnajisifiaga eti mmetawanyika dunia nzima,
abraham mwenyewe mwarabu,
isaka,ismaeli wote waarabu wale,kasoro yakobo japo mamake Rebeca nae ni mwarabu pia,,ha ha ha
 
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
Nina mashaka na ubongo wako.... unasemaje kwamba israel ndo baraka.... baraka ni MUNGU na aliyekuzaa .... acha boya.

Au unatumia kiungo kingine kufikiri tofauti na kichwa braza.
 
kwa mtizamo wako kumbe hata watoto baadhi wa jacob pia ni watoto wa zinaa juu alizaa na mahausegali wake wawili na hao watoto ni miongoni mwa wale 12 waliounda makabila 12 ya israel,kwanini then waliqualify kuwa wana wa israel kama ni wa zinaa? ....
Mkuu heshima! Sio Yakobo tu, hata Suleiman alioa masuria 800; hebu shangaa zaidi hapo. Vyovyote iwavyo, ni Ishmaeli anayetajwa WAZI WAZI kama "mwana wa mjakazi" aka zinaa. Kwanini? Hilo ni somo jengine pana sana kujadiliwa hapa.
 
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.

Hawatupendi kwa sababu wanaujua ukweli kwamba sisi ndiyo taifa teule la Mungu, na wao ni fake, sinagogi la shetani. Taz. Ufunuo 2-9
 
Mh.....hizo baraka wazipate kwanza wenyewe wawe na amani huko kwao, waelewane na hao wapalestina....Baraka itafute kwa Mungu wako tu aiseee sio kwa wayahudi.......lkn pia huhatoa ushaidi kuonesha ni jinso gani hao jamaa wanachukia weusi...ili tuamini unachokisema
Duh, ndugu usiandike tu ili kufurahisha nafsi. Wana wa Israel ndio watoto wa Mungu utake usitake. Na kwa sisi tunaojua unapomuomba Mungu ili aweze kusikia haraka moja ya maombi yako umtaje kuwa Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka, Mungu wa Iblahimu, Mungu wa Yakobo na mengine mengi Mkuu. Atakae ichukia Israel na Mungu atamchukia pia. Suala la Mashariki ya kati liliongelewa kwenye biblia, hao wapelestina ni wana wa Ismail ambao katu hawatakuja kupatana na wana wa Isaka ambao ni Israel(Yakobo). Taratibu mkuu, hujui maana tutakujuza. Ukiende kwenye baraka, yeyote atajae wabariki waisrael nae atabarikiwa Duniani na Mbinguni.
 
kwa mtizamo wako kumbe hata watoto baadhi wa jacob pia ni watoto wa zinaa juu alizaa na mahausegali wake wawili na hao watoto ni miongoni mwa wale 12 waliounda makabila 12 ya israel,kwanini then waliqualify kuwa wana wa israel kama ni wa zinaa?.
Huoni kuwa unajichanganya mwenyewe hapo?,
as for baraka alizopewa abraham zilihusu uzao wake wote na wala haikuhusu watoto wa yakobo ambao hata hivyo kipindi hicho hata yakobo alikuwa bado hajazaliwa,

jambo jingine uelewe kuwa isaack hakuwa mwisrael wala myahudi,uwage unasoma na kuelewa mkuu
Acha kupotosha, hakuna mtoto wa Yakobo kati ya wale 12 waliokuwa wana wa house girls. Leah na Rahel ndio waliomzalia Jacob wana 12 ambao kwa sasa ndio kabila za Israel
 
Kwani mkuu wale walioko pale Israel ndio waisrael wa zamani?

Wale ni waisrael fake original huenda ni 1.9%
Wale watu walio kaa pale israel ni watu wa Mataifa tu hakuna jipya pale.
Umeongea ujinga usioujua, hakuna muisrael feki ndugu yangu. Kwa taarifa yako, huyu waziri mkuu wa sasa Benyamini Netanyahu, kaka yake ni yule aliendesha operation ya Entebe 45mn. Alikuwa anaitwa John Netanyahu Generally. Tena nikuongezee kidogo ni wajukuu wa mtoto wa mwisho wa Yakobo aliitwa Benjamini, ambaye alizaliwa baada ya kaka yake aliekuwa ndie mtoto wa mwisho wa Yakobo alieitwa Yusuph ambae aliuzwa utumwani Misri. Baada ya vita ya kwanza ya dunia na mpango wa Hitra kuwaangamiza Wayahudi, ndio wakatawanyika na kufika mpaka Ethiopia, Somali na Sudan kwa upande wa Africa. Ulaya ndio walienda kwingi sana. Baada ya vita ya pili 1945 taifa la Israel ndio likaundwa na kupata uhuru. Na adhima ya kwanza ni kuwafanya wote warudi nyumbani, kwa bahati mbaya Urusi ndio ikawa ya kwanza kupinga huo mpango. Sitaki niende mbali, ili nakuambia ukiniletea wazungu elfu 1 ndani yao wawe Wayahudi 3 nitakutolea bila kubahatisha, nakuambia tena walioko Israel wote Wayunani au Wayahudi au Wagalatia, Waefeso, Waebrania, na wengine hawazidi kabila 11.
 
Ina maana mtume ibrahimu alizini

Ina maana isaka na ndugu yake Ishmael wana ugomvi sababu ya urithi

Ase ndugu kama kweli mafundisho yenu yanasema hivyo bora uachane au bora uwe Atheist tu

Halafu mitume hawarithiwi Mali ,mtume akifa Mali yake inakuwa property ya jamii hutolewa sadaka

Ndugu bora uwe Atheist kuliko kufuata mafundisho potofu
Kwani hujui kwamba Sarah alimuambia mume wake azae na kijakazi ili asife bila kupata mtoto. Dini sio siasa, mshazoea siasa basi kila penye blue manasema light blue. Dini yes ni yes na No No!!
 
Waafrika kazi yetu kubishana mambo tuliyo letewa na wakoloni. Tunaonyeshana uwezo wa kukariri mpaka tunachukiana.
 
Duh, ndugu usiandike tu ili kufurahisha nafsi. Wana wa Israel ndio watoto wa Mungu utake usitake. Na kwa sisi tunaojua unapomuomba Mungu ili aweze kusikia haraka moja ya maombi yako umtaje kuwa Mungu wa Israel, Mungu wa Isaka, Mungu wa Iblahimu, Mungu wa Yakobo na mengine mengi Mkuu. Atakae ichukia Israel na Mungu atamchukia pia. Suala la Mashariki ya kati liliongelewa kwenye biblia, hao wapelestina ni wana wa Ismail ambao katu hawatakuja kupatana na wana wa Isaka ambao ni Israel(Yakobo). Taratibu mkuu, hujui maana tutakujuza. Ukiende kwenye baraka, yeyote atajae wabariki waisrael nae atabarikiwa Duniani na Mbinguni.
Hao unaowaita israel leo sio waisrael,wale ni wazungu wanaofata tamaduni za kiyahudi.waisrael wa kweli ni weusi.Utataka ushahidi najua,soma Ufunuo uone Yohana anavyoelezea mwonekano wa Yesu ndio utajua kua hakuna mzungu mwenye sifa alizozitaja.
 
Kawaongopea watoto wenzako, hata kwenye biblia hakuna weusi. Ila kwa laana aliyopewa mtoto w Nuhu alipomchungulia baba yake. Ndio akasema utazaa watoto weusi, sisi nizao la laana. Mwenzako nimekwenda mpaka bethisaida ng'ambo ya mto Yoldani. Wewe kama unaniletea hadithi pole yako. Na nimekutana na watu waliozaliwa 1860, acha uongo wewe sikuona hata muisrael mweusi kama walivyo wahindi na waarabu. Tena uache!!
 
Umeongea ujinga usioujua, hakuna muisrael feki ndugu yangu. Kwa taarifa yako, huyu waziri mkuu wa sasa Benyamini Netanyahu, kaka yake ni yule aliendesha operation ya Entebe 45mn. Alikuwa anaitwa John Netanyahu Generally. Tena nikuongezee kidogo ni wajukuu wa mtoto wa mwisho wa Yakobo aliitwa Benjamini, ambaye alizaliwa baada ya kaka yake aliekuwa ndie mtoto wa mwisho wa Yakobo alieitwa Yusuph ambae aliuzwa utumwani Misri. Baada ya vita ya kwanza ya dunia na mpango wa Hitra kuwaangamiza Wayahudi, ndio wakatawanyika na kufika mpaka Ethiopia, Somali na Sudan kwa upande wa Africa. Ulaya ndio walienda kwingi sana. Baada ya vita ya pili 1945 taifa la Israel ndio likaundwa na kupata uhuru. Na adhima ya kwanza ni kuwafanya wote warudi nyumbani, kwa bahati mbaya Urusi ndio ikawa ya kwanza kupinga huo mpango. Sitaki niende mbali, ili nakuambia ukiniletea wazungu elfu 1 ndani yao wawe Wayahudi 3 nitakutolea bila kubahatisha, nakuambia tena walioko Israel wote Wayunani au Wayahudi au Wagalatia, Waefeso, Waebrania, na wengine hawazidi kabila 11.

Umelishwa matango pori mkuu
 
Most of the world's modern Jewish population, as well as the Yiddish language, come from Turkey and not other parts of the Middle East, according to a new study.

Dr Eran Elhaik of the University of Sheffield used a computer modelling system to convert Ashkenazi Jewish DNA - the Jewish communities historically located in Europe - data into geographical information, which revealed that 90 percent of Ashkenazi Jews descend from the Greeks, Iranians and others who colonised northern Anatolia (now northern Turkey) more than 2,000 years ago before converting to Judaism.

Dr Elhaik said he believed that that three still-surviving Turkish villages – Iskenaz, Eskenaz and Ashanaz – located in north-eastern Turkey made up part of the original Ashkenazi homeland and formed the nucleus that developed the modern Jewish language of Yiddish.

"We identified 367 people who claim they have two parents who are Ashkenazic Jews and we divided them into people whose parents only speak Yiddish and then everyone else," Eran Elhaik, the leader of the research, told Wired.

The three villages all derive from the word "Ashkenaz", which is the root of the word "Ashkenazi". Elhaik told Wired that north-east Turkey is the only place where the four place names exist.

Scholars had previously identified Yiddish as originally a Germanic or Slavic language, but Elhaik and others believe it was more likely developed in the 8th and 9th centuries CE, by Jewish merchants trading along the Silk Roads linking China and Europe.

Elhaik noted that the results were "surprising" as the area does not have a "rich history of Jews".

"We conclude that AJs [Ashkenazic Jews] probably originated during the first millennium when Iranian Jews judaised Greco-Roman, Turk, Iranian, southern Caucasus, and Slavic populations inhabiting the lands of Ashkenaz in Turkey," said the latest research, which has been published in the journal Genome Biology.

"Our findings imply that Yiddish was created by Slavo-Iranian Jewish merchants plying the Silk Roads between Germany, North Africa and China."

The debate over the ethnic origins of the Ashkenazi Jews has been fiercely fought by Jewish nationalists, Palestinians and anti-Semites all of whom argue that the resolution of the issue would impact on the claims of Jews to the modern land of Israel.

The theory that modern Ashkenazi Jews were originally converts from the ancient kingdom of Khazaria in Central Asia - and thus have no ancestral genetic links to the Biblical kingdom of Judea and the original Twelves Tribes of Israel - has been touted by some anti-Zionists as a means of denying the Zionist claims to historic Palestine.

Other research, however, has revealedcommon genetic ancestry between Ashkenazi Jews and other Middle Eastern ethnicities, including the Palestinians.

“The closest genetic neighbours to most Jewish groups were the Palestinians, Israeli Bedouins, and Druze in addition to the Southern Europeans, including Cypriots,” wrote Harry Ostrer, professor of pediatrics and pathology at Albert Einstein College of Medicine in the Bronx, New York, and Karl Skorecki, director of medical and research development at the Rambam Health Care Campus in Haifa in the journal Human Genetics in October 2012.
 
Kawaongopea watoto wenzako, hata kwenye biblia hakuna weusi. Ila kwa laana aliyopewa mtoto w Nuhu alipomchungulia baba yake. Ndio akasema utazaa watoto weusi, sisi nizao la laana. Mwenzako nimekwenda mpaka bethisaida ng'ambo ya mto Yoldani. Wewe kama unaniletea hadithi pole yako. Na nimekutana na watu waliozaliwa 1860, acha uongo wewe sikuona hata muisrael mweusi kama walivyo wahindi na waarabu. Tena uache!!
Close minded,na yule mke Musa aliyeoa mpaka ndugu zake wakaanza kumsimanga alikua rangi gani tena?Kizazi cha baba yako mababu zako ndio chenye laana sio hiki changu.

Genetically speaking,the black race is the most superior race for your information.Hao wayahudi wako na wazungu unaowaabudu wamepata hiyo rangi ambayo unatamani uwe nayo sababu wana upungufu wa melanin.

Unajifanya sio mtoto wakati hata kuandika hujui,Yoldani ndio wapi?
 
Mbona hawa waisrael hawatupendi? Tuliwakosea nini? Mbona wanatuchukia sana sisi weusi? Tatizo ni lipi? Tutabarikiwa na nani ikiwa wao ndio 'Baraka'? Tafadhari kwa anayejua chanzo cha ugomvi wetu atujulishe ikiwezekana tukawaombe msamaha nasi tupewe 'Baraka'. Swali langu ni kwanini hawatupendi na tuliwakosea mini zamani.
haueleweki, waisrael wamekufanya nini wewe kama mtu mweusi?....ungeniuliza waarabu waliwakosea nini waisrael kwasababu israel kila ikitaka inawapiga makonzi ipendavyo...hapo ningekuelewa. wa kulalamika anayeonewa zaidi hapa ni mtu mweusi au mwisrael? funguka manake inaonekana kama wewe ni ISIS unatafuta pa kutokea, au utatafuta recruits.
 
Arabic propaganda! Isaka adui yake namba moja ni Ishameli mwana wa zinaa aliyetaka kupora haki yake ya urithi! Huo ndio ukweli hayo mengine propaganda za kutaka kutafuta support za kijinga! "Bwana akiwa upande wao ni nani atakuwa juu yao"?

Unaijuwa genealogy ya Jesus? Nenda kaisome utueleze vipi Jesus anapewa baba wakati hana baba.

Ukimaliza tupe kisa cha Tamar ambae yumo humo kwenye list ya wazazi wa Jesus.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom