Natafuta wa kumsajili BASATAKuna unachochimba sijui n nn😂
Mchukue pimbi Intelligent businessmanNatafuta wa kumsajili BASATA
Mi nataka malkiaMchukue pimbi Intelligent businessman
Mchukue mleta madaMi nataka malkia
Unatakiwa ujue namna ya kulitumia jicho lako vema.Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Kuna namna tu mtu unakua hupendi kero wala kupigizana kelele na watu,. So wanachukulia kama AdvantageUnatakiwa ujue namna ya kulitumia jicho lako vema.
Kuna namna fulani ukimkata mtu jicho, lazima awe makini na maneno ya shombo
Yaani sijui huwa wana shida gani aiseeOfisi nyingi za serikali . Huwa nashangaa tunawalaumu wanasiasa tu.
Hata walimu na manesi wanakauli mbaya saana.
Tembelea shule ya serikali uone watoto wanavyokuwa treated utashangaa. ...au mama wajawazito utashangaa.
Baby niambie wamekujibu nini..?Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Shida ni kwamba wanakujibu jeuri na hadi kukutukania mzazi kwa kitu ambacho kama mtoa huduma inabidi akuelekeze tu mambo yanaenda sawa,. Na hata ya soda mtu unaweza kumwachiaUnapokelewa jinsi unavyokwenda. Ukienda na tabasamu pekee wanakujibu na kejeli. Ukienda na bakhsishi unaenziwa.
Hakuna sehemu ya ovyo na iliyojaa rushwa kama NIDA.
Nilishuhudia kwa macho yangu mrundi akipitishwa kwenye process zote mpaka kupigwa picha na alama za vidole kwa Tsh 30,000 tu.
Mkuu huwezi amini wamenitukania hadi mzazi kwa suala ambalo ilibidi nielekezwe kwamba anzia hapa ukitoka hapa nenda pale na vitu kama hivyo. Sema hqkuna tatizo am coolWalikujibu nini ili tujipange na sisi kuwajibu hivyo hivyo ili walie vizuri
Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
We acha tu aisee,. Wamenitukana kisa tu sikuwa na nakala ya Tangazo wakati vitu vingine vyote nlikua navyo na nlikua sijui utaratibu wake unakuwaje (kuna taarifa zinatakiwa kurekebishwa kwenye utambulisho wangu) ,.Wamesemaje 😁