Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,722
- 62,689
- Thread starter
- #101
Asa mtu atakupa chochote akipendezwa na huduma yako.. Au laah apewe utaratibu kwamba hapa itahitajika hela kiasi kadhaa mtu anajua mojaPole. wengi wao unakuta wanajitolea hapo hivyo kuna muda wanakuletea namna gani vipi ili tu uingie mfukoni wapate chochote.