Watu wa NIDA wana majibu ya hovyo jamani..

Watu wa NIDA wana majibu ya hovyo jamani..

Kama kuna mtu mkubwa wa nida naomba mniungamishe naye Sina lengo baya mm nataka wanirekebishie majina, vielelezo vyote walivyoomba nimewapatia ila wamegoma kunirekebishia jina langu. Nimeenda Hadi ofisi ya Dodoma mjini pale nikakutana na viazi sijui vimeajiriwa kwa kupelekwa na ndugu zao sijui...yaani ndio hawajui chochote. Tangu mwaka juzi, nimebakiwa na copy ya barua zao na zangu na nyaraka zingine...Nina hasira nao washanitia hasara sana
 
Mkuu huwezi amini wamenitukania hadi mzazi kwa suala ambalo ilibidi nielekezwe kwamba anzia hapa ukitoka hapa nenda pale na vitu kama hivyo. Sema hqkuna tatizo am cool
Inasikitisha sana pole,tusi la mama ni Kali sana
 
sasa kama mtu analipwa laki tano na ni graduate na ana mke na watoto unategemea nini? huko na huko mkuu flani anaingiziwa bilioni kwenye akaunti bila sababu ya msingi,unadhani wao hawakasiriki kusikia hayo? kuandamna hawawezi kuacha kazi hawezi ndio wakikufumania wewe kwenye anga zao unakula za uso as if mligombania mademu, ila pigweni tu maana ndio maisha mliyochagua.
 
Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo

Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭

Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
No Reforms No Election
 
Hahaha ndio maana nasisi tulikataa kwenda kuchukua vitambulisho, ukienda wanakuzungusha wanajidai wao ni first class citizen wengine sisi manyani.

Wakasema wana zuia matumizi ya number ili tuvifuate, ukienda kukifuata utadhani umeenda kubisha hodi mbinguni.
 
Duuuuh nida ofisi ipi mkuu?
Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo

Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
 
Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo

Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭

Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Badala ya kulaani, ungesema shida yako usaidiwe au zama pm
 
Back
Top Bottom