LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,368
- 6,487
Hahahahahahahaha. Mwongezeee majibu alie kabisa hahahahaYule jamaa aliekujibu vibaya ni mimi.
Hahahahahahahaha. Mwongezeee majibu alie kabisa hahahahaYule jamaa aliekujibu vibaya ni mimi.
Sema kanipa no zake baada tampigiaWe shetani kweli(in mzee mpili voice)
Usirudie kumjibu huyo binti vibaya nitakuroga
Hiyo kazi niachieHahahahahahahaha. Mwongezeee majibu alie kabisa hahahaha
We nida sioSema kanipa no zake baada tampigia
Kwani nayeye ni Lucas Mwashambwa?Umeambiwa nini bro hadi ukabubujikwa chozi
Ngoja tuangalie namna ya kumpooza mtoto mzuriWe nida sio
Upo sahihiOfisi nyingi za serikali . Huwa nashangaa tunawalaumu wanasiasa tu.
Hata walimu na manesi wanakauli mbaya saana.
Tembelea shule ya serikali uone watoto wanavyokuwa treated utashangaa. ...au mama wajawazito utashangaa.
😂 ila we jamaa fala sanaNgoja tuangalie namna ya kumpooza mtoto mzuri
Wamekujib nini mkuuHawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Ni kweli kabisa. Inasikitisha sanaOfisi nyingi za serikali . Huwa nashangaa tunawalaumu wanasiasa tu.
Hata walimu na manesi wanakauli mbaya saana.
Tembelea shule ya serikali uone watoto wanavyokuwa treated utashangaa. ...au mama wajawazito utashangaa.
🤣🤣🤣😂 ila we jamaa fala sana
NIDA TanzaniaHawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Kuna unachochimba sijui n nn😂
In this land where shadows fall deep,That is why my only goal now is to make loads of cash and take my whole family out of this irredemably dysfunctional cursed and Godforsaken country.
Majority of folks merely exist in this retarded nation very few people are truly living.