Ndio uoga tunao sema ulishindwa kuwapa live pale pale? yaani wamekujibu hovyo umekaa kimya umekuja humu na fake ID kullalamika? ndio sehemu ya kulalamikia? ulishindwa nini kulalamikia pale na kuwapa Black and white? Tuache huu upoyoyoHawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Wamekujibuji 😄Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Na hilo ndiyo tatizo letu la watanzaniaNdio uoga tunao sema ulishindwa kuwapa live pale pale? yaani wamekujibu hovyo umekaa kimya umekuja humu na fake ID kullalamika? ndio sehemu ya kulalamikia? ulishindwa nini kulalamikia pale na kuwapa Black and white? Tuache huu upoyoyo
kumbe legend upo bado, hii profile sijaiona kitambo sana.Ofisi nyingi za serikali . Huwa nashangaa tunawalaumu wanasiasa tu.
Hata walimu na manesi wanakauli mbaya saana.
Tembelea shule ya serikali uone watoto wanavyokuwa treated utashangaa. ...au mama wajawazito utashangaa.
Wajibu wengine vibaya ila sio huyo binti, sawa mkuu? Tumeelewana? Usirudie mkuuYule jamaa aliekujibu vibaya ni mimi.
Alileta fomu nikajaza zile taarifa wakati nampiga picha akaniambia niweke filter ndo nikamjibu vibayaMkipigwa mnasema wanajeshi wakorofi
Hilo la mama wajawazito kamwe halitabadilika na ni haki yao wapumbavu sanaOfisi nyingi za serikali . Huwa nashangaa tunawalaumu wanasiasa tu.
Hata walimu na manesi wanakauli mbaya saana.
Tembelea shule ya serikali uone watoto wanavyokuwa treated utashangaa. ...au mama wajawazito utashangaa.
Mkuu yule mdada uliemlala tar 1 mwezi wa nne saiv mimba yake ina wiki saba😂Wajibu wengine vibaya ila sio huyo binti, sawa mkuu? Tumeelewana? Usirudie mkuu
TBLVinywaji gani bro si ungeniita.....
Pole, alafu hao watu wamezidi sana huu mwezi wengi sana naona wanalalamika kuhusu watu wa nida.Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
Idara zote za, serikali wapo hivyo,Hawa watu sijui wanajikutaga kina nani,. Wana majibu ya dharau mnooo
Sikuwahi kuwaza kama nitakuja siku nilie kwasababu ya stranger kuniambia maneno ya hovyo😭😭😭😭😭😭😭😭
Wafanyakazi wa Nida mlaaniwe
We shetani kweli(in mzee mpili voice)Mkuu yule mdada uliemlala tar 1 mwezi wa nne saiv mimba yake ina wiki saba😂