Watu ndani ya Mlimani city Mall

Watu ndani ya Mlimani city Mall

Tatizo la watu wa dar hawaishi maisha ya kiuhalisia. Unamkuta mtu mchana kapendeza kweli kweli kumbe usiku anajibanza kwenye kona na walinzi alafu analalia mabox. Shuka la masai anatembea nalo kwenye kibegi kidogo. Nguo zingine ziko kwa dobi. Maisha gani hayo???
 
Watu wa mkoani shida mno ndio maana umasikini unazidi huko kwenu. Kwani mtu aki pretend maisha mengine wewe inakuuma nini au inakuzuia nini kwenye harakati zako za kutafuta hela? Mwache aigize maisha ambayo sio yake wewe ishi yako ambayo ni halisi ili ufanikiwe zaidi. Mimi muda wa kuangalia mwenzangu anafanya nini ni kwa nadra sana tena nikiwa na muda na ni kwa kujifunza tuu sio kukasirika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo tatizo letu. Tumechelewa vitu vingi sana.
Ndiyo sababu ufunguzi wa Flyover inakuwa tukio kubwa la kitaifa. Hao wenye zaidi ya 50 watafanya nini?
Kupokea ndege moja au mbili ni tukio la kitaifa. Ethiopia wenye ndege zaidi ya 70 watafanya nini?

Vitu kama Mlimani City, vingekuwa kila pembe ya Dar, huo ushamba usingekuwepo.

Kusaini mkataba wa kuuziana mahindi nalo tukio la kitaifa.
 
Timezoea hivyo Mkuu..tisamehe aloo..titajirebisha!
 
Tatizo la watu wa dar hawaishi maisha ya kiuhalisia. Unamkuta mtu mchana kapendeza kweli kweli kumbe usiku anajibanza kwenye kona na walinzi alafu analalia mabox. Shuka la masai anatembea nalo kwenye kibegi kidogo. Nguo zingine ziko kwa dobi. Maisha gani hayo???
Hahahaaa mkuu umeua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timezoea hivyo Mkuu..tisamehe aloo..titajirebisha!
Ndege nyingine inaletwa mwezi huu, tujiandae kwenda kuipokea kuanzia Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Speaker wa Bunge, Jaji Mkuu, CDF, IGP, nk.
 
ndo maana unaambiwa kuishi dar tu tayari ni elimu ya form four!

hadi kuingia mlimani city kununua bidhaa mule lazima uwe unaconfidence kwanza ya juu!

watu wanapanda magari temeke wanenda nunua ICE CREAM mlimani city!

mlimani city kama ulikuwa hujui chumba kidogo kabisa cha biashara kwa mwezi Mil 14!
Mhuuu i doubt kama kuna chembe ya ukweli kuhusu kodi ya 14m kwa chumba kidogo mkuu
 
Back
Top Bottom