Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,552
- 64,959
Huyo bado ni kifaranga, tunataka miteteaJF nzima hamna mtoto mzuri kama Mtoto wa Shule, katoto laini..... hebu katafute ukajichapie
Kwa nini walimuita hilo jina Yesu, na sio matata, matatizo, masumbuko?Wanampenda YESU watoto wazuri.
Hana tofauti na twiga porini
Hutaki mtoto mzuri wewe?kwa kweli sisi zetu ni dua tu
Ndio mimi.
Nimezurura sana, siwaoni au watakuwa wanajikinga na mvua za elnino?Jirani hakuna watoto wazuri?
Wapo wamejifungia ndani tuJf watoto wazuri ni wachache mno
Kwasababu jina sio la kawaida linatenda mambo makubwa.Kwa nini walimuita hilo jina Yesu, na sio matata, matatizo, masumbuko?
Mtoto pano pano huyu.Hana tofauti na twiga porini
Ebu fanya muujiza mmoja, kila mwanajf humu apate angalau vocha ya 500Kwasababu jina sio la kawaida linatenda mambo makubwa.
Yupo anakusikiaMtoto pano pano huyu.
Sarata kabisa huyu.
Hawa si ndo huwa wanasema waficheni wanaume zenu ndani.
Kumbe ni Demu na sijui bhana.Yupo anakusikia
Hahahhhhh kizazi kibaya hiki kinapenda miujiza ya hele, nawaambie hamtapata ng'o kama hamtafanya kazi kwa bidii.Ebu fanya muujiza mmoja, kila mwanajf humu apate angalau vocha ya 500