Watoto wa Slaa ndani ya bunge

Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Zomba ni zobaaaaaaaaaaaaaaa tu hamnazo
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Unamjuwa jamaa anaitwa Miraji Kikwete?
Je ni mtoto aliyezaliwa toka tumbo la Salma Kikwete?

kila siku mnaambiwa msikurupuke, mtayafukua yaliyokuwa yashazikwa
 
Sasa kwnn amemuacha mama yao watoto wanahitaji mapenzi ya baba jamaa zinzi kweli halafu alikuwa padri na hao watoto walipatikana kipindi akiwa padri ni aibu kuwa na kiongozi anayeshndwa kuishi kwa imani
 
naona coment za walio wengi, wanashangilia kwan awo watoto wana nn,cha ajabu??uku kuna mazuzu sana,sioni jambo la kushangilia apo, ni wageni wa bunge kama walivyo wageni wengine,acheni ...n.jnn bnnbbv,wenu.
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Huyu nae wa pori gani?wa mr dhaifu ni wandani ya ndoa et ee..aaaagh
 
Wewe unataka kuongozwa na huyu:

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Sasa uyu babu yetu si Ndio akili zake zitakua zimerukaa kabisa maana maisha yake yote amezinii
 
akyanani tamaduni tofauti kweli
kuna maeneo ni 'aibu' kubwa mwanamme kujadili mwanamme mwenzie anavyotia wanawake.

Huo muda bora alime hata mchicha.
 
Mkuu wa MGAMBA anao watoto wangapi "wa Ndani" na wangapi wa "Nje?"

Ambao wanatunzwa na kusomeshwa na kodi zetu bila ridhaa ya watanzania, bora wa Dr. wako wazi na alizaa na mwanamke wazi si kwa kificho.
 
kikwete ana watoto wangapi wa nje? unajua nachingwea kikwete ana watoto wangapi? ulishawahi kumuona yule mtoto wa kikwete wa masasi zezeta yule?wacha ulofa zomba,njaa zako zitakuletea matatizo,usituletee mambo yako ya kitahahira humu jf.Watakutuma hadi kufua vyupi za wake wa viongozi wa magamba kwa uzezeta wako.

Na wa Malecela wako wangapi? Tusitukane wakati tuna makovu tena makubwa. Waambie wasafishe kwanza NDANI mwao mkuu kabla hawajamtupia Dr. Slaa matope. He is clean so far maana hajafuga vimada kama walivyo viongozi wenu waandamizi kila siku kutumia rasilimali za serikali hadi magari kuhudumia nyumba ndogo lukuki. Ebooooooooooo.
 
KIKWETE ANA MTOTO ANAITWA MWAMVUA ALIPATA DIV 0 KWI KWI KWI:sleepy:

Du mama yake ni wa wapi? Kweli rijali huuyuuuuu simuwezi. Hivi IQ ya mtoto inatoka kwa mama au baba? Maana watoto wake mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!! Private good school kama FEZA but !!! Naye huyu alisoma shule ipi? Kazi ipo.
 
Huwa nikisoma coments zako huwa najaribu kuimagne what kind of man ur...napata tabu kuelewa how do u live with other ppl cuz huwa naona crisis ktk kila utendalo. May God have mercy on u cuz u do thngs out of ur skin! Ur so pathetic,rigid and ignorant! Huwa unanichefuaaa!

he calls himself zomba nahis sio zomba bali ni zombi; ana psychological effects
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Kufikiri kwa kutumia kiwiliwili inaruhusiwa lakini inakupunguzia heshima na utu. Hapo bado kaka. You need to rise above partisan politics...analyse...analyse oh analyse brother, that will cleanse and sanitize your mind and leave us with something worth reading!
 
Kumbukumbu la Torati 23:2

Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Kwani JK anao wangapi nje ya ndoa? Wengine matahaira!
 
Back
Top Bottom