Watoto wa Slaa ndani ya bunge

Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Mie nianavyojua kuna mtume mmoja maarufu alizaa suria (house girl) wake!!

LKN ana waumini wanamkubali mno wako hata tayari kufa(na wanakufa) kwa ajili yake!...

Wataka kuniambia waumini wa dini hii wanamkubali mzinzi kuwa kiongozi wao?
 
aliwatambua kwa jina la Baba yao au mama yao?

Kwani Rose Kamili kaolewa na nani hivi sasa au watu wanajipigia tu? Na yule viti maalum mwingine Mary Mwanjelwa hivi nae kaolewa maana nae ana watoto wakubwa tu.
 
sometimes sielewi.... hivi wangekua watoto wa JK, pinda nk. tungesema nzuri?

mi sioni faida ya hawa wanasiasa kupeleka mambo binafsi kwenye majukumu yao... ingekua kampeni sawa but not during snsitive times kama hizi
 
Naibu spika wa bunge baada kipindi cha maswali na majibu ametambua uwepo wa watoto wa Dk. Wilbroad slaa aliozaa na mke wake wa zamani Mbunge viti maalumu Mh.Rose kamili kupitia CHADEMA
Hizo ni fitina za Rose kamili ili apate uungaji mkono wake wa kusimamisha ndoa ya Dr slaa.Kama utakumbuka moja ya madai ya Kamili ni kuwa hapati huduma ya watoto,hivyo leo amewapeleka bungeni ili apate sympathy.Hata hivyo hawata mweza Dr slaa kwani yeye ni mpambanaji,ninao ushahidi mkubwa kuwa hao watoto mara nyingi wanakuwepo kwa baba yao yaani dr slaa.Kamili anatumiwa na magamba kumchafua slaa.
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Kikwete aka Mr dhaifu anaowangapi nnje ya ndoa au unataka tuweke majina yao hapa na wengine wameathirika tangia utotoni
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Yap yap, tufanye haraka ili aliepo pia atoke manake atakua hakidhi vigezo!!
 
Mimi najiuliza Ikulu watatumia kiasi gani kugharamia futari musimu huu wa mwezi mtukufu, kwa sababu nyomi la pale huwa sio la kawaida??

Teh teh te teh watu mnaona mbali jamani

Sent from my BlackBerry 9910 using JamiiForums
 
Hizo ni fitina za Rose kamili ili apate uungaji mkono wake wa kusimamisha ndoa ya Dr slaa.Kama utakumbuka moja ya madai ya Kamili ni kuwa hapati huduma ya watoto,hivyo leo amewapeleka bungeni ili apate sympathy.Hata hivyo hawata mweza Dr slaa kwani yeye ni mpambanaji,ninao ushahidi mkubwa kuwa hao watoto mara nyingi wanakuwepo kwa baba yao yaani dr slaa.Kamili anatumiwa na magamba kumchafua slaa.
hao watoto ni wa umri gani?
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Wewe unataka kusema sheria wa kuwadhibiti wagombea urais? Unataka kusema CCM wametawala Tz hawajawahi kuweka sheria huku ni kukidhalilisha chama tawala la serikali zake zilizopita. Sheria na taratibu zipo kuhusu maadili, umri, uraia na afya ya mtu. Lakini wewe kama unataka zitungwe sheria na taratibu zinakidhi matakwa yako na ya wanaofanana na wewe sawa. Lakini najua serikali zetu na taasisi zilishaweka sheria uzizishushie hadhi kiasi hicho
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.

Kwani baba Aisha, Aisha ni mtoto wake wa ndoa? Tukiliingiza hilo kwenye katiba mpya hakuna mwanachama hata mmoja (kwa wale wanaowania urais) wa CCM atakaye qualify!!
 
Mambo ya Walawi 20:10
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.

Sio kila kitabu kitakatifu kinafundishwa kwa kukaririsha vingine vina waumini wanaotumia REASON kama hiki ulichonukuu. Bahati mbaya naona shule hiyo imekupita mbali. Na ili uelewe kitabu hicho na vingine vinavyotengeneza Biblia Takatifu sharti uwe mnyenyekevu, uwe na hofu ya Mungu na uwe unaelewa wanyakati na mahali. Kinyume cha hapo ni kuwa Abunwasi. Kuna baadhi ya contributions zako u seem to be influenced by objectivity but this one you have totaly succumbed to vendetta, emotions and megalomenia. Wake up be objective and reasonable.

Kumbuka walipomletea Bwana Yesu yule mwanamke waliyemtuhumu kuwa ni mzinzi. Aliwaambia kuwa yule afikiriye kuwa hajawahi tenda dhambi awe kwanza kumpiga yule mama kwa mawe. Akainama chini akawa anaandika. Huku kuandika ilikuwa ni kuwapa muda kuwa na reason. Inaonyesha binadamu ameumbwa akiwa na sifa kubwa kuliko mnama "capacity of reasonability". Hii ndio wenye fikra kama yako hawana au wameamua makusudi kuifisha. Itumie ili upate kuheshimika kwa wale tunaokufahamu na tusokufahamu
 
kwa kweli inasikitisha sana kwa babu yetu mzee wetu slaa kutelekeza watoto wake aliowazaa.mungu amjalie imani awakumbuke katika maisha yake.
 
Back
Top Bottom