tubadilike-sasa
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 681
- 167
Kumbukumbu la Torati 23:2
Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.
Haramu inakuja pasipo na halali? Sasa halali ilikuwapo kabla? Kwani watoto wa Dr. Slaa walizaliwa nje ya ndoa? Torati? Agano jipya ni batili au? Au katika swala lako unatumia agano la kale tu?