Watoto wa Slaa ndani ya bunge

Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
Mama yake ritz1 yuko wapi?
 
mbona ata watoto wetu wakati huo wanakuwa mashuleni,lakini wanashinikizwa wakaandamane na kina Slaa??
Wanaenda kw sababu ww mzazi mwenyewe hata ada unakua huna kw sababu magamba wenzako wamekukamua vya kutosha.Watoto wanaoenda kwenye maandamano ya CHADEMA ni wazalendo wa kweli kwa sababu wana maono 2nachukua dola
 
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
kikwete ana watoto wangapi wa nje? unajua nachingwea kikwete ana watoto wangapi? ulishawahi kumuona yule mtoto wa kikwete wa masasi zezeta yule?wacha ulofa zomba,njaa zako zitakuletea matatizo,usituletee mambo yako ya kitahahira humu jf.Watakutuma hadi kufua vyupi za wake wa viongozi wa magamba kwa uzezeta wako.
 
KIKWETE ANA MTOTO ANAITWA MWAMVUA ALIPATA DIV 0 KWI KWI KWI:sleepy:
Duh! kumbe Padre Slaa ana watoto wengine wa nje ya ndoa! huyu ndio mtu anaeruhusiwa kugombea Urais?

Kuna kila sababu inabidi Tanzania tuweke sheria za wagombea Urais zinazoendana na maadili ya mgombea na huu ni wakati muafaka kuliongelea tunapojadili Katiba mpya.
 
​tutaanza kumuua kwa mawe ****** maan ni kiranja mkuu wa ngono tanzania
mambo ya walawi 20:10
na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.
 
Vipi huyu alieko madarakani yeye hana?hoja nzuri zomba lakini huoni kama tutawanyima haki ya msingi ya kuongoza baadhi ya watu kwenye jamii, maana huku uraiani kuna watu makini sana ndoa zao zinaangukia kifungu 160 cha sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kama ilivyokuwa kwa aliekuwa Padre (Slaa) japokuwa walitofautiana kitu ambacho ni kawaida kwa binadamu kutofautiana (hata Mandela anaeheshimika duniani ndoa yake iliingia utata akavuta kitu kingine). Kikubwa hapa inatakiwa tuweke kigezo cha awe na familia mambo mengine jamii husika itafanya judgement based on vigezo ambazo imejiwekea nazo si zingine bali ni mila na desturi maana the way I see mara nyingi watu wanaojulikana huwa inaonekana kama hawastahili kuwa na matatizo katika mahusiano wakati na wao ni binadamu kama wengine.

Wewe unataka kuongozwa na huyu:

Mithali 6:32
Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
 
Luka 16:18
Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.
 
[h=3]Kumbukumbu la Torati 23:2[/h]Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana.
 
Kwani Ritz 1 ni mtoto wa mama Mwanawasha?

Riz si wanje yandoa kwa taarifa yako hata Kama mamayake sio salma......lakini padre kiboko Yao mitoto yote mi3 ya nje yandoa nauyo mjukuu alomzaa juzi nae wanje duu Huyu babu waajabu kweli sijapata kusikia mtu mwenyeumri zaidi ya miaka65 anazaa nje yandoa Huyu kavunja rekodi ya dunia inabidi tupeleke kwenyekila kitabu cha Matukio ya ajabu ya dunia anafiti mle...aowe bs azae hata mtoto mmoja ndani yandoa akiwa na miaka 70 ichokitakua kitukuu chake
 
Back
Top Bottom