Bunge kuthibitisha uteuzi wa makamu wa rais leo

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
DODOMA; Bunge la Tanzania leo Agosti 28, 2026 linatarajia kuthibitisha uteuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania.

Kwa mujibu wa orodha ya shughuli za bunge iliyotolewa, inaonesha kuwa tukio hilo litafanyika baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu asubuhi.

Agosti 26, 2026 Kamati Kuu na Halmashauri Kuu za Chama cha Mapinduzi (CCM) zilimteua Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais akichukua nafasi ya Dk Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu.

Hata hivyo uteuzi huo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania lazima uthibitishwe na Bunge kwa kuwasilisha jina lake bungeni.

1787900693636.png
 
Msukuma aomba wabunge wamthibitishe kwa asilimia 100%
 
Wabunge wanamimina sifa kedekede kwa Deo, sioni anayeponda, wote ni kusifia tu, wabunge bado wanachangia, wanachangia kwa kusifia, hakuna anayesiliba!
 
DODOMA; Bunge la Tanzania leo Agosti 28, 2026 linatarajia kuthibitisha uteuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania.

Kwa mujibu wa orodha ya shughuli za bunge iliyotolewa, inaonesha kuwa tukio hilo litafanyika baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu asubuhi.

Agosti 26, 2026 Kamati Kuu na Halmashauri Kuu za Chama cha Mapinduzi (CCM) zilimteua Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais akichukua nafasi ya Dk Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu.

Hata hivyo uteuzi huo kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania lazima uthibitishwe na Bunge kwa kuwasilisha jina lake bungeni.

View attachment 3658541
Hao sio wabunge hao ni vikarogosi na wapo hapo bungeni kwa hisani ya mwenyekiti wao wa chama na huruma ya msajili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom