FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
Hahaaaaa wala sina huo muda wa kupoteza kusoma kitabu cha shetani na majini ninacho kitabu kikuu cha Mungu YEHOVA Biblia ambacho hata ninyi mmeambiwa mtuulize kwa mambo msiyoyajua tatizo mnajifanya mnajua wakati mungu wenu anajua hamjui ndo maana akawaambie mtuulize sisi tulio tangulia kupata vitabu.
Katika haya ambayo yanakukosesha ufalme wa Mungu ni yepi ambayo, unayafata, be honest:
Wagalatia 5:
18 Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya, uasherati, uchafu, ufisadi,
19 ibada ya sanamu, uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi,
20 husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo, katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia, ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu.