kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 19,173
- 11,623
Acha kupandikiza chuki na magomvi.
Hakuna mkristo mwenye chuki na uislamu.
Mkuu lusungo hio sio kweli jamaa yangu.
Wako WAKRISTO WENGI SANA wenye Chuki na UISLAMU na Ni wachache mno wenye Busara za Kutambua Kuwa Kuna WAISLAMU mamilioni Wenye Uungwana Na Wastaarabu Walioishi na Wasiokuwa waislamu Ktk Mtaa mmoja au Kijiji kimoja maisha yao yote bila ugomvi wwt.
Hizi Chuki tunazoziona Humu JF tu za Baadhi ya WAKRISTO hazijifichi kabisa. Na Km wale WAKRISTO wachache WAUNGWANA wasipowakemea Hao wenzako Mwisho wa Hii nchi yetu Utakuwa mbaya sana.
Kila Vita au Mauwaji Huwa yana Chanzo. Na tulipofikia sasa ni Kubaya mno.
Ungana na Hao wachache Kusaidia Kukemea hizi Chuki Mkuu. Huenda ukaleta MABADILIKO japo Kidogo.
Pamoja Lusungo, usichoke.