Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
Ukafiri ni jina ambalo huwezi kulivua ila mpaka utapokuwa muislam, baba yangu mama yangu hawajawahi hata kunusa harufu ya ukafiri, wewe ni kafiri na ukoo mzima huwezi kubadilika, unadhani mapdri wanavyowatoa marinda kwenye Sunday school zenu unafikiri kwa Muhammad kuna mambo hayo? wewe itakuwa mmoja wa walioolewa na mbwa kama wachungaji wenu wanavyohamasisha nguruwe shoga wewe

Aliyeolewa na MBWA ni baba yako c.h.o.k.o wewe .. Kama mimi ni shoga mlete baba yako na mama yako uone nitakavyowapa mimba za uzeeni... Dini gani inaruhusu kuua? Mkiambiwa dini yenu ni ya kishetani na kigaidi mnatokwa na mapovu... Mauaji yaliyofanywa na alshabab kule kenya ukiulizwa dini yako ukiwaabia kuwa wewe ni mkristo unauliwa,ukiwa muislam unaachwa dini gani hiyo inaruhusu mauaji? ... Hiyo dini inawapeleka pabaya nyie kunguru............... Pumbavu wewe na familia yako,mashoga wewe na ukoo wako nguruwe wa kizungu wewe
 
Kwa nn msikae mkaelimishana kuhusu dini zenu? Na kama mtu umemuelisha hajaelewa kwa nn usimwache?kuliko kurumbana? Nani anajua yuko sahihi kuliko mwanzie?hebu jifunzeni kutumia jukwaa vizuri,
 
experience kwa nchi zenye matukio ya kujilipua ni kwamba mtu anayeweza kujifunga bomu na kujilipua ni yule ambaye amekulia katika mazingiza tengefu, na kuwa brainwashed kidini tangu utoto wake... kuyu hana reference ya mbayuwayu kwenye ubongo wake.....hajui hata utamu wa dunia..yeye kila kitu cha duniani ni kibaya...akiishachochewa na kukolezwa ndio anapewa bomu ajifunge ajilipue ili awahi akhera....ambako ndio kaaminishwa ndio kuna kuku za kumwaga.....

Mkuu sijui kama hayo unayosema ni kweli,ninavyojua kikundi kilichoanzisha kujiua kwa kujitoa muhanga"suicider"ni Tamil Tiger wao walikuwa wanajua utamu wote wa dunia wala walikuwa hawaamini maisha ya akhera,,,,

Hii ni hadith ya kijana wa kiautralia aliejitoa muhanga juzi huko Syria...,huyu mtoto hauifungiwa wala hakuwa katika dini ya kiislam akiwa mkubwa..

Jake Bilardi, 18, was a high-achieving schoolboy from Melbourne, who converted to Islam after the death of his mother in 2009, when he was 13. He dropped out of school in the middle of last year and bought a one-way ticket to Istanbul, en route to Iraq and Syria

jihadlarge.jpg

wahiya jihas.jpg
 
Vipi bikira ya Maria, mama yake Yesu ? nayo umeikosa?

Ndugu yangu wa imani tafakari maana ukiendelea kuwafuata hawa wagalatia wasiokuwa na akili sasa hivi watakukufurisha!!!

Ikiwa umemkusudia maria mama wa Issa bin Mariam basi tafadhali wacha hizo habari maana maria ni mmoja wapo kati ya wanawake watukufu.

Sisi hatubagui mtume yeyote yule ambaye tuna uhakika alitumwa na mungu maana Quran inasema :-


Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake. (Al-Baqara 2:136, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Kazi ya kutukana manabii wa mungu waachieni watu Wa Galatia 3:1, hawa wamezoea kutukana na kukashifu mitume wa mungu! Mfano Nabii Ibrahim wanamwita Malaya, nabii Ismail wanamwita mtoto Wa zinaa!!

Hawa watu wa Galatia 3:1 hawakuishia kuwatukana na kuwakashifu mitume ya mungu pekee! Hata mungu wamemzarau na kumtukana, huu hapa ushahidi kutoka kwenye Bible:-

Wakorinto1 1:25

Hivyo ndugu zangu Elungata, Ally Kombo tujitahidi tuepuke mtego wa makafiri.
 
Ukisikia uislamu tu, unaibuka! Huna shamba nini maana huu msimu wa kilimo. Achieni watoto waende shule! Munawafundisha misikitini baadaye malalamiko oooh tuko nyuma! Nyuma! nani alikuweka nyuma? Unakuwa nyuma halafu unatafuta upendeleo.

Shamba analo babu yako.
Mi kazi yangu huwezi ijua mtoto km wewe.
Aliyekonyuma Ni BASHA! Na mimi Ubasha Siuwezi ni dhambi kwa Mujibu wa BIBILIA.
Tatizo ni kuwa Wakristo wengi wanapenda sana kuwa Nyuma ya Wanamme wenzao Sijui Andiko la Kufanya Hivyo wamelipata wapi?
 
imani ya ngumi na upanga, tunaijua saaan! Hakuna mungu hapo, shetan yuko kazini!! Hakuna mungu anaemrisha kuuwa wengine!! Dini ya upanga hiyo inajulikana pamoja na ajenda zenu!

MATHAYO 10:34 YESU ANASEMA.

"Na wale MAADUI ZANGU wasiotaka niwatawale WALETENI HAPA MWACHINJE MBELE YANGU!"

Yesu Katoa amri Ya KUCHINJA MAADUI ZAKE Ndani ya BIBILIA leo Unamuita SHETANI?
 
Aisee hiki kitabu balaa.. sasa duniani unaambiwa usifanye zinaa halafu ukienda peponi unapewa vimwana 7 uwabikiri. Wajinga ndo waliwao.

Unalijua leo hilo kuwa wajinga ndio waliwao!!!!!???

Hivi akina kakobe, kibwetere, ngwajima, lusekelo, mwingira, lwakatare n.k namna walivyowageuza wafuasi wao na kuwafanya wajinga kwa ahadi ya kutoa misukule Feki, viwete Feki, mapepo Feki huku wao wakipiga hela ndefu kwa ajili ya maisha yao na familia zao.

MTU atakwambia wagonjwa wataombewa lakini mwenye kuombea wagonjwa kashindwa kujiombea mwenyewe na kukimbilia TMJ kutafuta matibabu ya afya yake!!!!!!! KWELI WAJINGA NDIO.....
 
Aliyeolewa na MBWA ni baba yako c.h.o.k.o wewe .. Kama mimi ni shoga mlete baba yako na mama yako uone nitakavyowapa mimba za uzeeni... Dini gani inaruhusu kuua? Mkiambiwa dini yenu ni ya kishetani na kigaidi mnatokwa na mapovu... Mauaji yaliyofanywa na alshabab kule kenya ukiulizwa dini yako ukiwaabia kuwa wewe ni mkristo unauliwa,ukiwa muislam unaachwa dini gani hiyo inaruhusu mauaji? ... Hiyo dini inawapeleka pabaya nyie kunguru............... Pumbavu wewe na familia yako,mashoga wewe na ukoo wako nguruwe wa kizungu wewe

Bila shaka utakuwa mke wa mchungaji wewe, mtoto unalegeza sauti kama uko madhabahuni pembeni kuna Padri lakupapasa masaburi yako, angalia shanga tu zisije dondoka chakula cha mapdri weee, umejilegeza mtoto wa kike
 
Bibi, hapa linazungumziwa issue ya kuchukua watoto ambao hata hawajui chochote na kuwafungia ndani kuwAfundisha chuki za kidini. For your infomation children are born with empty minds and their development is critically affected by what they feed their minds during early stages. If hatred is fed into there minds they will grow-up to be haters and nothing else. So, someone has to stop this brainwashing of children now and all who are doing this taken to court and punished. Nasikia walimu wanatoka Yemen. Bibi, je wajua kinachoendelea Yemen sasa hivi? Nchi inaporomoka pamoja kuwa wote ni waumini wa hii Dini yako. Let these criminal go back and enjoy the mess they created in their country. We do not want it😡. Bibi, umesema hakuna ubaya watoto kufundishwa dini yao, swali ni je, wewe watoto wako nao wamepitia hilo darasa? Au unatetea kwa sababu ni watoto wa wengine. Let the truth remains truth-although not all Muslims are terrorists but all terrorists are Muslims. So, the WORLD WOULD HAVE BEING MORE PEACEFUL IF THERE WAS NO ISLAM. KWA LUGHA YETU: DUNIA INGEKUWA NA AMANI ZAIDI KAMA KUSINGEKUWEPO UISILAMU.
Misikiti, Tariqa, Masheikh mbali mbali Tanzania nzima na kabla hapo Tanganyika wanapokea wanafunzi mbali mbali wa Kiislam kwa mafunzo ya Uislam, si mwanzo wala si vibaya, kuna ubaya gani kwa Waislam kujifunza dini yao?

Na hali hiyo ipo toka enzi na enzi kwa hapa kwetu na kwingineko.

Mwanafunzi wa Kiislam huanza kwa kufundishwa kusoma na kuandika msahafu mzima na mambo mengine madogo madogo na anapohitimu na akionekana bado ana nia ya kujifunza zaidi hupelekwa kwa Shekh fulani au Ustadh fulani aliyepo mahala fulani au msikiti fulani kuendelea na somo jingine ambalo huyo Mwalimu kabobea nalo na akifanya vizuri hapo na ikiwa bado ana nia ya kujiendeleza, vivyo hivyo, hupewa barua kutoka kwa Maalim aliyemaliza nae kwenda kwa mwengine ambae kabobea kwa somo lingine au hilo hilo kwa mustawa wa juu zaidi, na hilo haliishii Tanzania tu, wengine huenda kuitafuta elimu, Kenya, Sudan, Pakistan na hata Uingereza na kwengineko.

Nnawajuwa wanafunzi wa Kiislaam ambao sasa hivi ni Masheikh wazuri na maarufu hapa Tanzania ambao walianza hivyo na kufikia mpaka kusomea elimu ya Uislam ya mustawa wa juu zaidi Uingereza, mfano mzuri ni Sheikh Zubeir wa Msikiti wa Mtoro. Alianzia kwa Maalim Abbasi akapita vyuo mbali mbali, misikiti mbali na kwa msheikh mbali mbali kupata elimu, mpaka akafikia kwenda kusomea Uingereza.

Cha ajabu ni nini? Kujifunza karate? vijana kuwa wakakamavu na michezo inahimizwa katika elimu yoyote ile, leo kwa vijana wa Kiislam imekuwa ni vibaya?

Tena kwa aliyejifunza Karate, atajuwa kuwa karate ni mchezo ambao unafundishwa nidhamu na heshima na ukakamavu wa mwili na akili wa hali ya juu, na moja katika nidhamu (discipline) za karate ni kutotumia ujuzi wako wa karate kwa kumdhuru mtu bali kwa kujihami tu. Nnashukuru nimejifunza karate zamani sana tena nimejifunza YWCA - Dar., anaepajuwa aseme kama hapo si kanisani, mbona haikuwa dhambi?

YWCA = Young Women Christian Association.
 
Kwa nini mafunzo hayo yafanyike kwa siri na wazazi watoto hao hawajui na wengine hawajulikani???!?!.,.,.,??.?

Kama wazazi hawajui nani anawalipia ada? hizi shule/vyuo vipo miaka na miaka nani asiyevijua? acheni kushabikia yasiyowahusu kwa nini tuishi bila amani na kwa kubanwa ktk nchi yetu?
 
HAKIKA ALLAH (subhana wataala) hakukosea aliposema:
HAWATOKUWA radhi mayahudi na manaswara mpaka (waislam) tufuate MILA zao.


HIVI KUNA SHULE NGAPI ZINA SKAUT WANAOFUMDISHWA UKAKAMAVU?

KUNA MADOJO MANGAPI YA KARET MTAANI MBONA HAYAFUNGIWI?

KUNA MAKANISA MANGAPI YAMENZISHWA MPAKA NYUMBANI KWA WATU TENA YANAKESHA KWA KUIMBA MBONA HATUSIKII YANAFUNDISHA DINI KINYUME CHA SHERIA?


WANACHO KITAFUTA WAKRISTO WA NCHI HII KUTOKA KWA WAISLAM WATAKIPATA NA KWA HAKIKA WATASHANGAA SIKU WAISLAM TUTAKAPO BADILIKA NA KUONDOA HII DHULMA WANAYO TUFANYIA.

YANAYOTOKEA KENYA YALINZA KAMA CHOKOCHOKO, LAKINI LEO TAIFA ZIMA LINALIA KWA MADHARA MAKUBWA WANAYO YAPATA.

WALIWAUWA VIONGOZI WA KIISLAM KWA MADAI WANAUNGA MKONO ALSHABAAB LAKINI HAIKUWA SULUHIAHO.

Hahahaha, akili za kuambiwa ongeza na zako. Pungua.ni mkubwa wewe
 
Bila shaka utakuwa mke wa mchungaji wewe, mtoto unalegeza sauti kama uko madhabahuni pembeni kuna Padri lakupapasa masaburi yako, angalia shanga tu zisije dondoka chakula cha mapdri weee, umejilegeza mtoto wa kike

Muhammad yupo jehanamu anakusubiri akakutatue marinda hayo ... ------- wewe
 
I
WATOTO 140 wenye umri kati ya miaka 10 na 21 wamekamatwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wakilelewa katika misikiti mitatu tofauti. Taarifa zilizopatikana wilayani hapa zinasema watoto hao wamekuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam kinyume cha sheria.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, watoto hao waligundulika baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai kupata taarifa na kuwafuatilia kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kati ya Machi 25 na 27 mwaka huu.

Taarifa hizo zimeyataja maeneo waliyokutwa watoto hao kuwa ni Misikiti ya Masjid Bilal, Masjid Othiman na Msikiti wa Kwa Kiriwe.Taarifa hizo zimesema katika Msikiti wa Masjid Bilal uliopo Mtaa wa Kibaoni wilayani hapa, walikutwa watoto wa kiume 70 wanaotoka katika mikoa mbalimbali nchini.

Watoto wengine 50 wa kiume walikutwa katika Msikiti wa Masjid Othiman uliopo Mtaa wa Uzunguni ambao nao inasemekana wamekusanywa kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Taarifa hizo zinasema watoto wengine 27 walikutwa katika Msikiti wa Kwa Kiriwe ambako pia walikuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam na walimu Watanzania. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Anthoy Mtaka, alikiri kuwapo watoto hao wilayani kwake.

“Tukio hilo lipo na wanaohusika ni watu wanaotumia mwamvuli wa dini fulani kufanya mambo yasiyofaa katika jamii. “Kwa hiyo naziomba mamlaka husika likiwamo Baraza Kuu la Waisalam Tanzania (BAKWATA) kutambua miskiti na shughuli zinazoendelea katika nyumba hizo za ibada.

“Hili lazima walifanyie kazi kwa sababu hao vijana inasemekana wanafundishwa mazoezi makali ya kareti na judo katika nyumba hizo za ibada,” alisema Mtaka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alisema atazungumzia tukio hilo leo. Kupatikana kwa watoto hao ni mwendelezo wa matukio ya watoto wanaolelewa kinyume cha sheria mkoani Kilimanjaro baada ya matukio mawili ya aina hiyo kuripotiwa hivi karibuni. La kwanza lilihusisha watoto 18 na la pili lilihusisha watoto 11 waliokutwa katika maeneo ya Lyamungo wilayani Hai.

Chanzo: Mtanzania


We ndio babujinga kweli, yaani kufanya mazoezi ya karate na judo ni ugaidi, tumia kichwa kufikiri mkuu
 
Kisheria unapo anzisha kikundi chochote cha cha mazozi ya upiganaji lazima uwe na kibali kutoka serikalini na kama kweli walikua na nia njema kwanini hawakuwa na kibali kutoka sirikalini na serkali itawaamini vipi wakati historia ya dini yenu ni watu mnao penda ugaidi
 
Kwa nini mafunzo hayo yafanyike kwa siri na wazazi watoto hao hawajui na wengine hawajulikani???!?!.,.,.,??.?

Hapana, si kweli.

Hakuna siri, kuna siri misikitini? karibu ujionee. Nenda msikiti wa Shadhli pale kariako, ubavuni mwa nymba ya aliyekuwa meya wa Dar, Abuu, kuna nyumba ya wanafunzi wa shadhli, nyumba nzima kuna wanafunzi wa kila rika, na haiwatoshi.

Na ni hivyo hivyo, ukienda leo hii Qadiriya utayakuta hayo hayo ukienda kwa Masheikh, Kigoma, Tanga, Mtwara, Lindi, Zanzibar, Dodoma, Singida, Kondoa. Vuka mpaka, nenda Mombasa, Malindi, Lamu. Toka nje ya Afrika Mashariki, nenda Yemen, Pakistan, Saudi Arabia, India utayakuta hayo hayo na hayakuanza leo wala jana wala juzi, ni enzi na enzi.

Kama kuna watoto hawajulikani wazazi wao, inawezekana, pia kwani kuna mayatima na si mwandishi au watu kukurupuka tu na kuanza kuupaka matope Uislam bila sababu.

Kuna ushenzi uliofanyika kwa halaiki ya watoto Tanzania hii zaidi ya Soni, Seminary ya Wakristo? mpaka dunia imepiga kelele uharibu waliofanyiwa watoto wadogo kulawitiwa na mafather wa huko. Jee, umeshawahi kusikia mwandishi wa Tanzania hata mmoja kuandika hilo? Fikiri.

Na ushahidi huu hapa, jisomee: He was my priest and my friend. Then I found out he was a paedophile | Comment is free | The Guardian

Nani aliyaandika haya ya hapa hapa Tanzania yaliyotokea seminari ya Kikristo? na ni ushenzi na ukatili kwa watoto kupita maelezo.
 
Kisheria unapo anzisha kikundi chochote cha cha mazozi ya upiganaji lazima uwe na kibali kutoka serikalini na kama kweli walikua na nia njema kwanini hawakuwa na kibali kutoka sirikalini na serkali itawaamini vipi wakati historia ya dini yenu ni watu mnao penda ugaidi na tena naishauri serikali ianze search misikiti yote halafu tena kwa kustukiza watavikuta vitu vingi sana
 
Dini ni mapokeo tu! nawashangaa mnatokwa povu hapa utadhan mnajua huo uislamu na ukristo ulikotoka na chanzo chake, mnatukanana bure hapa
 
Bibi, hapa linazungumziwa issue ya kuchukua watoto ambao hata hawajui chochote na kuwafungia ndani kuwAfundisha chuki za kidini. For your infomation children are born with empty minds and their development is critically affected by what they feed their minds during early stages. If hatred is fed into there minds they will grow-up to be haters and nothing else. So, someone has to stop this brainwashing of children now and all who are doing this taken to court and punished. Nasikia walimu wanatoka Yemen. Bibi, je wajua kinachoendelea Yemen sasa hivi? Nchi inaporomoka pamoja kuwa wote ni waumini wa hii Dini yako. Let these criminal go back and enjoy the mess they created in their country. We do not want it. Bibi, umesema hakuna ubaya watoto kufundishwa dini yao, swali ni je, wewe watoto wako nao wamepitia hilo darasa? Au unatetea kwa sababu ni watoto wa wengine. Let the truth remains truth-although not all Muslims are terrorists but all terrorists are Muslims. So, the WORLD WOULD HAVE BEING MORE PEACEFUL IF THERE WAS NO ISLAM. KWA LUGHA YETU: DUNIA INGEKUWA NA AMANI ZAIDI KAMA KUSINGEKUWEPO UISILAMU.

Huo ndiyo uongo mnaouzuwa, leo kuna hatred zaidi ya Wakristo wanavyowachukia Waislam Tanzania hii? na ushahidi kamili kabisa, juzi walioipinga kwa nguvu zote mahakama ya kadhi ni Wakristo.

Wewe chuki yako kwa Waislam na Uislam ni nani kakufundisha? Waislam wa Tanzania hii, wamekukosea nini wewe?

Uislam ndiyo unakuletea amani, tazama leo hii ni nani anaefaatwa kwake na kuuliwa bila sabau na kutolewa sababu za uongo kama si Muislam?

Saddam Huusein na Iraq? iliwakosea nini NATO hata ikafikia kuwapiga kwa silaha zzote uzijuzo? au umesahau walivyozuwa kuna silaha za maangamizi? mpaka leo ziko wapi? kafa nazo Saddam? Tazama Afghanista, walivyouliwa Waislam kwa uongo eti Al Qaeda, leo wanakiri Al Qaeda waliitengeza wenyewe.

Uislam mtaupiga kila aina ya vita lakini hautochoka kukuwa. Cha kushangaza na kustaajabisha, kila mnavyoupiga kwa hila zenu ndivyo unavyozidi kukuwa duniani.

Sasa mpaka Vatikano wanakiri Uislam umeupiku Ukatoliki kwa wingi duniani? jiulize unasambazwa kwa upanga? aliwahi kuja Muislam kukulazimisha kuwa Muislam hata siku moja katika maisha yako? Fikiri.
 
teh teh teh. Hili ndio jibu lako??!!! Sasa mkuu si umeambiwa usihukumu nawe utahukumiwa au? Anyway mimi ngono napenda sana lakini sidhani hiyo ni sababu ya kutokunielewesha? We nieleweshe bana!

kuna jukwaa la dini, anzisha mada na watumishi wa BWANA YESU tutakujibu vyema na mapepo ya kupenda na kuoa wake wengi yatakutoka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom