mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 12,227
- 9,078
Asante baba kwa majibu yako mazuri nadhani umeshaona na kusikia yanayotokea hapa karibu Kenya hata wewe na uzao wako hamtapona,jikusanyeni tu fundishaneni ujinga lakini madhara yake yatatupata wote,wakristo na waislamu endelea kuvaa suruali fupi.Nani kakwambia mtt akisoma madrasa hasomi shule za kawaida;nyie ndo chanzo cha ugaidi mnaoiba pesa za umma na kupeleka makanisani mkiwaacha wananchi hoi alafu mnajisifu eti mna maendeleo .
Maendeleo ya pesa za escrow;