kuna jukwaa la dini, anzisha mada na watumishi wa BWANA YESU tutakujibu vyema na mapepo ya kupenda na kuoa wake wengi yatakutoka
Sasa mkuu wewe mtumishi wa aina gani unapewa nafasi ya kumrudisha kondoo wa bwana kundini unaleta masharti kibao?! Huduma popote mkuu wewe jibu swali hapahapa.
Wabongo kwa uoga watu kupasha misuli moto ishakuwa nongwa, hapo ingekuwa wanaimba kwa ya za dini hamna neno.
dada @nyakageni nasikia na wewe ulikua kwenye ule msafara wa ngwajima kule ufukweni
mafunzo ya kiislam yanatolewaje kinyume cha sheria?? acheni umbea
I like this kind of attitude. Km ulisahau yamekwisha.
Ukienda mwendo huu tutafika mbali.
Na Uislamu sio Dini ya Waswahili bali Ni Dini ya Watu wote hata wewe unakaribishwa..
Hilo la uswahili Umebuni wewe.
basi kama ni ya watu wote basi kuna aina nyingi za uislamu huo wa kwako ni mpya
Dare es salaam, pale msikiti wa mwenge mbona kuna vijana wanajifunza karate toka kitambo, na cjawahi kusikia hao vijana wamekaba au kufanya tukio lolote la kigaid. Ifike mahali watu muache chuki dhidi ya uislamu. Fanyeni kazi jamani kila siku waislamu...hiv waislamu wamewakosea nini?
UISLAMU NI MMOJA TU.
Labda nikuulize wewe huo UISLAMU UUITAO wa Kiswahili uliusoma Wapi?
sijausoma niliuona pwani ya Tanzania
basi kama ni ya watu wote basi kuna aina nyingi za uislamu huo wa kwako ni mpya
imani ya ngumi na upanga, tunaijua saaan! Hakuna mungu hapo, shetan yuko kazini!! Hakuna mungu anaemrisha kuuwa wengine!! Dini ya upanga hiyo inajulikana pamoja na ajenda zenu!
kahtaan mbona unanitukana brother mimi mtu mzima sasa mbona mentor wako Mohamed Said hatukani au huu uhuni kakufundisha Ritz au FaizaFoxy ? Mimi najua waislamu mmeamrishwa kupigana lakini sio kutukana Quran 2 verse 216.
Hivi wewe nawe umeahidiwa nn kwenye quran yenu au utakuwa mmoja kati ya hizo bikra. 72 walizoahidiwa maostadhi wenu na hao alshabab,bokkoharam,osama,gadafi na sadam kwa uchache ingawa najua sahizi unachenza,chungwa lishaliwa na mwalimu wa madrasa!
Huo ndiyo uongo mnaouzuwa, leo kuna hatred zaidi ya Wakristo wanavyowachukia Waislam Tanzania hii? na ushahidi kamili kabisa, juzi walioipinga kwa nguvu zote mahakama ya kadhi ni Wakristo.
Wewe chuki yako kwa Waislam na Uislam ni nani kakufundisha? Waislam wa Tanzania hii, wamekukosea nini wewe?
Uislam ndiyo unakuletea amani, tazama leo hii ni nani anaefaatwa kwake na kuuliwa bila sabau na kutolewa sababu za uongo kama si Muislam?
Saddam Huusein na Iraq? iliwakosea nini NATO hata ikafikia kuwapiga kwa silaha zzote uzijuzo? au umesahau walivyozuwa kuna silaha za maangamizi? mpaka leo ziko wapi? kafa nazo Saddam? Tazama Afghanista, walivyouliwa Waislam kwa uongo eti Al Qaeda, leo wanakiri Al Qaeda waliitengeza wenyewe.
Uislam mtaupiga kila aina ya vita lakini hautochoka kukuwa. Cha kushangaza na kustaajabisha, kila mnavyoupiga kwa hila zenu ndivyo unavyozidi kukuwa duniani.
Sasa mpaka Vatikano wanakiri Uislam umeupiku Ukatoliki kwa wingi duniani? jiulize unasambazwa kwa upanga? aliwahi kuja Muislam kukulazimisha kuwa Muislam hata siku moja katika maisha yako? Fikiri.
Kosa si hayo mafunzo bali namna yanvyotolewa kwa kificho halafu katika maeneo ya ibada inawezekana kuna jambo lingine zaidi ya mazoezi