Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
Ndugu yangu Quran imemaliza kila kitu na kuwatanabahisha waislamu juu ya wakristo na wayahudi.

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu. (Al-Baqara 2:120, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)


Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Al-Maeda 5:51, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)
kumbe quran yenyewe ndo inahamasisha utengano nlikua sjui
 
nimehamin waislam wakita haki zao watapingwa vita tu .inshaa,allah m/mungu awasimamie wafanikishe ndoto zao .et kwan mkiwaachia dunia sihitakuwa na aman
 
km hujafundishwa wenzio wanafundishwa na wanatoka wapo practical kishenzi.Sasa kufell kwako ndio kunathibitisha shule haikufundisha?Kadanganya majinga..km bukhari kaiambia dunia kuwa atazimisha boko haramu nani ahajui mnavyowafdhili kwa mali na hali.Kwa uongo na maandamano ya kijnga,kuhubiri kuwa kuna unanyanyasaji ili dunia ipumbazike idhani kuwa ni sahihi na kujikomboa,na mara nyingine mnatuhubiria sisi kuwa haihusiani na dini tunavyopata shida kutofautisha mnatutishia kuvunja amba full na si nusunusu.Ila hakuna kati yenu wanaowatafuta hao jamaa na kuwaambia kuwa wanatukana na kuchafua dini kwa matendo na maneno yao.Ila mpo busy kunyamazisha wahanga.

Kwahiyo ww unaeona wenzako mashetani ndo ulifaulu sunday school? na kwa chuki zenu kama hizi za kutaka watu waishi mnavyotaka na si kwa mujibu wa dini yao inavyotaka kwa sababu tu ninyi hamtaki kwa roho zenu za ubinafsi uliopitiliza hakuna atakaekubali.

Muhimu ndugu kila mtu afanye ibada zake kwa uhuru na kwa mujibu wa dini yake wale wanaoleta threats kwenye jamii kama ndoa za jinsia moja;ugaidi;matamko ya viongozi wa dini yenye muelekeo wa kuigawa nchi;fedha za umma kuibiwa na kutumika kwenye nyumba za ibada;baadhi ya madhehebu ya dini kusikilizwa zaidi/kupendelewa na serikali kuliko mengine; kuondoa elements zote za udini kwenye ofisi za umma;serikali kutojihusisha kwa kuchangia fedha kwa baadhi ya miradi ya dini moja na kuacha kufanya hivyo kwa dini nyingine.

Kwa kupendana;kuheshimiana;kujaliana; na kutokuwa na upendeleo kwa baadhi ya watu;kupunguza au kuondoa kabisa tatizo la ajira nk.

Nakwambia hivi uhalifu wowote na hata ugaidi kama usipokuwepo kabisa basi utabakia ktk level ambayo unadhibitika kirahisi mno; otherwise tuendelee kutukanana kwenye mitandao kwa chuki zilizo kubwa tukifiri ndo suluhisho la tatizo na mwisho wake wote bila kujali dini zetu wala vyeo vyetu tutaishi kama digidigi na wahalifu wakiwemo magaidi;wanaonajisi watoto na mafisadi kuwa wamefanikiwa ktk mission yao. So the choice is ours
 
Unawajuwa Waislam lakini au unawasikia tu?

Nawajua kwa kuwa natoka ktk familia mchanganyiko ya wakristo na waislam,msikitini nimeingia,madrasa nimesoma ingawa sikufika mbali, kwahiyo dini zote hizi mbili nazifahamu hivyo naelewa Mungu wa kweli ni nani na si mwingine bali ni YEHOVA. Ila kama ulikuwa unamaanisha nawajua au kuwasikia kwa ukatili wao hilo bila shaka haukuna mwanadamu asiye lijua isipokuwa kwa hao wenye hiyo roho so nawajua nje na ndani!
 
MISIKITINI KWANINI KARATE? Lengo ni nini? nyumba ya kuabudu ina uhusiano gani na ukakamavu?
 
'Kufundishwa dini kinyume cha sheria!!!'. Hapa ina maanisha kufundisha dini ni kosa? Mwenye ufahamu atuelimishe.

HAKIKA ALLAH (subhana wataala) hakukosea aliposema:
HAWATOKUWA radhi mayahudi na manaswara mpaka (waislam) tufuate MILA zao.


HIVI KUNA SHULE NGAPI ZINA SKAUT WANAOFUMDISHWA UKAKAMAVU?

KUNA MADOJO MANGAPI YA KARET MTAANI MBONA HAYAFUNGIWI?

KUNA MAKANISA MANGAPI YAMENZISHWA MPAKA NYUMBANI KWA WATU TENA YANAKESHA KWA KUIMBA MBONA HATUSIKII YANAFUNDISHA DINI KINYUME CHA SHERIA?


WANACHO KITAFUTA WAKRISTO WA NCHI HII KUTOKA KWA WAISLAM WATAKIPATA NA KWA HAKIKA WATASHANGAA SIKU WAISLAM TUTAKAPO BADILIKA NA KUONDOA HII DHULMA WANAYO TUFANYIA.

YANAYOTOKEA KENYA YALINZA KAMA CHOKOCHOKO, LAKINI LEO TAIFA ZIMA LINALIA KWA MADHARA MAKUBWA WANAYO YAPATA.

WALIWAUWA VIONGOZI WA KIISLAM KWA MADAI WANAUNGA MKONO ALSHABAAB LAKINI HAIKUWA SULUHIAHO.

NDUGU ni ushabiki au huelewi kituu? tunapinga mafunzo ya karate misikitini kaka hasa yanauhusiano gani na dini esp wote hao tumia akili wewe
 
Nawajua kwa kuwa natoka ktk familia mchanganyiko ya wakristo na waislam,msikitini nimeingia,madrasa nimesoma ingawa sikufika mbali, kwahiyo dini zote hizi mbili nazifahamu hivyo naelewa Mungu wa kweli ni nani na si mwingine bali ni YEHOVA. Ila kama ulikuwa unamaanisha nawajua au kuwasikia kwa ukatili wao hilo bila shaka haukuna mwanadamu asiye lijua isipokuwa kwa hao wenye hiyo roho so nawajua nje na ndani!

kwahiyo jehova ndo huyohuyo yesu?.


huyo EL aliyeliliwa na yesu kuwa anamuacha ni nani?.




unaweza onyesha sehemu hata moja yesu kamtaja JEHOVA kwa jina?
 
Nawajua kwa kuwa natoka ktk familia mchanganyiko ya wakristo na waislam,msikitini nimeingia,madrasa nimesoma ingawa sikufika mbali, kwahiyo dini zote hizi mbili nazifahamu hivyo naelewa Mungu wa kweli ni nani na si mwingine bali ni YEHOVA. Ila kama ulikuwa unamaanisha nawajua au kuwasikia kwa ukatili wao hilo bila shaka haukuna mwanadamu asiye lijua isipokuwa kwa hao wenye hiyo roho so nawajua nje na ndani!

Jee, binafsi yako ulishafanyiwa ukatili wowote na Waislam? au huo ukatili wa Waislaam unausoma tu kwenye magazeti?
 
Km allah ndio mungu wa wayahudi na mitume wao wote wema na ndie aliyewaahidi babu zao kuwafanikisha sana mbele ya mataifa.Sasa kwanini allah kasahau sasa anaua uzao wa amitume na waliomcha wote ktk mtiririko wa uzao wa Abrahamu.Mbona km si Johovah?

jehova alikua mungu wa kipagani,akijulikana kama mungu wa vita.baadae watu wa nchi ya YUDA walimua adopt na kumfanya mungu wa taifa lao.lakini kwa uhalisia ni mungu wa kipangani.
ndo maana katika dini ya kiyahudi hakuna concept ya mbinguni,.



kwa upande mwingine EL kwa wakati huo akijulikana kama,THE MOST HIGH,yaani mungu aliye JUU.
HUYU AKIABUDIWA NA JAMII MBALIMBALI ENEO HILO.
ndo maana moses kila alipotoka kuongea alikwenda mlimani kukutana nae.
na hata yesu kama sikosei kipindi anaomba kikombe kimuepuka alikua juu ya kilima.
kwasababu kipindi hicho wakiamini mungu wa miinuko,ama milima au kwa ufupi aliye juu ,ilikua ni mwiko kujenga nyumba ndefu kwenda juu,ilionekana ni kutaka kumfikia huyo mungu EL.
ndo maanakukawepo ile habari ya mnara wa BABEL.
JEHOVA NA EL ni miungu wawili tofauti
 
ziko taasis za michezo pelekeni huko watoto wenu!

kila dini na mipangilio yake huwezi kuwapangia.
wakatoliko wana sunday school na seminary hatujui wanafunzwa nini.
wasabato wana chipukizi ama scout wanaitwa PATHFINDER,hawa nasikia wanafunzwa mpaka kuvuka mto kwa kamba,etc
 
mipangilio gani kaka huoni yanayotokea Duniani kwa sasa au ndo uisilamu unafundisha? Mungu gani muna mwabudu huyo?
 
Jee, binafsi yako ulishafanyiwa ukatili wowote na Waislam? au huo ukatili wa Waislaam unausoma tu kwenye magazeti?

Dada Faiza sijawahi fanyiwa ila nimeshuhudia wengine wakifanyiwa hata hayo yanayofanywa na alshabab,bokkoharam ni shuhuda tosha kwani wanatumia uislam huo huo kuhalalisha mauaji hayo.Sasa kama hayo wanayofanya ni kinyumw na uislam mbona hamuandamani kuwalaani kama nlivyozoea ktk matukio mengine? pia hakuna hata kiongozi mmoja wa kiislam anaye laani makundi hayo kama kweli yanakwenda kinyume na uislam. Vibonzo tu vya magazeti mnaandamana na kuchoma makanisa na vurugu kibao iweje hawa wanao udhalilisha uislam na kuujengea taswira mbaya mko kimya kama hamuwaungi mkono kwa wanayoyatenda?
 
WATOTO 140 wenye umri kati ya miaka 10 na 21 wamekamatwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wakilelewa katika misikiti mitatu tofauti. Taarifa zilizopatikana wilayani hapa zinasema watoto hao wamekuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam kinyume cha sheria.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, watoto hao waligundulika baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai kupata taarifa na kuwafuatilia kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kati ya Machi 25 na 27 mwaka huu.

Taarifa hizo zimeyataja maeneo waliyokutwa watoto hao kuwa ni Misikiti ya Masjid Bilal, Masjid Othiman na Msikiti wa Kwa Kiriwe.Taarifa hizo zimesema katika Msikiti wa Masjid Bilal uliopo Mtaa wa Kibaoni wilayani hapa, walikutwa watoto wa kiume 70 wanaotoka katika mikoa mbalimbali nchini.

Watoto wengine 50 wa kiume walikutwa katika Msikiti wa Masjid Othiman uliopo Mtaa wa Uzunguni ambao nao inasemekana wamekusanywa kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Taarifa hizo zinasema watoto wengine 27 walikutwa katika Msikiti wa Kwa Kiriwe ambako pia walikuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam na walimu Watanzania. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Anthoy Mtaka, alikiri kuwapo watoto hao wilayani kwake.

“Tukio hilo lipo na wanaohusika ni watu wanaotumia mwamvuli wa dini fulani kufanya mambo yasiyofaa katika jamii. “Kwa hiyo naziomba mamlaka husika likiwamo Baraza Kuu la Waisalam Tanzania (BAKWATA) kutambua miskiti na shughuli zinazoendelea katika nyumba hizo za ibada.

“Hili lazima walifanyie kazi kwa sababu hao vijana inasemekana wanafundishwa mazoezi makali ya kareti na judo katika nyumba hizo za ibada,” alisema Mtaka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alisema atazungumzia tukio hilo leo. Kupatikana kwa watoto hao ni mwendelezo wa matukio ya watoto wanaolelewa kinyume cha sheria mkoani Kilimanjaro baada ya matukio mawili ya aina hiyo kuripotiwa hivi karibuni. La kwanza lilihusisha watoto 18 na la pili lilihusisha watoto 11 waliokutwa katika maeneo ya Lyamungo wilayani Hai.

Chanzo: Mtanzania



Kwani hakuna watoto wanaolala makanisani wakifundishwa ukiristo na kuimba nyimbo za kikiristo makanisani? mbona kila siku ya Jumapili watoto wanapelekwa makanisani kufundishwa ukiristo? shida imekuwa kwa waislamu tu??

Ndio mana sasa tunaunga mkono juhudi za Alshabab kwanini waislamu wanafuatiliwa katika ibada zao na dini yao?? Ivi kwani mkiristo hawezi kuuwa mtu? Mara ngapi tumeskia wakiristo wanapiga wake zao mapanga , wanakata viungo vya binadamu albino kwa Imani zao za kishirikina, wanavunja maduka na kuiba kwa bunduki na uhalifu Zaidi ya huo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom