Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
Basi hapo wenzetu roho baridi kabisa ndo dini ya yesu hiyo alafu maalim unataalifa kama mungu yesu ashauzwa na yuda toka jana? Yaani nimekutana na yuda hapa ubungo mataa kalewa chakali ela za kumuuza mungu.

Teh teh teh teh!

Mkuu huyo sio Yuda! Huyo mlevi ni Nyakageni.
Kila mara anatembeza Visanamu vya yesu jioni Hasira zote za kupigwa na jua la Dar anazimalizia Kwenye MAPUYA. HALAFU akilewa Anajiita PAPA Nyakageni binti Yuda.

Hatari sana huyu choko!
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh teh!

Mkuu huyo sio Yuda! Huyo mlevi ni Nyakageni.
Kila mara anatembeza Visanamu vya yesu jioni Hasira zote za kupigwa na jua la Dar anazimalizia Kwenye MAPUYA. HALAFU akilewa Anajiita PAPA Nyakageni binti Yuda.

Hatari sana huyu choko!
we ndo yule gaidi wa ireland anayesambazwa kwenye internet?
 
Halafu hawa ndugu zetu waoga hawa kazi mipasho tu na kutoa matamko yaani wanaogopa hadi vitoto vidogo vya kiislam na nyinyi si mfundishe wa kwenu mazoezi mbona sisi atupigi kelele mnavyowafundisha kupakuliwa makanisani yaani mna wivu wa kijinga sana wagalatia.
 
Haya mapya yaani kujifunza dini kwa kibali. Sasa mmeanza kujionyesha true color.
 
Acheni kutunga jamani, mi najua misikiti kibao ambayo wanapokea vijana toka sehemu mbali mbali kujifunza dini na kisha kurejea makwao......Kama kuna kitu kinatengenezwa basi mtengeneze vyema,....Mbona hamtupi taarifa ya wale watoto mliodai wamekamatwa nyumba moja huko moshi? kumbe walikuwa mayatima tena walikuwa wanaishi maisha mazuri na salama...naona kimya hadi leo.

Watoto yatima wa kike wanalelewa na mwanaume mwenye kidevu kirefu? Nonsense!
 
Teh teh teh teh!

Mkuu huyo sio Yuda! Huyo mlevi ni Nyakageni.
Kila mara anatembeza Visanamu vya yesu jioni Hasira zote za kupigwa na jua la Dar anazimalizia Kwenye MAPUYA. HALAFU akilewa Anajiita PAPA Nyakageni binti Yuda.

Hatari sana huyu choko!

Ukisikia uislamu tu, unaibuka! Huna shamba nini maana huu msimu wa kilimo. Achieni watoto waende shule! Munawafundisha misikitini baadaye malalamiko oooh tuko nyuma! Nyuma! nani alikuweka nyuma? Unakuwa nyuma halafu unatafuta upendeleo.
 
Last edited by a moderator:
Chadema na CCM wana vikosi vya vijana wanaojifunza karate tena zaid ya hiyo karate. Inakuwa vp hao vijana wa kiislamu washukiwe kuwa wanafundishwa ugaid et kwasababu tu wanafundishwa misikitini. Kiukweli huo ni ujinga na uonevu wa hali ya juu dhidi ya waislamu.
 
Ukisikia uislamu tu, unaibuka! Huna shamba nini maana huu msimu wa kilimo. Achieni watoto waende shule! Munawafundisha misikitini baadaye malalamiko oooh tuko nyuma! Nyuma! nani alikuweka nyuma? Unakuwa nyuma halafu unatafuta upendeleo.

WEWE NDIO ZUZU LA MAZUZU. . .Kwani umeambiwa hawaendi shule?
 
Dare es salaam, pale msikiti wa mwenge mbona kuna vijana wanajifunza karate toka kitambo, na cjawahi kusikia hao vijana wamekaba au kufanya tukio lolote la kigaid. Ifike mahali watu muache chuki dhidi ya uislamu. Fanyeni kazi jamani kila siku waislamu...hiv waislamu wamewakosea nini?
 
WATOTO 140 wenye umri kati ya miaka 10 na 21 wamekamatwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wakilelewa katika misikiti mitatu tofauti. Taarifa zilizopatikana wilayani hapa zinasema watoto hao wamekuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam kinyume cha sheria.

Kwa mujibu wa taarifa hizo, watoto hao waligundulika baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai kupata taarifa na kuwafuatilia kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kati ya Machi 25 na 27 mwaka huu.

Taarifa hizo zimeyataja maeneo waliyokutwa watoto hao kuwa ni Misikiti ya Masjid Bilal, Masjid Othiman na Msikiti wa Kwa Kiriwe.Taarifa hizo zimesema katika Msikiti wa Masjid Bilal uliopo Mtaa wa Kibaoni wilayani hapa, walikutwa watoto wa kiume 70 wanaotoka katika mikoa mbalimbali nchini.

Watoto wengine 50 wa kiume walikutwa katika Msikiti wa Masjid Othiman uliopo Mtaa wa Uzunguni ambao nao inasemekana wamekusanywa kutoka maeneo mbalimbali nchini.

Taarifa hizo zinasema watoto wengine 27 walikutwa katika Msikiti wa Kwa Kiriwe ambako pia walikuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam na walimu Watanzania. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Anthoy Mtaka, alikiri kuwapo watoto hao wilayani kwake.

“Tukio hilo lipo na wanaohusika ni watu wanaotumia mwamvuli wa dini fulani kufanya mambo yasiyofaa katika jamii. “Kwa hiyo naziomba mamlaka husika likiwamo Baraza Kuu la Waisalam Tanzania (BAKWATA) kutambua miskiti na shughuli zinazoendelea katika nyumba hizo za ibada.

“Hili lazima walifanyie kazi kwa sababu hao vijana inasemekana wanafundishwa mazoezi makali ya kareti na judo katika nyumba hizo za ibada,” alisema Mtaka.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alisema atazungumzia tukio hilo leo. Kupatikana kwa watoto hao ni mwendelezo wa matukio ya watoto wanaolelewa kinyume cha sheria mkoani Kilimanjaro baada ya matukio mawili ya aina hiyo kuripotiwa hivi karibuni. La kwanza lilihusisha watoto 18 na la pili lilihusisha watoto 11 waliokutwa katika maeneo ya Lyamungo wilayani Hai.

Chanzo: Mtanzania


Iwekwe sheria misikiti inayokutwa inafanya hivi ifungwe kabisa. Maana sasa imeshakuwa mchezo, tunaambiwa watoto wamepatikana lakini hatma ya misikini hatuambiwi. Ikumbukwe kwamba Boko Haramu ilianza kama hivi
 
Mtoa mada ametumwa na anaonekana ni professional kwa umbea mbona huku kwetu hakuna taarifa hizo na serikali hailitambui, "shame on you"
 
Uislam ni ushetani na mwanzilishi wake alikuwa mjumbe wa shetani
 
halafu hawa ndugu zetu waoga hawa kazi mipasho tu na kutoa matamko yaani wanaogopa hadi vitoto vidogo vya kiislam na nyinyi si mfundishe wa kwenu mazoezi mbona sisi atupigi kelele mnavyowafundisha kupakuliwa makanisani yaani mna wivu wa kijinga sana wagalatia.
imani gani hiyo inaenezwa kwa ngumi??? Kifupi shetani yuko kazini!
 
halafu hawa ndugu zetu waoga hawa kazi mipasho tu na kutoa matamko yaani wanaogopa hadi vitoto vidogo vya kiislam na nyinyi si mfundishe wa kwenu mazoezi mbona sisi atupigi kelele mnavyowafundisha kupakuliwa makanisani yaani mna wivu wa kijinga sana wagalatia.

imani ya ngumi na upanga, tunaijua saaan! Hakuna mungu hapo, shetan yuko kazini!! Hakuna mungu anaemrisha kuuwa wengine!! Dini ya upanga hiyo inajulikana pamoja na ajenda zenu!
 
Kosa ni lipi hapo? Wazazi wamelalamika watoto wao kupotea? Kupewa mafunzo ya Dini ni Kosa? Mwislam wa kweli lazima afanye mazoezi awe na afya njema... ndo maana Uislam unakataza Ulevi, Uzinzi, Uvutaji wa Sigara na vyote vyenye kudhuru Mwili... Isitoshe Uislam unahimiza kusaidiana baiana yao... Kosa ni nini? Nijuzeni tafadhali ..
Kosa si hayo mafunzo bali namna yanvyotolewa kwa kificho halafu katika maeneo ya ibada inawezekana kuna jambo lingine zaidi ya mazoezi
 
Misikiti, Tariqa, Masheikh mbali mbali Tanzania nzima na kabla hapo Tanganyika wanapokea wanafunzi mbali mbali wa Kiislam kwa mafunzo ya Uislam, si mwanzo wala si vibaya, kuna ubaya gani kwa Waislam kujifunza dini yao?

Na hali hiyo ipo toka enzi na enzi kwa hapa kwetu na kwingineko.

Mwanafunzi wa Kiislam huanza kwa kufundishwa kusoma na kuandika msahafu mzima na mambo mengine madogo madogo na anapohitimu na akionekana bado ana nia ya kujifunza zaidi hupelekwa kwa Shekh fulani au Ustadh fulani aliyepo mahala fulani au msikiti fulani kuendelea na somo jingine ambalo huyo Mwalimu kabobea nalo na akifanya vizuri hapo na ikiwa bado ana nia ya kujiendeleza, vivyo hivyo, hupewa barua kutoka kwa Maalim aliyemaliza nae kwenda kwa mwengine ambae kabobea kwa somo lingine au hilo hilo kwa mustawa wa juu zaidi, na hilo haliishii Tanzania tu, wengine huenda kuitafuta elimu, Kenya, Sudan, Pakistan na hata Uingereza na kwengineko.

Nnawajuwa wanafunzi wa Kiislaam ambao sasa hivi ni Masheikh wazuri na maarufu hapa Tanzania ambao walianza hivyo na kufikia mpaka kusomea elimu ya Uislam ya mustawa wa juu zaidi Uingereza, mfano mzuri ni Sheikh Zubeir wa Msikiti wa Mtoro. Alianzia kwa Maalim Abbasi akapita vyuo mbali mbali, misikiti mbali na kwa msheikh mbali mbali kupata elimu, mpaka akafikia kwenda kusomea Uingereza.

Cha ajabu ni nini? Kujifunza karate? vijana kuwa wakakamavu na michezo inahimizwa katika elimu yoyote ile, leo kwa vijana wa Kiislam imekuwa ni vibaya?

Tena kwa aliyejifunza Karate, atajuwa kuwa karate ni mchezo ambao unafundishwa nidhamu na heshima na ukakamavu wa mwili na akili wa hali ya juu, na moja katika nidhamu (discipline) za karate ni kutotumia ujuzi wako wa karate kwa kumdhuru mtu bali kwa kujihami tu. Nnashukuru nimejifunza karate zamani sana tena nimejifunza YWCA - Dar., anaepajuwa aseme kama hapo si kanisani, mbona haikuwa dhambi?

YWCA = Young Women Christian Association.
 
Misikiti, Tariqa, Masheikh mbali mbali Tanzania nzima na kabla hapo Tanganyika wanapokea wanafunzi mbali mbali wa Kiislam kwa mafunzo ya Uislam, si mwanzo wa la si vibaya, kuna ubaya gani kwa Waislam kujifunza dini yao?

Na hali hiyo ipo toka enzi na enzi kwa hapa kwetu na kwingineko.

Mwanafunzi wa Kiislam huanza kwa kufundishwa kusoma na kuandika msahafu mzima na mambo mengine madogo madogo na anapohitimu na akionekana bado anania ya kujifunza zaidi hupelkwa kwa Shekh fulani au Ustadh fulani aliyepo mahala fulani au msikiti fulani kuendelea na somo jingine ambalo huyo Mwalimu kabobea nalo na akifanya vizuri hapo na ikiwa bado anania ya kujiendeleza , hivyo hivyo, hupewa barua kutoka kwa Maalim aliyemaliza nae kwenda kwa mwingne ambae kabobea kwa ssomo lingine au hilo hilo kwa mustawa wa juu zaidi, na hizo haliishi Tanzania tu wengine huenda kuitafuta elimu, Kenya, Sudan, Pakistan na hata Uingereza.

Nnawajuwa wanafunzi wa Kiislaam ambao sasa hivi ni Masheikh wazuri na maarufu hapa Tanzania ambao walianza hivyo na kufikia mpaka kusomea elimu ya Uislam ya mustawa wa juu zaidi Ungereza, mfano mzuri ni Sheikh Zubeir wa Msikiti wa Mtoro. Alianzia kwa Maalim Abbasi akapita vyuo mbali mbali misikiti mbali kupata elimu mpaka akafikia kwenda kusomea Uingereza.

Cha ajabu ni nini? Kujifunza karate, vijana kuwa wakakamavu na michezo inahimizwa katika elimu yoyote ile leo imekuwa ni vibaya?

Tena kwa aliyejifunza Karate, atajuwa kuwa karate ni mchezo ambao unafundishwa nidhamu na heshima na ukakamavu wa mwili na akili wa hali ya juu, na moja katika nidhamu (discipline) za karate ni kutotumia ujuzi wako wa karate kwa kumdhuru mtu bali kwa kujihami tu. Nnashukuru nimejifunza karate zamani sana tena nimejifunza YWCA - Dar., anaepajuwa aseme kama hapo si kanisani, mbona haikuwa dhambi?

YWCA = Young Women Christian Association.

Kwa nini mafunzo hayo yafanyike kwa siri na wazazi watoto hao hawajui na wengine hawajulikani???!?!.,.,.,??.?
 
kwanza mi sijaona wamefanya kosa lolote....pia kuna watu wa kuchokozwa jamani lakini sio hawa waislam... kama mnataka uchaguzi wetu uishe kwa amanai... nchi iwe na amani... kesi za kijinga kama hizi tuachane nazo.... hawa jamaa kama ndugu.. kikianza kunuka mtashangaa waislam toka syria, pakistan.. wapi.. wanakuja kukinikisha kisa ndugu zao wanabanwabanwa... mbaya zaidi hawaogopi kufa hawa watu...mi ni hayo tu!!acha niendee jukwaa la ubuyu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom