Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
Nakomaa na kuruani mkuu mabikra saba nawataka sana kwani tangu nizaliwe sijawahi bikiri na bikra hapa mjini hazipatikani.

Aisee hiki kitabu balaa.. sasa duniani unaambiwa usifanye zinaa halafu ukienda peponi unapewa vimwana 7 uwabikiri. Wajinga ndo waliwao.
 
Hebu acheni haya malumbano ya dini....wewe ukiacha kumjibu au kuandika na mwingine pia atafanya hivyo.Weeye kaa na dini yako na yeye akae na dini yake..kuna mbaya gani hapo.Madhara ya haya malumbano ni makubwa sana na tukiendelea bila shaka tutayaona.

Mkuu tayari madhara yashaanza kuonekana. Hakuna kipindi ambacho suala na udini na malumbano ya waislamu na wakristo ulishika kasi kama hiki.
 
Ukristu unafuata Agano Jipya. Sheria alizotaja Kahatan ni za Musa, ni za Agano la Zamani. Sasa hatutolei sadaka za kuteketeza (burnt offering) kama ilivyokuwa zamani. Agano la kale limepishwa na Agano Jipya.

Watanzania wa dini mbalimbali tuendelee kuishi pamoja kwa amani kama tulivyozoea. Kila mtu aheshimu dini za watu wengine. Lazima tuache hizi tabia za kutukana imani za watu wengine.

Kwa hiyo mkuu huyo Mungu wa Musa na agano la kale ndio huyu huyu wa leo au kabadilika ghafla siku za hivi karibuni? Au huyu wa agano jipya ni mwingine ambaye kaone yule wa Musa alikuwa mzinguaji? Au alikuwa na tabia za kishetani sasa ametubu na kujirudi na kugundua makosa yake?
 
Kuwa mgalatia dunia ya leo ni shida muda wote wanaweweseka tu kuogopa uislamu na waislamu. Hivi kwa nini hamna amani nyie wagalatia msio na akili?
 
Kwa hiyo mkuu huyo Mungu wa Musa na agano la kale ndio huyu huyu wa leo au kabadilika ghafla siku za hivi karibuni? Au huyu wa agano jipya ni mwingine ambaye kaone yule wa Musa alikuwa mzinguaji? Au alikuwa na tabia za kishetani sasa ametubu na kujirudi na kugundua makosa yake?

mungu wa agano la kale anaitwa jehova.nasikia wanasema kulikuwepo vita kule mbinguni,yesu akitaka kumpindua jehova,kisha yesu akatupwa duniani baada ya kutaka kujifanisha na jehova.
akiwa duniani eti ndo akajigeuza nyoka na kumdanyang'anya adamu sijui ale tunda.
hapo ndo jehova akapanga kummaliza yesu kwa kumwamba msalabani,hadithi ikaishia hapo,ila warumi wakatunga kitabu kinaitwa agano jipya chenye maandiko tofauti na agano la kale
 
Uko Hai Moshi, misikiti mitatu iligundulika na jeshi la polisi kuwakusanya vijana 147 toka mikoa mbalimbali nchini kwenda kufundishwa karate bila kibali. Ili kuondoa hofu, ninaona ingekuwa kheri makanisa yakaanza kufadhili mafunzo ya karate kwa waumini wao , na kulichukua hilo kama agizo la dini. Maana biblia inaturuhusu inaposema, "mazoezi ya mwili yanafaa". Kwa sababu hawa makaratee waislamu wakivamia wakristo watajitetea vipi? Kama serikali haitazuia basi na wakristo wataanza makaratee makanisani, nyumba ya Sala inageuzwa nyumba ya makaratee
 
Makanisani kuna mafunzo ya ushoga na kulawitiana tu, labda sema wajitangaze rasmi tu
 
Watoto wangu wote wanasoma chuo cha karate tena ni wadogo miaka 6 na 3, lazima wawe wakakamavu, nimesoma madrasa zaidi ya 20 yrs iliyopita,tulikuwa tuna kipindi cha karate na tumecheza karate mbona hatujaitwa magaidi leo imekuwa nongwa?

Huwez compare 20 years ago na sasa...kumezidi kuwa na hali ya insecurity indicators... Hata mastermind wa game ya attack kule Garrisa university alikuwa ni Head teacher wa madrassa akafukuzwa ... Sasa kama dola iliacha kipindi hicho usishangae hali kubadilika ndugu
 

Attachments

  • 1428053387398.jpg
    1428053387398.jpg
    56.4 KB · Views: 262
Nisaidieni kumuelimisha huyu mtumwa wa akili kuwa mfumo wa Kizungu unahatarisha usalama wa maeneo wasiyoyataka!!! Walibya kwenda Ulaya kutafuta hifadhi ni sawa maana nchi yao imegeuzwa uwanja wa Vita, same kwa Congo, Nigeria, Somalia, Syria, Yemen, Egypt nk... Kugombea Visa Unamaanisha nini? Unafahamu kuwa Saudi Arabia ndo inaongoza kupokea watu wengi Zaidi kutoka katka kila kona ya Dunia? ... Western Media BBC, AlJazeera, CNN zimewapumbaza kiasi cha kushindwa kuona mambo kwa uhaliasia wake! Jiulizeni Alshabaab, Al Qaeda, Boko Haram, ISIS wanapata wapi Silaha? Fedha wanapata wapi? Kwanini BBC walikatiza matangazo yake pale Goodluck Jonathan wa Nigeria alipomuuliza Mtangazaji wao kwanini hawahoji kuhusu zilaha zinakotoka?!!! Itoshe kusema Makundi yaliyoanzishwa na CIA, MOSAD, MI6 yanalengo la kudhoofisha Uislam kama Mfumo uliokamilika na pia wanalengo la kuhakikisha kuwa wanaendelea ku-enjoy resources in exchanges of Loans, Protection na kuuza Silaha... Hope iko siku Mtazinduka ...
Pia mbona foleni zao ktk balozi za magharibi au makafiri ni kubwa kuliko huko kwa ndugu zao wastaarabu kwannini? ni unafiki tu gombeaneni visa za kwenda uarabuni kama mnavyogombania kwenda kwa wazungu!
 
Naombeni picha ya marehemu naniliu.. Alieanzisha hii 👉Dini
Au hakupiga picha kabla hajafa😈
 
Aisee hiki kitabu balaa.. sasa duniani unaambiwa usifanye zinaa halafu ukienda peponi unapewa vimwana 7 uwabikiri. Wajinga ndo waliwao.

Mkuu ni mabikra 72 na vivulana viwili, na unapewa nguvu ya kugegeda mia bila mchuzi wa pweza!

Pia mto wa pombe
 
Kwa hiyo mkuu huyo Mungu wa Musa na agano la kale ndio huyu huyu wa leo au kabadilika ghafla siku za hivi karibuni? Au huyu wa agano jipya ni mwingine ambaye kaone yule wa Musa alikuwa mzinguaji? Au alikuwa na tabia za kishetani sasa ametubu na kujirudi na kugundua makosa yake?

ewe mpenda ngono a.k.a THE WOMANIZER, huwezi kuelewa BIBLIA wakati unawaza ngono tu! Bora uchague ahera yenye ngono tu
 
mbaya zaidi wanaongezeka kama siafu ni 70% ya world population ni islam



watu wanaupiga vita uislam kwa hali na mali,,,nadhani itafikia wakati mtu utaogopa ht kujitambulisha km wewe ni muislam,,, na ishafikia tayari,,,,ni hatari sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom