Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
Watoto wangu wote wanasoma chuo cha karate tena ni wadogo miaka 6 na 3, lazima wawe wakakamavu, nimesoma madrasa zaidi ya 20 yrs iliyopita,tulikuwa tuna kipindi cha karate na tumecheza karate mbona hatujaitwa magaidi leo imekuwa nongwa?
 
vituo vyote vya yatima lazima visajiliwe.....hii nchi haiwezi kwenda kama kila mtu atafanya atakavyo bila kufuata sheria.Hao watoto walikuwa wanafunzwa mafunzo gani kwa njia ya kufichwa kama siyo ugaidi?

wamefichwa kwenye nini?,achana na majungu ya kina baba paroko bana.
 
tunajua kuwa makanisa mengi ndo yamejengewa ngome,na sehemu ya kuishi maaskofu na mapadri inakuwa imetengwa kwa ngome kubwa zaidi,yanayoendelea mle ndani ni siri kubwa sana.
kwa upande mwingine miskiti haina ngome na mtu anaingia na kutoka mda wowote.hayo mazingira ya kificho yako yako vipi maana haikuji
 
Hawa makafiri ni wakuchinja tu hawana maana tafadhali tumpiganie alla mkuu tujihakikishie thawabu na bikira saba kaka.

Mpiganie Yesu, leo anaelekea msalabani kuwambwa kwa makosa (dhambi) ulizofanya wewe!
 
leo hii hawa vilaza hawajui kuwa kareti licha ya kuwa mchezo iko kwenye category ya self defence?.ajabu sana
 
Suleman Rushdie yuko mafichoni zaidi ya miaka 20 sasa na bado hukumu iliyotolewa na Ayatollah bado ipo palepale.Hakuna serikali duniani iliyokubali kumpa ulinzi.Angalieni vikatooni vya Ufaransa vilivyoletaa kizaazaa duniani.Nawaomba saana tuyaache malumbano ya dini.Muache akae na dini yake na wewe ukae na yako
 
Siendi natinga masjidi asa ivi kula mafunzo ya ugaidi nimpiganie alla.

Hadi mtakapogundua mpo kwenye jahazi lililo toboka na huku mnaanza kuzama dunia ipo ukingoni.

Nachelea kusema hata ujio wa Masihi Isa mwana wa Maryamu au Yesu utakapo dhihiri, bila shaka mtajiandaa kumpopoa kwa mawe. Kwa sababu ujio wake utakuwa tofauti na matarajio yenu. Mmepewa akili hebu zitumieni kujitafakari juu ya imani yenu kwanza.
 
pelekeni watoto wakasome nyie watu mazoezi si akazunguke uwanja uko..badae mnaanza kulalamika wakrsto wanapendelewa makazini wakati shule hamna
 
Nyie watu WANAFIQ sana!

Yaani mnawachukia wakristo na wayahudi wakati mnatumia bidhaa wanazozitengeneza??

Nyie so mtakuwa WENDAWAZIMU nyie??????

Bidhaa zao hutengeneza kufuata masharti ya Uislaam na hupigwa muhuri wa ' halali' hivyo tuna akili timamu tunapotumia
 
pelekeni watoto wakasome nyie watu mazoezi si akazunguke uwanja uko..badae mnaanza kulalamika wakrsto wanapendelewa makazini wakati shule hamna

Ule mtego wa NECTA tumeufyatua hivyo tutaanza kwenda sawa tu
 
Hii movie makafiri mnaiomba; subirini inakuja na mtaona moto wake.

Hao polisi hawajaweza kuwakamata wanaowapora silaha kwa panga, wataweza kupambana na ugaidi?????


Mnachokitafuta mtakipata tu enyi mliokufuru.

Makafiri mnacheza na moto; mnashindwa kujifunza yanayotokea kenya.

Jamuhuri ya Afrika ya Kati (Central African Republic), kulikuwa na hali kama tunayoiona hapa na kulikuwa na mvutano wa dini kama huu waislam wakiwa na madai kama yenu. Ikafika sehemu wakaona wamekamilika kwa kila kitu kuweza kuwapiga wakristo na kuchukua haki zao, wakaanzisha kundi linaitwa Seleka, kutokana na fujo na manyanyaso kwa wakristo kuzidi, wakristo uvumilivu uliwashinda nao wakaanzisha kundi lao linaloitwa Anti-Balaka.

Kitu walichofanyiwa waislamu ilifika sehemu hata wakristo wenyewe wakaanza kuwaonea imani waislam kwa jinsi walivyopata tabu kwa hiyo never under rate Christians sababu tu ya uvumilivu wao na kudhani kuwa hawawezi fanya kitu chochote. Sasa tunataka na haya yafike Tanzania? Tuombe hali isiwe hivyo sababu sidhani kama tunafikiri vizuri sana wewe una nguvu utakimbia ila jua watakao pata shida/tabu ni wanawake, watoto, walemavu na wazee wako. Sasa u better be vigilant mnaweza kukutana na moto mtakao shindwa kuuzima kama wenzenu wa Seleka. Napita
 
Hawa wadudu ni tatizo wenzao wanakua na akili ya kugundua vitu wenyewe wanawaza kujilipua ili awai bikila zake 7 nikiwaza. Sana naona hiyo dini ililwetwa makusudi ili kuwamaliza akili waarabu lakini cha ajabu Kuna miafrika nayo ikaiga hata bila kufikiria ona sasa inawaza kujilipua tu
 
Jesus and Beelzebub
Mark 3:20-30:
ThenJesus entered a house, and again a crowd gathered, so that he and his disciples were not even able to eat. When his family heard about this, they went to take charge of him, for they said, ¡°He is out of his mind.¡±0„2And the teachers of the law who came down from Jerusalem said, ¡°He ispossessedby Beelzebub!By theprince of demons he is driving out demons.¡±0„2SoJesus called them and spoke to them in parables: ¡°How can Satan drive out Satan? If a kingdom is divided against itself, that kingdom cannot stand. If a house is divided against itself, that house cannot stand. And if Satan opposes himself and is divided, he cannot stand; his end has come. In fact, no one can enter a strong man¡¯s house and carry off his possessions unless he first ties up the strong man. Then he can rob his house. I tell you the truth, all the sins and blasphemies of men will be forgiven them. But whoever blasphemes against the Holy Spirit will never be forgiven; he is guilty of an eternal sin.¡±0„2He said this because they were saying, ¡°He has an evil spirit.¡± (Mark 3:20-30

Shule yako ni zero kabisa ndo maana huwezi kuelewa hata ulichokiandika.
 
sheria gani inayokataza kujifunza karet kwenye nyumba za ibada?
Mbona watu wanajifunza ushonaji, ujasiriamali na fani nyingi nyingine hukohuko na hawakatzi?

Au ni makosa watu kufundisha karet?
Mbona Kuna vyuo kibao mtaani vya judo na karet mpaka askari POLISI wanakwenda kujifunza?


Ni lini enyi watu mtakuwa wakweli na kutenda HAKI kwa taifa lenu?
Mnadhani mnaunufaisha ukristo kwa kuwakandamiza waislam au mnaandaa madhara kwa nafsi zenu WENYEWE ?

Kwasababu dhulma haidumu, na ikidumi inaangamiza.
MwenyeziMungu anayashuhudia Haya na kwa hakika hayatapita bure.

Daah kweli wewe jamaaa utakuwa umechanganyikiwa hiv unafananisha anaejifunza fundi charahani na karate?...hiv hii nchi kila raia akijifunza karate wajua itakuwaje?, mskitini ni nyumba ya ibada au ni uwanja wa mafunzo ya karate?
 
usalama wa taifa waimarike, takataka kama hizo hata tusipate taarifa kama zilikuwepo, mmalizane hukohuko. tusiwe walegevu kama wakenya. leo wale vijana pale wameenda na vifaru vya vita. nawapa pole lakini wanatuaibisha sana. pale wangetuma askari kanzu tu na bunduki hakukuwa na haja ya vifaru. kwa tz tuimarishe usalama wa taifa na akitokea mjinga tumshughulikie kisawasawa.

Aisee.. umeandika kama vile unamiliki nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom