Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
1.kumbe kufundisha mafunzo ya kiislam ni kinyume na sheria.
2.watoto wana miaka11-20.hv siku hz mtu mwenye miaka 20 ni mtoto.
in short ni kwamba mnamaanisha kwamba wanafundishwa ugaidi..
Hii nchi watu wakikosa vya kufanya wanakuja na program za kibwege sana

Ndugu yangu Quran imemaliza kila kitu na kuwatanabahisha waislamu juu ya wakristo na wayahudi.

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu. (Al-Baqara 2:120, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)


Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Al-Maeda 5:51, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)
 
Wakishahitimu mafunzo ya kujilipua kuwahi bikira ahera, wasisitizwe ili wafaidi hivyo wanavyowahi ni muhimu kulijilipua kwenye kundi la watu wenye itikadi ya kidini kama yao, ili wakafaidi wote. Wasiotaka kuwahi waachwe wasiwahishwe kwenye hizo karamu zao.

Watoto wa KIKRISTO waliokuwa wakisomeshwa na KANISA HUKO SONI LUSHOTO walishindwa kutazamwa na KANISA KIasi kwamba PADRI WA KIZUNGU Alikuwa ANAWALAWITI KILA SIKU.
View attachment 239931

Hawa watoto na Wazazi wao Wote wanafahamu Kuwa Watoto wao wako salama Na Wanachofundishwa hakikuwa Siri zaidi ya Makafiri Kuchukia UISLAMU.

Serikali Hii inataka Tuanze KUCHINJANA SIKU MOJA.
 
Ujinga wangu ni kuwaeleza wajilipue wenyewe? ulitaka walipue wasiowa itikadi yao? mbona wanaokula nguruwe hawalishi wasiokula au kuwaalika kwenye chakula chao. Heri we mwerevu maana ni hao wanaoamini kuua ni njia ya kwenda peponi.

Hao wachungaji wanaolawiti watoto wanatumwa na kanisa au ni ushetani wao tu?halikadhalika uislam ni amani ila kama watu wanafanya yao ni yao na wala si uislam japokuwa ni waislam au wanajiita waislam;hivyo usipende ku genaralize mambo kwa chuki zako binafsi;uislam haujaanza kupigwa vita leo badala ya kufa ndo unashamiri na sababu ni moja tu ni dini ya allah na ya kweli na pia uislam unatambua uwepo wa dini nyingine toka enzi za muhammad(sww)
 
Markaz ni utaratibu wa miaka mingi kwa wazazi wanao opt kuwapeleka watoto wao kujifunza dini,,, mikoa maarufu ni Tanga,, hujifunza na waofaulu huja hapa Gongolamboto na wengine huenda Al azhar kule Misiri na Madina.. masheik wengi wamepitia markazi hizi.. na kwa sasa markaz hizi hulea mayatima na watto wanaoishi kwenye mazingira magumu...hata Bunju kuna Markazi kama hii ikiongoza na cheif Kadhi kama sikosei.. Tuacheni chuki mbona mnawachukia waislam kiasi hiki? kama swala la karate.. ajabu iko wapi? mbona kuna maskauti shule nyingi tu chini ya kanisa? au waislam ndo iwe nongwa

HAKIKA ALLAH (subhana wataala) hakukosea aliposema:
HAWATOKUWA radhi mayahudi na manaswara mpaka (waislam) tufuate MILA zao.


HIVI KUNA SHULE NGAPI ZINA SKAUT WANAOFUMDISHWA UKAKAMAVU?

KUNA MADOJO MANGAPI YA KARET MTAANI MBONA HAYAFUNGIWI?

KUNA MAKANISA MANGAPI YAMENZISHWA MPAKA NYUMBANI KWA WATU TENA YANAKESHA KWA KUIMBA MBONA HATUSIKII YANAFUNDISHA DINI KINYUME CHA SHERIA?


WANACHO KITAFUTA WAKRISTO WA NCHI HII KUTOKA KWA WAISLAM WATAKIPATA NA KWA HAKIKA WATASHANGAA SIKU WAISLAM TUTAKAPO BADILIKA NA KUONDOA HII DHULMA WANAYO TUFANYIA.

YANAYOTOKEA KENYA YALINZA KAMA CHOKOCHOKO, LAKINI LEO TAIFA ZIMA LINALIA KWA MADHARA MAKUBWA WANAYO YAPATA.

WALIWAUWA VIONGOZI WA KIISLAM KWA MADAI WANAUNGA MKONO ALSHABAAB LAKINI HAIKUWA SULUHIAHO.
 
Ndugu yangu Quran imemaliza kila kitu na kuwatanabahisha waislamu juu ya wakristo na wayahudi.

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu. (Al-Baqara 2:120, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)


Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Al-Maeda 5:51, Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani)

Mashaalah Shukran nduguyangu Pona
ALLAH akubarik kwa ujumbe mzuri.

HIYO NI MESSAGE TOSHA KWA WAISLAM WOOTE.
 
Last edited by a moderator:
Yanayowakuta wenzetu Kenya hatuwezi kuyalea yakijengwa misikitini. Say no to ugaidi.
 
Dini tukufu ya mnyazi Mungu huwa inafundishwa msikitini . kwa nn tukamatwe?

Sababu ya kukamatwa inatokana na Duniani kote mnakofanya haya mafunzo huwa mnaanza kujilipua ndio maana hata uingereza wameanza oparesheni ya kuwatoa misikitini kwa sababu mnasingizia mafunzo ya mwenyezi mungu kumbe ni kuwahadaa watoto wanaanza kujilipua
 
Hao Nape, Kova na inteligensia ya polisisie, hawawaoni, wala hawana taarifa nao, wao na Red Briged tuuuuuu! These are even more dangerous than the esteemed Red Brgd!
Hivi nyie CHADEMA kwanini kila issue ikitokea mnapenda kulinganisha na lichama lenu? Hapa habari inahusu watoto kukutwa msikitini, Redbrigade imefikaje?
 
mafunzo ya kiislam yanatolewaje kinyume cha sheria?? acheni umbea
Hata dini yenyewe inafundisha mambo mengi ambayo yapo kinyume na sheria za kisekula, mfano kujichukulia sheria mkononi kwa kuchapa bakora, kukata mikono na miguu na kuua kwa jina la allah
 
Tatizo, kule kwenye ile dini, kumejaa kulazimishana.

Wapi na wapi, wewe unachapa bakora kijana kisa, hajui kusoma kimanga.

Kazi kweli kweli
 
mafunzo ya kiislam yanatolewaje kinyume cha sheria?? acheni umbea

Hapana, mafunzo ya kiislam yanatolewa kwa ufasaha wa hali ya juu sana, wanafundishwa upendo, kuheshimu dini zingine, kutoa misaada kwa watoto yatima, nk.
Napenda mafunzo ya kiiislam hasa haya ya kujificha mskitini, kimya kimya!
 
Laiti tungelijua undani wa haya mafunzo ya "gizani", tungetuliza akili zetu. Hivi makamanda wa Polisi wa mikoa siku hizi wana huruma na watu kama hawa kweli?

Kamata wote wanafunzi na walimu, watasema tu. Wamuulize Gwajima kwa nini alizimia akihojiwa. Ikiwezekana ile RUNGU kubwa ya FFU Musom ihusike kulegeza viungo vyao ili watuambie wanafundishwa/sha nini haswa na kwa malengo gani?
 
Yanayowakuta wenzetu Kenya hatuwezi kuyalea yakijengwa misikitini. Say no to ugaidi.

yatakayo tukuta ni zaidi ya Kenya.
mlundikano wa malalamiko na manung'uniko ya waislam Tangu uhuru mpaka Leo ni zaidi sana ya Kenya.

kenya wanalipa dhulma waliyoifanya kwa muda mchache chini ya miaka 10, ya Tanzania ni ya zaidi ya miaka 50, hayalipiki kirahisi kama unavyo dhani.

Ni suala la mda tu,
 
Swali...waliokotwa toka mikoa mbali mbali nchini ili baadaye wageuzwe kuwa misukule (al shabab) au kuna kitu nyuma ya pazia hapa?
 
Dini tukufu ya mnyazi Mungu huwa inafundishwa msikitini . kwa nn tukamatwe?

Huyo Mnyazi ndio Allah au? Maana Koran inasema Allah si Mungu na Allah mwenyewe anakili hilo.... na ili uwe Muislam lazima ukili kuwa hakuna Mungu ila Allah na Mwamedi ndio mesenja wa Allah na Waislam ni Watumwa wa mwamedi Slaves.. hii ipo wazi na haiana Mabishano... sasa hayo mafunzo nadhani ni kinyume cha Sheria... hao wanajifunza Ugaidi tu... ni Kosa...
 
Yanayowakuta wenzetu Kenya hatuwezi kuyalea yakijengwa misikitini. Say no to ugaidi.

Kweli kabisa mkuu, tatizo ndg zetu wamelewa kabs na dini kiasi cha kushindwa kutazama uhalisia wa mambo. Laiti wangejua chimbuko la BOKO HARAMU ambao wanaua mpaka waislamu wenzao wasingeilaumu serikali kwa hizi hatua inazochuka.
 
Huyo Mnyazi ndio Allah au? Maana Koran inasema Allah si Mungu na Allah mwenyewe anakili hilo.... na ili uwe Muislam lazima ukili kuwa hakuna Mungu ila Allah na Mwamedi ndio mesenja wa Allah na Waislam ni Watumwa wa mwamedi Slaves.. hii ipo wazi na haiana Mabishano... sasa hayo mafunzo nadhani ni kinyume cha Sheria...

View attachment 239947
 
Hata dini yenyewe inafundisha mambo mengi ambayo yapo kinyume na sheria za kisekula, mfano kujichukulia sheria mkononi kwa kuchapa bakora, kukata mikono na miguu na kuua kwa jina la allah

haswaaaa. . . . . . .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom