G
guest-1790917349
Guest
twafwa
Hahaaa...
twafwa
Siku zote muislam anaamini ugaidi ndio solution ya matatizo yake yote na anaona hiyo ndio njia sahihi ya kumfikisha ahera serikali ikisema ikague misikiti yote tanzania itakuta vitu vingi sana vya ajabu ajabu
Hata kanisa lina kamati ya majeshi au hujui hayo?
Karati ni maziezi ya viungo na ukakamavu wa vijana, wewe uliwahi muona mtu anapigwa karati mjini ? Karati ina discpline zake na hufundishwa kama mchezo na hata olypic ipo sawa na ndoni
Ugaidi hauji mahali hovyo hovyo unakuja na sababu.
Tusifanye uchochezi hautasaidii kama mnatumwa ili kuleta fisadi kamwe waislam wa tanzania sasa hawa hokozeki tena tumshajua njama hivyo kimyaa mnatukuta
Kafiri Ukyakya umewahi kujiuliza majeshi ya Kigalatia kwanini yamejazana kwenye nchi zd Kiislaam !?
Kosa ni lipi hapo? Wazazi wamelalamika watoto wao kupotea? Kupewa mafunzo ya Dini ni Kosa? Mwislam wa kweli lazima afanye mazoezi awe na afya njema... ndo maana Uislam unakataza Ulevi, Uzinzi, Uvutaji wa Sigara na vyote vyenye kudhuru Mwili... Isitoshe Uislam unahimiza kusaidiana baiana yao... Kosa ni nini? Nijuzeni tafadhali ..
WATOTO 140 wenye umri kati ya miaka 10 na 21 wamekamatwa wilayani Hai mkoani Kilimanjaro wakilelewa katika misikiti mitatu tofauti. Taarifa zilizopatikana wilayani hapa zinasema watoto hao wamekuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam kinyume cha sheria.
Kwa mujibu wa taarifa hizo, watoto hao waligundulika baada ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Hai kupata taarifa na kuwafuatilia kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, kati ya Machi 25 na 27 mwaka huu.
Taarifa hizo zimeyataja maeneo waliyokutwa watoto hao kuwa ni Misikiti ya Masjid Bilal, Masjid Othiman na Msikiti wa Kwa Kiriwe.Taarifa hizo zimesema katika Msikiti wa Masjid Bilal uliopo Mtaa wa Kibaoni wilayani hapa, walikutwa watoto wa kiume 70 wanaotoka katika mikoa mbalimbali nchini.
Watoto wengine 50 wa kiume walikutwa katika Msikiti wa Masjid Othiman uliopo Mtaa wa Uzunguni ambao nao inasemekana wamekusanywa kutoka maeneo mbalimbali nchini.
Taarifa hizo zinasema watoto wengine 27 walikutwa katika Msikiti wa Kwa Kiriwe ambako pia walikuwa wakifundishwa mafunzo ya dini ya kiislam na walimu Watanzania. Mkuu wa Wilaya ya Hai, Anthoy Mtaka, alikiri kuwapo watoto hao wilayani kwake.
Tukio hilo lipo na wanaohusika ni watu wanaotumia mwamvuli wa dini fulani kufanya mambo yasiyofaa katika jamii. Kwa hiyo naziomba mamlaka husika likiwamo Baraza Kuu la Waisalam Tanzania (BAKWATA) kutambua miskiti na shughuli zinazoendelea katika nyumba hizo za ibada.
Hili lazima walifanyie kazi kwa sababu hao vijana inasemekana wanafundishwa mazoezi makali ya kareti na judo katika nyumba hizo za ibada, alisema Mtaka.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Geofrey Kamwela, alisema atazungumzia tukio hilo leo. Kupatikana kwa watoto hao ni mwendelezo wa matukio ya watoto wanaolelewa kinyume cha sheria mkoani Kilimanjaro baada ya matukio mawili ya aina hiyo kuripotiwa hivi karibuni. La kwanza lilihusisha watoto 18 na la pili lilihusisha watoto 11 waliokutwa katika maeneo ya Lyamungo wilayani Hai.
Chanzo: Mtanzania
Kwani Ni haramu kujifunza karate au kufikia level Yakuwa sensei,,,,haramu Ni je unajifunza kwa lengo gani,kukaba watu au self defense Tu.....
we KAFIRI mvivu wa kufikiria,
Kwanini mchaga akasome Dodoma kwani huko MOSHI Hakuna vyuo/shule?
unafikiria kwa kutumia masaburi.
Ni sheria gani inayokataza kufundisha karate na judo?
Mbona gata mtaani kwetu Kuna madojo (vyuo) vya karate na judo mpaka Leo havijafungiwa?
Je huu sio uonevu?
Makanisa yanayofundisha ushonaji, upishi na muziki Mbona hauyaulizi kama hizo ni nguzo katika bible?
IPE AKILI YAKO NAFASI HURU YA KUFIKIRIA.
Kama uislamu ni kansa basi inshaalla alieileta hii dini atakuonyesha kansa maana unaonekana Kansa wewe huijui!
Tukisema hii nchi inaongozwa na mfumo kristo mnatupinga Waislam kufundishana dini yao ni kinyume cha sheria.
wana agenda ya siri hao jamaa wasitufanye wavivu wa kufikiri kwa kutaka kutuaminisha kuwa wanafundishwa mafundisho ya mwenyez Mungu.Kwanini wasifundishwe hayo mafundisho hukohuko maeneo wanakotoka,kwani pia kuna masikiti!
we KAFIRIIIIIII mwenye jina la kihindi tumia bongo kufikiria, Kuna sheria gani inayo kataza kufundisha karet msikitini ?Kwahyo ndiyo Allah kawatuma mfanye mazoezi ya Karate Misikitini.??