Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

Status
Not open for further replies.
Swali ni dogo tu kwanini wafanyie katika nyumba za ibada na hili hali hairuhusiwi

sheria gani inayokataza kujifunza karet kwenye nyumba za ibada?
Mbona watu wanajifunza ushonaji, ujasiriamali na fani nyingi nyingine hukohuko na hawakatzi?

Au ni makosa watu kufundisha karet?
Mbona Kuna vyuo kibao mtaani vya judo na karet mpaka askari POLISI wanakwenda kujifunza?


Ni lini enyi watu mtakuwa wakweli na kutenda HAKI kwa taifa lenu?
Mnadhani mnaunufaisha ukristo kwa kuwakandamiza waislam au mnaandaa madhara kwa nafsi zenu WENYEWE ?

Kwasababu dhulma haidumu, na ikidumi inaangamiza.
MwenyeziMungu anayashuhudia Haya na kwa hakika hayatapita bure.
 
Tukisema hii nchi inaongozwa na mfumo kristo mnatupinga Waislam kufundishana dini yao ni kinyume cha sheria.
 
Siioni mantiki ya kutilia mashaka juu ya kusanyiko la hao vijana/watoto. Maana kama kuna mafunzo ya kareti na judo ni maswala ya kuwafanya watoto kuwa wakakamavu na kujenga miili yao maana umri wao unaruhusu. Na ikumbukwe kuwa vijana haohao baadae watajiunga na majeshi yetu mbalimbali na hatimae kulitumikia taifa letu. Hata mashuleni jamani tulifundishwa ukakamavu km scout etc.
Kuendelea kutilia shaka ktk hili ni kuingilia uhuru wa kuabudu kwa ndugu zetu waislam otherwise kuwe na proof isokuwa na shaka kwamba mafunzo haya yanaviashiria vya uvunjifu wa amani. Vinginevyo ni upuuzi mtupu kwa jeshi la polisi kuvalia njuga suala hili.
 
Misukule ya kidigitali hii. Yaani mtu unajiua makusudi for the sake of who and for what cause? Viongozi wenyewe hawajiui ila watoto wa watu (misukule yao) ndio wanadanganywa kujiua ili waende heaven, for real?
 
Dini zote zinasisitiza kupendana na kuvumiliana tukifanya hivi bila kujali dini amani yetu itadumu sana.
 
Mstokwe na pov habari haijakamilika
 
Pia mbona foleni zao ktk balozi za magharibi au makafiri ni kubwa kuliko huko kwa ndugu zao wastaarabu kwannini? ni unafiki tu gombeaneni visa za kwenda uarabuni kama mnavyogombania kwenda kwa wazungu!
Kafiri Ukyakya umewahi kujiuliza majeshi ya Kigalatia kwanini yamejazana kwenye nchi zd Kiislaam !?
 
Last edited by a moderator:
"Mafundisho Kinyume Na Sheria"sasa mi sijaelewa hayo mafundisho ni yapi? je ni kosa nyumba ya ibada kukusanya watoto na kutoa elimu na kujifunza au kupata mafunzo ya judo na karate kwenye nyumba ya ibada ni kosa?kama ni hivyo iweje dini ingine ikifanya hivyo ionekane kosa na ingine ionekane safi kwa mfano hapo morogoro kuna kanisa la kibatisist lililopo maeneo ya kola maarufu kwa mnyonge wanajifunza karate za kufa mtu kanisa la kwa winga kunaushirika wa vipapa hawa ni watoto wadogo wanaojifunza mafunzo maalum kwa ajili ya dini yao sasa iweje kawa msikiti ionekane balaa
 
Siku zote muislam anaamini ugaidi ndio solution ya matatizo yake yote na anaona hiyo ndio njia sahihi ya kumfikisha ahera serikali ikisema ikague misikiti yote tanzania itakuta vitu vingi sana vya ajabu ajabu
 
"Mafundisho Kinyume Na Sheria"sasa mi sijaelewa hayo mafundisho ni yapi? je ni kosa nyumba ya ibada kukusanya watoto na kutoa elimu na kujifunza au kupata mafunzo ya judo na karate kwenye nyumba ya ibada ni kosa?kama ni hivyo iweje dini ingine ikifanya hivyo ionekane kosa na ingine ionekane safi kwa mfano hapo morogoro kuna kanisa la kibatisist lililopo maeneo ya kola maarufu kwa mnyonge wanajifunza karate za kufa mtu kanisa la kwa winga kunaushirika wa vipapa hawa ni watoto wadogo wanaojifunza mafunzo maalum kwa ajili ya dini yao sasa iweje kawa msikiti ionekane balaa

Waandishi wa Habari Tz ni makanjanja, hawajielewi, hawajui na hawajui kama hawajui. Ukisoma hiyo Habari mwanzo Mwisho utailewa akili ya upofu ya Mhariri, Mwandishi na huyo aliemhoji.
 
iv nyie watu akili zenu zimeingiliwa na mdudu gan kila wanachokifanya waislam lazima mkichungulie kwa jicho hasi inakuwaje ni lipi lengo?
 
Hao wachungaji wanaolawiti watoto wanatumwa na kanisa au ni ushetani wao tu?halikadhalika uislam ni amani ila kama watu wanafanya yao ni yao na wala si uislam japokuwa ni waislam au wanajiita waislam;hivyo usipende ku genaralize mambo kwa chuki zako binafsi;uislam haujaanza kupigwa vita leo badala ya kufa ndo unashamiri na sababu ni moja tu ni dini ya allah na ya kweli na pia uislam unatambua uwepo wa dini nyingine toka enzi za muhammad(sww)

una matatizo wewe ni wapi nimetaja uislamu? nimesema watu wenye imani kama zao, why umekimbilia kutaja uislamu? sijui kamaao ndio wenye hizo imani labda we uniambie ni wao.
 
FaizayFoxy tunaomba ufafanuzi juu ya tukio hili.
 
Kosa ni lipi hapo? Wazazi wamelalamika watoto wao kupotea? Kupewa mafunzo ya Dini ni Kosa? Mwislam wa kweli lazima afanye mazoezi awe na afya njema... ndo maana Uislam unakataza Ulevi, Uzinzi, Uvutaji wa Sigara na vyote vyenye kudhuru Mwili... Isitoshe Uislam unahimiza kusaidiana baiana yao... Kosa ni nini? Nijuzeni tafadhali ..
mnawafunza watoto kunfu na karate ili wapambane na nani ili hali wao ni watoto?.kwanini hamuwafunzi kushiriki mazoezi ya michezo ya kibiashara kama soka,riadha au uogeleaji?
 
mnawafunza watoto kunfu na karate ili wapambane na nani ili hali wao ni watoto?.kwanini hamuwafunzi kushiriki mazoezi ya michezo ya kibiashara kama soka,riadha au uogeleaji?

Kwani karate na kumfu sio michezo ya biashara..!?
 
hii dini ni ya kufutwa kabisa kwenye uso wa dunia

din ya watu maskin,dhaifu na wasio soma secular lkn kila cku inawasilimisha weng ina enea kwa ari na kas kadri wanavyojitahd kuzma nuru ya allah ndo kwanza inang'aa allah akbaru
 
Magaidi Wote ni waislamu!ingawa waislamu wote sio magaidi! Naamini Wote wana Mbegu Ya Ugaidi Ndani Yao.

Misikiti mingi inatumika kama Ni chanzo cha ku plan Ugaidi.

Ningekuwa mimi ndio Rais ningeivunja Yote kama walivyofanya Angola.
 
din ya watu maskin,dhaifu na wasio soma secular lkn kila cku inawasilimisha weng ina enea kwa ari na kas kadri wanavyojitahd kuzma nuru ya allah ndo kwanza inang'aa allah akbaru


Dini inayoua na kuchinja wasio wa Imani Yao.Kisa ili itawale yenyewe.

Bahati Mbaya zaidi ikishamaliza makafiri inaanza kujiua wenyewe Kwa wenyewe. Kweli hii inawasilimisha wengi Na inaenea Kwa kasi Kubwa Kwa kumaliza Wengine.
 
labda taarifa haiko sawa na kama iko sawa basi tutauliza kosa ni nini hapo??? wapo msikitini wanafundishwa mafunzo ya dini ya kiislamu, kwani mafunzo ya dini ya kiislamu yanatolewa wapi?? hawa watoto kwani hawana wazazi? kwa nini wazazi wao wasiulizwe kwanza,,,, kuna kosa gani mchana mtu akaenda shule na jioni akajifunza kujilinda au akafanya mazoezi mengine ya kiafya?? au ni kosa kufanya haya mazoezi ukiwa muislamu?? tunajitengenezea bomu sisi wenyewe, na inaonekana huu ugaidi tunataka uje maana vitendo vyetu vinaonyesha tunautamani!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom