Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,405
- 30,397
Ishu si mafunzo swala hapo ni mazingira hayo yanayotumika hasa huku walipokutwa hao watoto
Mbona madrass zipo na hakuna aliyewahi kuhoji!
mm najuaga zile ni hadithi za kutungwa tena ni hadithi nzuri sanaje,unakubali kwamba yesu alikua na mashetani kama maandiko yanavyosema?
mm najuaga zile ni hadithi za kutungwa tena ni hadithi nzuri sana
Mm naona ww ndio haujitambui uko usingiziniwewe umejitambua
Watoto wanaoshinda na kulala stendi na wanaoshinda na kulala mitaani kwenye masoko na wanaotumikishwa kwenye madanguro hawawaoni! au hayo ndio maadili ya mtanzania? Chuki nyinine hizi!
Mm naona ww ndio haujitambui uko usingizini
Siioni mantiki ya kutilia mashaka juu ya kusanyiko la hao vijana/watoto. Maana kama kuna mafunzo ya kareti na judo ni maswala ya kuwafanya watoto kuwa wakakamavu na kujenga miili yao maana umri wao unaruhusu. Na ikumbukwe kuwa vijana haohao baadae watajiunga na majeshi yetu mbalimbali na hatimae kulitumikia taifa letu. Hata mashuleni jamani tulifundishwa ukakamavu km scout etc.
Kuendelea kutilia shaka ktk hili ni kuingilia uhuru wa kuabudu kwa ndugu zetu waislam otherwise kuwe na proof isokuwa na shaka kwamba mafunzo haya yanaviashiria vya uvunjifu wa amani. Vinginevyo ni upuuzi mtupu kwa jeshi la polisi kuvalia njuga suala hili.
mwandishi wa hii habari ni kilaza wa aina yake,habari haiko balanced..eti wanafondishwa mafunzo ya kiislamu kinyume cha sheria,WHAT?...!!
HUYO
sijui mkurugenzi kitambi meneja a.k.a. mkuu wa wilaya usikute anapokea maelekezo kutoka sehemu
Kafir atabaki Kafir, Sisi tunamtukuza Allah aliye mjaalia ufahamu wa kutengeneza internet. Hata Yesu alifundishwa kuandika Tourat na Injil Qur'an: 3:45.
Misukule ya kidigitali hii. Yaani mtu unajiua makusudi for the sake of who and for what cause? Viongozi wenyewe hawajiui ila watoto wa watu (misukule yao) ndio wanadanganywa kujiua ili waende heaven, for real?
Mimi siwezi kujiangasha na mambo ya dini kama wewe hadi umefikia. Hatua ya kuolewa na muhamediUnatafuta bwana ehh?
Hawa jamaa hawana tolerance, hawajui hata free will, hivi Mungu si angetuumba wote waislamu kama wanaona uislam na dini nyingine haziwezi kucoexist
Dini inayoua na kuchinja wasio wa Imani Yao.Kisa ili itawale yenyewe.
Bahati Mbaya zaidi ikishamaliza makafiri inaanza kujiua wenyewe Kwa wenyewe. Kweli hii inawasilimisha wengi Na inaenea Kwa kasi Kubwa Kwa kumaliza Wengine.
Tatizo lake kaangalia sheria za nchi wakati ktabu chetu cha ara kuruani kinaruhusu mafunzo ya ugaidi na kuua makafir ili tujipatie mabikira 7 peponi.