baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 11,489
- 12,095
Ni mda watanzania wote bila kujali itikadi za vyama na dini zetu kutoka na kushinikiza mamlaka kumwachia Tundu Lissu bila masharti yoyote. Na mamlaka kutoka na kusema Polepole yuko wapi hii nchi sio mali ya mtu hii ni nchi ya wananchi wote au Mamlaka mnataka kuona Nguvu ya Umma ile ya October inaweza kua cha mtoto narudia tena ni mda sasa mamlaka zitoke ziseme Polepole yuko wapi ?
Watu ambao walitakiwa kua Jela wako uraiani alafu watu wa kua uraini wako jela huu Unyanyasaji mpaka lini kwenye nchi yetu?
Watu ambao walitakiwa kua Jela wako uraiani alafu watu wa kua uraini wako jela huu Unyanyasaji mpaka lini kwenye nchi yetu?