Watanzania wengi wanaamini adui yao mkuu alikuwa ni Sabaya. Wamefurahi wameridhika Maisha yanaendelea. Adui Mkuu anatabasamu tu

Bado tunaamini tatizo letu kubwa ni Sabaya na aliyekuwa Makonda. Wanasiasa watazidi kunawiri na kutuua pale tunapohatarisha vyeo vyao. Sababu hatuna akili.
Hapana, Sabaya na Makonda ni mbwa tu, mwenye mbwa ndiye alikuwa tatizo letu kubwa na kwa kuwa malipo ni hapa hapa, yeye tayari yuko pahala stahili. Mbwa kwa bahati wanaweza kupata bwana mwingine wakaendelea kubweka kama wewe Chizi Maarifa unavyobweka na kunawiri lakini siku zote watabaki mbwa tu.
 
Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa.

Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja kutokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm. Watu wakafurahi sana wakiamini kukwama kwao kiuchumi na mateso wanayoyapata ni kutokana na Makonda. Na sasa hayupo wamepata suluhisho.

Makonda yupo mtaani anaendelea na maisha yake,hajafirisika,hana tatizo hana tu cheo cha ukuu wa mkoa ambacho by the way hakuzaliwa nacho so hajapungukiwa kitu maishani. Ana utajiri wake na miradi yake inaendelea. Watanzania wamebaki maskini, wana shida,wananyaswa n.k ila wamefurahi makonda si mkuu wa mkoa.

Binafsi sikuwahi mpenda Makonda. Sababu ni nyingi tu. Lakini sikuwahi kuona yeye ndo chanzo cha kila kitu katika maisha yangu.

Tufikiri kidogo. Yale mabaya yote aliyoyafanya au daiwa kuyafanya makonda amewajibika kwayo?ameshtakiwa? Hapana. Ila watanzania wanafurahia tu kuwa makonda si mkuu wa mkoa wa dsm.wameridhika.

Sabaya kijana mjueri na fedhuli kwa kila namna. Naye ameondelewa kwenye nafasi yake. Watanzania wanashukuru na kusema ndiyo zawadi ya sikukuu. Mh Rais akapumzike tu hata mwaka.

Yaani matatizo yote ya watanzania yameisha kwa sabaya kuvuliwa cheo.na hapo Mh. Rais amefanya kazi kubwa sana ya kutukuka. Wamemaliza maisha yanaendelea.

Nani aliyeturoga sisi watanzania?ambao kwa kiasi kikubwa tunaendeshwa na ashki,mihemko na jazba? Je matatizo ya waliotuibia pesa,waliotutesa,waliotufisadi,waliotudhuru ni kuvuliwa tu vyeo?baada ya hapo maisha yanaendelea?

Nliwahi sema watanzania ukiwafahamu ni rahisi sana kuwaongoza. Hawana makuu.mambo madogo madogo sana huyafanya makuu. Ukicheza na hayo unawaongoza milele.

Watanzania wengi ukishika kitambaa chekundu ukataka kujua wao wanasemaje. Usitake rangi ya kitambaa kwanza.waulize "nyie mnaona hiki kitambaa ni rangi gani?" wakisema cheusi. Waambie "swadakta nmeshika kitambaa cheusi hii ni rangi iliyopo kwenye bendera ya Taifa" watakushangilia sana.

Watanzania hawa hawa ndo walikuwa wanashangilia wenzao wakidhalilishwa kwenye mikutano.na hawa wakijakutwa nayo wao wana ruka kimanga.

Watanzania mpaka sasa hawajui wanataka nini.hawajui inchi yao inaenda wapi,hawajui wao wanaendesha vipi nchi.

Sukari shida,mafuta ya kupikia shida,madeni ya mkoponwa Helsb yalipandishwa asilimia kinyume na utaratibu.watanzania hayo hawaoni ni shida.

Watanzania wanapenda vitu rahisi rahisi tu. Wanafurahia vitu rahisi rahisi tu. Hawapendi kuumiza kichwa,hawajui mustakabali wa nchi yao na maisha yao.

Miaka 5 itakatika. Hamna tulichofanya kama nchi. Ila tutafurahi na kuruka ruka. Itakuja tena mingine. Tutashtuka. Matajiri wanabaki kuwa (wenyenchi) ni wanasiasa na maskini ni (wananchi) raia.

Hawatauliza kodi zao miaka yote kwa nini zinatajirisha wanasiasa?mtanzania anayepokea tsh 250,000 anakatwa kodi mbunge anayepokea zaidi ya mil 5. Hakatwi kodi. Bado tunaamini tatizo letu kubwa ni Sabaya na aliyekuwa Makonda. Wanasiasa watazidi kunawiri na kutuua pale tunapohatarisha vyeo vyao. Sababu hatuna akili.
Utasononeka mpaka siku unaingia kaburini mbwa wewe
 
Yaani wewe umebakiza akili ya kuendea choloni tu! Unayaangalia maisha katika wigo mfinyu sana sana sana!!, Nyau wewe!
 
Hujaguswa na hawa makima
That's y unaongea tu.
imagine your relative be it a wife, son/daughter akamatwe apotee.... ungekuja na story tofaut na hii utopolo1
Ok ndugu yako amepotea sijui mke wako!!ndio inaumiza sana,je kuondolewa kwenye cheo uyo aliekuumiza ndio solution!!! Mleta uzi kaandika vizuri tu,kama haki isipotendeka na ikaonekana,atakuja mwingine ataumiza tena watu na kutia watu ulemavu, atatolewa na maisha yataendelea, CCM wanaelewa akili za watanzania usitegemee hata siku moja,watakuja kuwatendea haki!!
 
Wabongo wepesi sana, bado sana yani, imagine hadi watu wanaweka status picha ya jamaa akimlilia mwendazake, wengine wanataka rc wa Mbeya aondolewe, wafurahie zaidi. Hovyo kweli kweli
Ni kikundi tu cha watu fulani fulani wanaharakati pamoja na wale waarusha na kilimankyaro
 
Watanzania gani hao unaowaongelea? Kama unaweza, hebu fanya opinion poll kama ile ya Gallup nchi nzima ujionee idadi kubwa ya watanzania wenye uelewa mkubwa kuhusu mustakabali wa taifa wasiojisumbua kufikisha maoni yao kwenye mitandao. Tuko wengi sana. Aidha, sio kila mtu anawafahamu au anahangaika na watu binafsi kama Makonda na Sabaya. Btw, hii si nchi ya watu wajinga watupu. Wapo wa kila aina. Hivyo, kusema "hatuna akili" si sahihi. Ishia kwa unaokutana nao kwenye "circles" zako.

Elewa kwamba mada za hapa JF zinaanzishwa na kuchangamkiwa na watu walioguswa kipekee na suala (issue) au mtu maalum (particular individual). Sasa si sahihi kutumia nyuzi za aina hiyo kama ndio kielelezo cha "ufinyu wa akili za Watanzania"! Ikiletwa mada kuhusu Sabaya, basi focus ya michango itakuwa kuhusu maswahiba ya Sabaya. Zikija za Ndugai, Makonda, Hapi, Lissu, Lema, n.k. vivyo hivyo. Na si kila anayechangia mada hizo ni masikini au "mjinga" au haelewi "tatizo halisi".
Nakazia hapo hapo,watanzania wengi hawajielewi na ni wabinafsi,ni kweli kabisa,na kwa maelezo yako haya yanaonyesha wazi jinsi ulivyo mbinafsi,kwakuwa watu wanaoumizwa huna undugu au hawakugusi kwa namna moja au nyingine basi unaona ni kawaida tu!!wanastahili hayo yanayowapata.
Ubinafsi,kutojielewa,na ujinga ndio imetufanya watanzania tuwe kama tulivyo leo hapa,watu wanasaini mikataba mibovu madamu wao kuna kitu wanafaidi,watu wana hujumu miradi ya kimaendeleo madamu wao kuna kitu wanapata,watu wanavunja sheria ili mradi maslahi yao yawe salama!!
Yote hayo watanzania wako kimya!!! Kwanini tusiseme watanzania hatujielewi?!!
 
Aliyewai wapoteza watu hivyo ni nani? Amechukuliwa hatua gani? Ungetulia vizuri ungegundua nlichomaanisha. Mnafurahia kwa jambo dogo sana. Mtu ambaye amepoteza ndugu yako akivuliwa tu cheo anakuwa amepata adhabu gani? Unadhani jamaa atakuwa anasota kimaisha? Hujawahi kukutana na watu ambao wameiba mamilion ya pesa halafu wanaamua kuacha kazi? Wakafanye maisha mengine?
Watu wanademka na kucheza ngoma wasiyoijua ukweli kina Sabaya walitumika na waliowatuma wapo wametulia, wameamua kuwatosa sababu sasa hivi hawana haja nao tena ila watawaibua wengine kadri wanavyoona wanafaa
 
Jambo alilofanya Samia Suluhu la kumpumzisha Aliyekuwa DC wa Hai Bwana Sabaya linapaswa liwe jadi ya nchi na wananchi husika. Halipaswi liwe ni jambo kuu la kitaifa katika ulimwengu wa watu wastaarabu,wenye akili au uelewa.

Alikuwepo Makonda Dar es salaam.alifanya aliyoyafanya mpaka alipokuja kutokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dsm. Watu wakafurahi sana wakiamini kukwama kwao kiuchumi na mateso wanayoyapata ni kutokana na Makonda. Na sasa hayupo wamepata suluhisho.

Makonda yupo mtaani anaendelea na maisha yake,hajafirisika,hana tatizo hana tu cheo cha ukuu wa mkoa ambacho by the way hakuzaliwa nacho so hajapungukiwa kitu maishani. Ana utajiri wake na miradi yake inaendelea. Watanzania wamebaki maskini, wana shida,wananyaswa n.k ila wamefurahi makonda si mkuu wa mkoa.

Binafsi sikuwahi mpenda Makonda. Sababu ni nyingi tu. Lakini sikuwahi kuona yeye ndo chanzo cha kila kitu katika maisha yangu.

Tufikiri kidogo. Yale mabaya yote aliyoyafanya au daiwa kuyafanya makonda amewajibika kwayo?ameshtakiwa? Hapana. Ila watanzania wanafurahia tu kuwa makonda si mkuu wa mkoa wa dsm.wameridhika.

Sabaya kijana mjueri na fedhuli kwa kila namna. Naye ameondelewa kwenye nafasi yake. Watanzania wanashukuru na kusema ndiyo zawadi ya sikukuu. Mh Rais akapumzike tu hata mwaka.

Yaani matatizo yote ya watanzania yameisha kwa sabaya kuvuliwa cheo.na hapo Mh. Rais amefanya kazi kubwa sana ya kutukuka. Wamemaliza maisha yanaendelea.

Nani aliyeturoga sisi watanzania?ambao kwa kiasi kikubwa tunaendeshwa na ashki,mihemko na jazba? Je matatizo ya waliotuibia pesa,waliotutesa,waliotufisadi,waliotudhuru ni kuvuliwa tu vyeo?baada ya hapo maisha yanaendelea?

Nliwahi sema watanzania ukiwafahamu ni rahisi sana kuwaongoza. Hawana makuu.mambo madogo madogo sana huyafanya makuu. Ukicheza na hayo unawaongoza milele.

Watanzania wengi ukishika kitambaa chekundu ukataka kujua wao wanasemaje. Usitake rangi ya kitambaa kwanza.waulize "nyie mnaona hiki kitambaa ni rangi gani?" wakisema cheusi. Waambie "swadakta nmeshika kitambaa cheusi hii ni rangi iliyopo kwenye bendera ya Taifa" watakushangilia sana.

Watanzania hawa hawa ndo walikuwa wanashangilia wenzao wakidhalilishwa kwenye mikutano.na hawa wakijakutwa nayo wao wana ruka kimanga.

Watanzania mpaka sasa hawajui wanataka nini.hawajui inchi yao inaenda wapi,hawajui wao wanaendesha vipi nchi.

Sukari shida,mafuta ya kupikia shida,madeni ya mkoponwa Helsb yalipandishwa asilimia kinyume na utaratibu.watanzania hayo hawaoni ni shida.

Watanzania wanapenda vitu rahisi rahisi tu. Wanafurahia vitu rahisi rahisi tu. Hawapendi kuumiza kichwa,hawajui mustakabali wa nchi yao na maisha yao.

Miaka 5 itakatika. Hamna tulichofanya kama nchi. Ila tutafurahi na kuruka ruka. Itakuja tena mingine. Tutashtuka. Matajiri wanabaki kuwa (wenyenchi) ni wanasiasa na maskini ni (wananchi) raia.

Hawatauliza kodi zao miaka yote kwa nini zinatajirisha wanasiasa?mtanzania anayepokea tsh 250,000 anakatwa kodi mbunge anayepokea zaidi ya mil 5. Hakatwi kodi. Bado tunaamini tatizo letu kubwa ni Sabaya na aliyekuwa Makonda. Wanasiasa watazidi kunawiri na kutuua pale tunapohatarisha vyeo vyao. Sababu hatuna akili.
Unaambiwa arusha na hai tangu juzi kuna uhaba mkubwa sana wa bia zimeadimika
 
Binafsi sishangai kwanini watu wanakimbilia sana kwenye siasa na kuamini kuwa ndio ajira pekee inayoweza kukufanya ukawa bilionea.
Yote haya nikutokana kwamba wamezisoma akili zetu na ndio maana wapo radhi kuua, kuteka na kufanya lolote lile kwa maslahi yakwao binafsi.
Haiingii akilini kuona wabunge wanajadiri swala la kulipa kodi kizarendo wakati wao wanapata mishahara minono bila kukatwa Kodi alafu watanzania tunayafumbia macho maswala kama haya.
 
UVCCM ndio mnajifariji, SABAYA alikuwa adui wa wachagaa wote, kama baba yake mwendazake alivyochukia wachagga.
ADUI WA WOTE ni utawala uliopita kwa ujumla wake ukiongozwa na MAHERA, TUME YA UCHAGUZI NA JESHI LA POO-LYISYI
 
Hapana, Sabaya na Makonda ni mbwa tu, mwenye mbwa ndiye alikuwa tatizo letu kubwa na kwa kuwa malipo ni hapa hapa, yeye tayari yuko pahala stahili. Mbwa kwa bahati wanaweza kupata bwana mwingine wakaendelea kubweka kama wewe Chizi Maarifa unavyobweka na kunawiri lakini siku zote watabaki mbwa tu.
Malezi au pengine eneo ulilokulia na elimu ndo ntakavolaumu. Ungekuwa na hayo mema ungeelewa hata kilichoandikwa lakini sababu ya ukosefu umekuja andika ulichoandika. Siwezi kukulaumu. Wewe na Sabaya hamna tofauti. Tofaut kubwa wewe ni maskini na huna cheo. Yeye alikuwa na cheo. Lakini naye aliamini wenzie ni mbwa yeye ndo binadamu. 😁
 
Yaani wewe umebakiza akili ya kuendea choloni tu! Unayaangalia maisha katika wigo mfinyu sana sana sana!!, Nyau wewe!
Malezi au pengine eneo ulilokulia na elimu ndo ntakavolaumu. Ungekuwa na hayo mema ungeelewa hata kilichoandikwa lakini sababu ya ukosefu umekuja andika ulichoandika. Siwezi kukulaumu. Wewe na Sabaya hamna tofauti. Tofaut kubwa wewe ni maskini na huna cheo. Yeye alikuwa na cheo. Lakini naye aliamini wenzie ni nyau yeye ndo binadamu
 
Utasononeka mpaka siku unaingia kaburini mbwa wewe
Malezi au pengine eneo ulilokulia na elimu ndo ntakavolaumu. Ungekuwa na hayo mema ungeelewa hata kilichoandikwa lakini sababu ya ukosefu umekuja andika ulichoandika. Siwezi kukulaumu. Wewe na Sabaya hamna tofauti. Tofaut kubwa wewe ni maskini na huna cheo. Yeye alikuwa na cheo. Lakini naye aliamini wenzie ni mbwa yeye ndo binadamu
 
Binafsi sishangai kwanini watu wanakimbilia sana kwenye siasa na kuamini kuwa ndio ajira pekee inayoweza kukufanya ukawa bilionea.
Yote haya nikutokana kwamba wamezisoma akili zetu na ndio maana wapo radhi kuua, kuteka na kufanya lolote lile kwa maslahi yakwao binafsi.
Haiingii akilini kuona wabunge wanajadiri swala la kulipa kodi kizarendo wakati wao wanapata mishahara minono bila kukatwa Kodi alafu watanzania tunayafumbia macho maswala kama haya.
Hii hoja vilaza wengi hawajaielewa. Na ndo maana wengi unawaona wanajibu kwa mihemko. Upo sahihi kabisa na hayo watanzania hayawashtui. Wanaona ni sawa. Eti walipe kodi ya uzalendo huku wabunge wananeemeka tu
 
Malezi au pengine eneo ulilokulia na elimu ndo ntakavolaumu. Ungekuwa na hayo mema ungeelewa hata kilichoandikwa lakini sababu ya ukosefu umekuja andika ulichoandika. Siwezi kukulaumu. Wewe na Sabaya hamna tofauti. Tofaut kubwa wewe ni maskini na huna cheo. Yeye alikuwa na cheo. Lakini naye aliamini wenzie ni mbwa yeye ndo binadamu
Hii hoja vilaza wengi hawajaielewa. Na ndo maana wengi unawaona wanajibu kwa mihemko. Upo sahihi kabisa na hayo watanzania hayawashtui. Wanaona ni sawa. Eti walipe kodi ya uzalendo huku wabunge wananeemeka tu
Wote wewe na Sabaya mna matatizo ya akili.
 
Nakazia hapo hapo,watanzania wengi hawajielewi na ni wabinafsi,ni kweli kabisa,na kwa maelezo yako haya yanaonyesha wazi jinsi ulivyo mbinafsi,kwakuwa watu wanaoumizwa huna undugu au hawakugusi kwa namna moja au nyingine basi unaona ni kawaida tu!!wanastahili hayo yanayowapata.
Ubinafsi,kutojielewa,na ujinga ndio imetufanya watanzania tuwe kama tulivyo leo hapa,watu wanasaini mikataba mibovu madamu wao kuna kitu wanafaidi,watu wana hujumu miradi ya kimaendeleo madamu wao kuna kitu wanapata,watu wanavunja sheria ili mradi maslahi yao yawe salama!!
Yote hayo watanzania wako kimya!!! Kwanini tusiseme watanzania hatujielewi?!!
Ni nani aliyewaumiza hao watu? Amechukuliwa hatua gani?ndo maana huwa nasema watanzania ni wapumbavu.

Nyie mlikuwa mnayasema ya makonda hivi hivi. Zaidi ya kutolewa kwenye madaraka nani amemfungulia kesi?si mlishangilia tu kukosa kura za ubunge kigamboni. Zaidi ya hapo nini kimefanyika?

Nadhani watanzania wengi shule hamna.yaani unaona kwa sabaya kutolewa u dc tu inatosha. Wakati kwa nchi za watu wenye akili kungekuwa na kesi nyingi sana dhidi yake. Makonda si mlisema ameua na kuteka watu? Kuna kesi amefunguliwa? Huo ndo upumbavuh wa watanzania. Wanapata mihemko na mamBo madogo. Wakielekezwa wanashupaza shingo.
 
Kama ulikuwa umefungwa ,,halafu ukaja ukasawazisha, lazima ushangilie bana wee,,
Baadae ndo unafanya mipango ya kuongeza goli huku unalinda usifungwe tena.
Na match inaweza isha droo.

Mungu ni mwema, mi nahesabau wanannchi tunaongoza.
 
Back
Top Bottom