Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,077
- 22,792
Hapana, Sabaya na Makonda ni mbwa tu, mwenye mbwa ndiye alikuwa tatizo letu kubwa na kwa kuwa malipo ni hapa hapa, yeye tayari yuko pahala stahili. Mbwa kwa bahati wanaweza kupata bwana mwingine wakaendelea kubweka kama wewe Chizi Maarifa unavyobweka na kunawiri lakini siku zote watabaki mbwa tu.Bado tunaamini tatizo letu kubwa ni Sabaya na aliyekuwa Makonda. Wanasiasa watazidi kunawiri na kutuua pale tunapohatarisha vyeo vyao. Sababu hatuna akili.