Nguvu ya ushawishi aliyonayo Paul Makonda kwa Watanzania siyo ya kawaida, kuna kitu Mungu ameweka ndani yake

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu Watanzania,

Ukubali au ukatae,umchukie au umpende,unune ama ukasirike ,ulie ama uvimbe ,umchafue ama umzushie uongo Mheshimiwa Paul Christian Makonda utakubaliana na ukweli ambao Watanzania wanaendelea kuusema kuwa kwa hakika Mheshimiwa Makonda ana nguvu kubwa sana ya ushawishi, anakubalika kwa watanzania ni hakuna mfano,anapendwa kupita kiasi,ana aminika na watanzania ni hakuna mfano.

Huyu Mheshimiwa ni kama jemedari au shujaa aliyerejea na ushindi kutoka vitani.kuna jambo kubwa sana ambalo Mungu ameweka ndani yake, kuna kibali kikubwa sana Mungu kampatia mbele za watanzania, kuna jambo Mungu amekusudia juu ya Makonda na Taifa hili. Siyo mtu wa kawaida hata kidogo huyu Mwamba na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.

Angalieni namna anavyokimbiliwa na watanzania wenye shida huko kwote apitako,angalieni namna watu wanavyo miminika na kufurika kwenye mikutano yake na hata mabarabarani anakopita na msafara wake, angalieni namna watu walivyo na matumaini na imani kubwa na Mheshimiwa ,angalieni namna watu wanavyovuta pumzi ya imani na matumaini makubwa wapatapo nafasi ya kuelezea kero zao mbele yake.angalieni namna alivyokuwa gumzo nchini kwote kwa namna alivyogusa mioyo ya watu.

Angalieni namna kila mtu anavyotamani Mheshimiwa apewe nafasi za juu na nyeti serikalini baada ya uchaguzi mkuu hapo mwakani.

Angalieni namna hata akisimama tu mbele ya jukwaa au mbele za watu.mnamuonaje Watanzania wenzangu?

Mnamuona ni mtu wa kawaida? Hamuoni kuna jambo kubwa lipo ndani yake lililowekwa na Mungu mwenyewe?

Hamuoni huyu mtu kainuliwa na Mungu kwa makusudi maalumu na kazi maalumu na kwa wakati maalumu na kwa muda maalumu?

Anayetaka kushindana na Mheshimiwa Makonda hataweza hata kidogo, hakuna wa kumkwamisha wala kumzuia katika kuwasemea watanzania.mama yetu mpendwa Mama Samia amemuamini na chama kimemuamini kuwa mwenezi wetu.hivyo yeyote atakaye taka kupambana na Mheshimiwa basi ajuwe ya kuwa anapambana na mamilioni ya watanzania walio nyuma yake na wanaoendelea kumuunga mkono kutokana na uchapa kazi wake,uzalendo wake, ubunifu wake,utu na uungwana wake,ujasiri wake, Karama ya uongozi aliyo nayo, umadhubuti ,uimara na ushupavu wake,utayari wake wa kuwapigania na kuwasemea watanzania wanyonge pamoja na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

IMG-20240206-WA0027.jpg
IMG-20240202-WA0004.jpg
IMG-20240114-WA0016.jpg
img_tmp_tag1705908502140.jpg
 
Makonda roho yake ni nyepesi sana...ccm mnamtesa na mfumo wenu...hii nchi kuna sehemu angeifikisha...
 
Unahangaika sana atoke nje ya huo mfumo ndio atajijua ni mpuuzi wa mwisho hamna mtu apo
 
Hii takataka inasifiwa na takataka wenzie
Mwaka huu hadi utapata uwendawazimu kabisa.maana chuki yako binafsi kwa Mheshimiwa Makonda imegonga mwamba.umeongea uzushi na porojo zako lakini watu wameendelea kukupuuza na kukudharau tu .sasa umebaki huna cha kufanya zaidi ya kuugua moyo wako unapoona Mheshimiwa Mwamba Mwenyewe Makonda akichanja mbuga katika mioyo ya watanzania kwa kishindo kikuu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ukubali au ukatae,umchukie au umpende,unune ama ukasirike ,ulie ama uvimbe ,umchafue ama umzushie uongo Mheshimiwa Paul Christian Makonda utakubaliana na ukweli ambao Watanzania wanaendelea kuusema kuwa kwa hakika Mheshimiwa Makonda ana nguvu kubwa sana ya ushawishi, anakubalika kwa watanzania ni hakuna mfano,anapendwa kupita kiasi,ana aminika na watanzania ni hakuna mfano.

Huyu Mheshimiwa ni kama jemedari au shujaa aliyerejea na ushindi kutoka vitani.kuna jambo kubwa sana ambalo Mungu ameweka ndani yake, kuna kibali kikubwa sana Mungu kampatia mbele za watanzania, kuna jambo Mungu amekusudia juu ya Makonda na Taifa hili. Siyo mtu wa kawaida hata kidogo huyu Mwamba na kijana jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara.

Angalieni namna anavyokimbiliwa na watanzania wenye shida huko kwote apitako,angalieni namna watu wanavyo miminika na kufurika kwenye mikutano yake na hata mabarabarani anakopita na msafara wake, angalieni namna watu walivyo na matumaini na imani kubwa na Mheshimiwa ,angalieni namna watu wanavyovuta pumzi ya imani na matumaini makubwa wapatapo nafasi ya kuelezea kero zao mbele yake.angalieni namna alivyokuwa gumzo nchini kwote kwa namna alivyogusa mioyo ya watu.

Angalieni namna kila mtu anavyotamani Mheshimiwa apewe nafasi za juu na nyeti serikalini baada ya uchaguzi mkuu hapo mwakani.

Angalieni namna hata akisimama tu mbele ya jukwaa au mbele za watu.mnamuonaje Watanzania wenzangu?

Mnamuona ni mtu wa kawaida? Hamuoni kuna jambo kubwa lipo ndani yake lililowekwa na Mungu mwenyewe?

Hamuoni huyu mtu kainuliwa na Mungu kwa makusudi maalumu na kazi maalumu na kwa wakati maalumu na kwa muda maalumu?

Anayetaka kushindana na Mheshimiwa Makonda hataweza hata kidogo, hakuna wa kumkwamisha wala kumzuia katika kuwasemea watanzania.mama yetu mpendwa Mama Samia amemuamini na chama kimemuamini kuwa mwenezi wetu.hivyo yeyote atakaye taka kupambana na Mheshimiwa basi ajuwe ya kuwa anapambana na mamilioni ya watanzania walio nyuma yake na wanaoendelea kumuunga mkono kutokana na uchapa kazi wake,uzalendo wake, ubunifu wake,utu na uungwana wake,ujasiri wake, Karama ya uongozi aliyo nayo, umadhubuti ,uimara na ushupavu wake,utayari wake wa kuwapigania na kuwasemea watanzania wanyonge pamoja na kujitolea kwa ajili ya Taifa letu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.

View attachment 2896439View attachment 2896440View attachment 2896441View attachment 2896442
ANGEKUWA NA NGUVU ANGEMSHAWISHI MUNGU ili MWENDAZAKE AFUFUKE

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Tulisha ona kitambo...akiombewa na Mch.palee Kimara
 
🚮
 
Back
Top Bottom