Watanzania Wengi Wana Chuki, Wivu na Husda

Watanzania Wengi Wana Chuki, Wivu na Husda

Njoo uku wilaya biharamulo kuna jamii ya wasubi hawapend kazi, wanapenda pombe, wanafki, wako tyr kukuroga ufiriske kabsa, wanapenda kuskia unalia shda, una matatzo, hawataki mhamiaji ufanikiwe, maisha yao wakikaa ni kujadili watu tu.
 
Kwa Tz, mtu anaeishi maisha halisi ni yule anaepost vitu vya kifukara fukara, ukipost mafanikio au vitu flani VIP. Utaitwa fake au unavimbia watu
Kule mjini ticktock kuna watu wanafanya content majumbani kwao vijijini wanao nesha wanavyopika na kuni na mambo kama hayo, kuna watu huwa wanacomment hizi ndio content zenye uhalisia, Unajiuliza huyu hata maana ya uhalisia anaijua kweli? Maana yake wanaofanya content makwao kwenye mijengo ya migorofa content zao hazina uhalisia 😂

Kuna mchanganyiko wa ujinga na umasikini 🤣

Tusamehe ndio tulivyo
 
Kwahio kama huyo Mswahilo anapenda hayo magari na hela ya kununua anayo, ni kosa kununua sio? Kumbe hii ndio moja ya sababu mnamponda mnunuzi wa hizo gari!
Hoja si uwezo wa kununua, bali mantiki ya matumizi katika mazingira yetu. Hivi: kuvaa mfano mink coat(vazi la bei mbaya) Joto la Dar es saalam inaingia akilini?
 
Mtu anafake maisha na Rolls Royce au Bentley? Kwa miaka kadhaa anafake tu.
Vijana wanajipanga. Kama unaangalia music videos za hip hop kama akina Rick Ross utaona kuna scene za airport kuna private jet na Rolls Royce,Bentley kwemye runway zinashusha mastaa ndio scene kijana alikuwa anaitamani na juzi kafanya reality😀😀
Walahi kwa ground watu wanapiga mzigo kweli kweli ili waishi masinema yao.
 
Hiyo hali ipo hata humu JF,
Mtu akianzisha uzi kua maisha yamempiga,basi atapewa pole,ataambiwa pambana utatoka tu,usikate tamaa,watampa kila neno la faraja,
Ila mtu akileta uzi kua ana maisha mazuri,atapigwa vita,hama hapo kwa shemeji yako,amka kumekucha utajikojolea...

Watu wa aina hii ni watu waliojikatia tamaa ya maisha,akisikia mtu ana dhiki basi anakua anafarijika sana kwa kuona kua kumbe wapo na wengine wana dhiki kama yeye.
 
Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe.

Sasa hivi karibuni mke wa huyu msanii kanunua Bentley, yaani maneno yale yale yamerudi. Mara used, bei yake sio ile ni hii yaani ni tafrani ili mradi tu kumshusha. Wengine wanaenda mbali zaidi kuingia mitandaoni kutafuta gari kama hio iliogongwa au kuwa scrapped huko ughaibuni na kusema ndio bei za haya magari.

Kwanini watu wanakuwa na roho za namna hii? Hata humu JF mtu akipost kitu chake gari au nyumba watakuja watu na kuanza kumkashifu kwa maneno ya kejeli na dhihaka. kwanini lakini? Yaani watu wako busy na mitandao mwezi mzima kujadili gari ya mtu kuwa bei ni ndogo sana,mara used sasa hata ikiwa used wewe unapungukiwa nini? Au kama inauzwa 10m yeye kasema 100m wewe unapungukiwa nini?
UNGEJIULIZA SWALI LA KIMANTIKI NI, KWANINI UPOST MAISHA YAKO KUYAFANYA PUBLIC ALAFU UCHAGUE KUTAKA KUSIFIWA TU!!!

KENGE WAHED,,,,GADDEMITT!!!!


HAO WASANII UCHWARA WANASEEK ATTENTION AND VALIDATION.MSANII KUNUNUA GARI LA GARAMA NA KISHA KULIPOST INASAIDIA NINI MASKINI MILLIONI 61 WALIOBAKI NCHI AMBAYO KULA MILO MITATU NI ANASA!!!

WACHA APOPOLEWE MAANA NI UKWELI ULIO WAZI KUWA HAWANA PESA KAMA WANAVYOJINADI ILA NI MWENDO WA KUFAKE TU.

HAO WASANII UCHWARA,HAWANA PESA BALI NI WATAKATISHAJI WA PESA NA BIASHARA HARAMU HAKUNA MZIKI WALA NINI.

KUNA MWINGINE KILA SIKU MIPICHA YUPO IBIZA MARA YUPO VIWANJA VIKALI ANATAKULA BATA ILA KAZI ANAZOFANYA HAZIJULIKANI. ANAKAZI YA KUNUNUA GARI ZA GHARAMA ALAFU HANA PESA YA KUSAJILI.

😀😀😀WACHA WAPOPOLEWE HAWANA MCHANGO WOWOTE KATIKA NCHI HII ZAIDI YA KUTUKUZA NGONO ZEMBE NA TABIA ZA KIMALAYAMALAYA NA USHOGA!!!
 
Mswahili kununua Rolls-Royce, Bentley au Cadillac kwa kujionyesha ni ushamba wa kuazima!
Haya ni magari yaliyokuwa alama za aristocracy, social status na social rank Ulaya—si luxury tu. Aristocrat aliyanunua kusisitiza nafasi yake katika jamii.

Sisi Waswahili hatuna hiyo aristocratic social hierarchy. Kwa hiyo kuiga alama zake bila kuwa na hiyo hierarchy ni kama kuvaa taji wakati hakuna ufalme. 😄
Kwisha umemaliza kila kitu,status anxiety ndio kinachowasimbua hao malimbukeni ambao wakipatwa matatizo hayo makadillac hayawasaidii kitu badala yake wanapitisha bakuli.

Jitu halina hata bima ya maisha wala uwekezaji wowote wana maana linaenda kununua gari ambayo yeye asipokuwepo halina kazi tena.

FUCKING CHIVAYO MENTALITY!!!


📌KENGE WAHED,,,,,GADDEMIT!!!
 
Mda mwingne unatakiwa ujifunze kabla ya kuraumu au kutukana watu
Ni ivi watu wanakupokea vile umekuja

Alikua na uwezo wa kununua na kunyamaza adi tuione akiendesha ila kitendo cha kupost mtandaoni na kuongea maneno meng bas watu nao wakatoka maoni yao so sizan kama ni roho mbaya ila ni amepokelewa kama alivyokuja
 
Back
Top Bottom