mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 8,036
- 23,068
Yeap... Na ukute anayeonewa wivu kafungamana na ccm hapo chuki lazima iwe square rootUtawala wa CCM ndio chanzo kikubwa cha chuki Tanzania
Yeap... Na ukute anayeonewa wivu kafungamana na ccm hapo chuki lazima iwe square rootUtawala wa CCM ndio chanzo kikubwa cha chuki Tanzania
Mdogo wangu upo?Na wale wa humu wanaosemaga jf kila mtu ana hiki jf kila mtu ana kile nao wanaingia kwenye hilo kundi, bora ukutane na chui kuliko ukutane na mtu mwenye roho ya kwanini anaweza hata kukuua, binafsi huwa napenda watu wanaoonesha mafanikio yao majitu yanayoumia yakafie mbele huko
Kwahio kama huyo Mswahilo anapenda hayo magari na hela ya kununua anayo, ni kosa kununua sio? Kumbe hii ndio moja ya sababu mnamponda mnunuzi wa hizo gari!Mswahili kununua Rolls-Royce, Bentley au Cadillac kwa kujionyesha ni ushamba wa kuazima!
Haya ni magari yaliyokuwa alama za aristocracy, social status na social rank Ulaya—si luxury tu. Aristocrat aliyanunua kusisitiza nafasi yake katika jamii.
Sisi Waswahili hatuna hiyo aristocratic social hierarchy. Kwa hiyo kuiga alama zake bila kuwa na hiyo hierarchy ni kama kuvaa taji wakati hakuna ufalme. 😄
Ukipost shida na matatizo utapata maneno kibao ya faraja na kujibiwa kwa bashashaKwa Tz, mtu anaeishi maisha halisi ni yule anaepost vitu vya kifukara fukara, ukipost mafanikio au vitu flani VIP. Utaitwa fake au unavimbia watu
Tusamehe ndio tulivyo
Watu wanapenda ukiposti shida , kwasababu wanatumia kama kipoozeo cha shida zaoUkipost shida na matatizo utapata maneno kibao ya faraja na kujibiwa kwa bashasha
Inasikitisha sanaTusamehe tu tu prond , ni umaskini tu na tabia zake ndio unatusumbua.
Best una buku benga hapo nikutumie namba chap nipate ya sukari??
Kuna watu wanaambiwa wanafake maisha, hivi jamani utafake maisha kwa resources za nani? Utaishi kwenye nyumba nzuri ya nani kila siku na kuendesha magari yake mazuri.Ni wivu wa kijinga. Kama mambo ni rahisi hivyo, kwa nini na wewe usinunue alafu uongeze hiyo sifuri?
Binafsi, mimi navutiwa na watu wanaopiga hatua kwenye maisha kwa sababu wananipa motisha ya kupambana Zaidi.
Maskini anaanzaje kuwa na roho ya kawaida wakati muda wote anawaza mabaya tu.Hivi masikini hawezi kuwa na roho ya kawaida?
Kununua magari mapya tuilaumu financial system yetu hasa mabenki. Nchi nyingi watu wanamiliki magari na nyumba nzuri kwa finance/mortgage. Kutoa $100,000 kununua gari wanaweza asilimia chache sana duniani achilia mbali Tanzania.Jokes aside, kodi kubwa zinazowekwa kwenye magari mapya ilimradi tu tusiweze kununua 0KM hili jambo linaeleza jamii ya kitanzania na viongozi wetu wanavyochukulia mambo
Walikuomba mahitaji yao?JF kuna masikini wa kutupwa kabisa
Mtu anafake maisha na Rolls Royce au Bentley? Kwa miaka kadhaa anafake tu.Kuna watu wanaambiwa wanafake maisha, hivi jamani utafake maisha kwa resources za nani? Utaishi kwenye nyumba nzuri ya nani kila siku na kuendesha magari yake mazuri.
Mtu anayeongeza 0 maana yake ana 0 zingine to begin with.