CCM ndio chanzo cha umasikini TanzaniaUmasikini m'baya sana
CCM ndio chanzo cha umasikini TanzaniaUnaskini ni mzigo
Saddism ni dalili kuu ya umasikini uliokithiriNakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe.
Sasa hivi karibuni mke wa huyu msanii kanunua Bentley, yaani maneno yale yale yamerudi. Mara used, bei yake sio ile ni hii yaani ni tafrani ili mradi tu kumshusha. Wengine wanaenda mbali zaidi kuingia mitandaoni kutafuta gari kama hio iliogongwa au kuwa scrapped huko ughaibuni na kusema ndio bei za haya magari.
Kwanini watu wanakuwa na roho za namna hii? Hata humu JF mtu akipost kitu chake gari au nyumba watakuja watu na kuanza kumkashifu kwa maneno ya kejeli na dhihaka. kwanini lakini? Yaani watu wako busy na mitandao mwezi mzima kujadili gari ya mtu kuwa bei ni ndogo sana,mara used sasa hata ikiwa used wewe unapungukiwa nini? Au kama inauzwa 10m yeye kasema 100m wewe unapungukiwa nini?
Na CCM ndio chanzo cha umasikini wenyewe TanzaniaTusamehe tu tu prond , ni umaskini tu na tabia zake ndio unatusumbua.
Best una buku benga hapo nikutumie namba chap nipate ya sukari??
CCM ndio chanzo cha haya yote.Hali ipo hivyo hata mtaani Mkuu, watu wana hila, watu wana roho ya inda, watu wana roho ya kwanini, watu wana roho ya ikidi, watu wamejawa na husuda…
Ndiyo maana kufanikiwa kwetu inakua ngumu sana, sijui hii roho watz tuliitoa wapi
Na CCM ndio chanzo cha haya yote.Kutenganisha roho mbaya na umasikini ni kazi sana.
Kwanini watu wanakuwa na roho za namna hii? Hata humu JF mtu akipost kitu chake gari au nyumba watakuja watu na kuanza kumkashifu kwa maneno ya kejeli na dhihaka. kwanini lakini?
Hakika wanapenda kusikia negative tu , madunya kama hayo nikutowatilia maanani tuWatu wanapenda kusikia umelala njaa na umevunjika miguu yote na kupooza uno. Hapo watasuuzika sana roho huku wakijifanya kukupa pole na kukupangusa machozi.
ila ukiwaambia umenunua VIEITEE kama ile niliyoinunua juzi kwa mkopo wa SONGESHA watanuna kwa ghadhabu unaweza hata ukarogwa mpaka mdomo uende upande.
Mdomo ukishaenda upande, wanarudi tena kukupangusa machozi.
Nachoka sana.
Cc: Lamomy binti kiziwi Harmful Mbaga Jr Tlaatlaah Seran secretarybird
chimbuko la yote hayo ni unyonge wao tu wa kiuchumi, kwasababu daima wenye chuki za aina hiyo ni wavivu sana.Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe.
Sasa hivi karibuni mke wa huyu msanii kanunua Bentley, yaani maneno yale yale yamerudi. Mara used, bei yake sio ile ni hii yaani ni tafrani ili mradi tu kumshusha. Wengine wanaenda mbali zaidi kuingia mitandaoni kutafuta gari kama hio iliogongwa au kuwa scrapped huko ughaibuni na kusema ndio bei za haya magari.
Kwanini watu wanakuwa na roho za namna hii? Hata humu JF mtu akipost kitu chake gari au nyumba watakuja watu na kuanza kumkashifu kwa maneno ya kejeli na dhihaka. kwanini lakini? Yaani watu wako busy na mitandao mwezi mzima kujadili gari ya mtu kuwa bei ni ndogo sana,mara used sasa hata ikiwa used wewe unapungukiwa nini? Au kama inauzwa 10m yeye kasema 100m wewe unapungukiwa nini?
Hiyo ni miongoni mwa sababu nyingi lakini sio sababu pekee.Na CCM ndio chanzo cha haya yote.
Shida za maisha tutazitatua 😊Na ukute anaetukana Bentley la zuchu hajui mchana atakula Nini😄
Bora mie nimepewa shida roho ya kutu nimenyimwa🤣
Naunga mkono hojaAibuu
Na haya mambo hayapo tu Kwa macelebrity Bali Hadi ngazi za koo na familia.
Mtu anaumia ukimpita kimaisha anataka mbaki levo sawa.
Ni kweliShida za maisha tutazitatua 😊
Tupige kazi
Naunga mkono hoja
Ni sababu kuuHiyo ni miongoni mwa sababu nyingi lakini sio sababu pekee.