Watanzania Wengi Wana Chuki, Wivu na Husda

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
60,482
Reaction score
139,450
Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe.

Sasa hivi karibuni mke wa huyu msanii kanunua Bentley, yaani maneno yale yale yamerudi. Mara used, bei yake sio ile ni hii yaani ni tafrani ili mradi tu kumshusha. Wengine wanaenda mbali zaidi kuingia mitandaoni kutafuta gari kama hio iliogongwa au kuwa scrapped huko ughaibuni na kusema ndio bei za haya magari.

Kwanini watu wanakuwa na roho za namna hii? Hata humu JF mtu akipost kitu chake gari au nyumba watakuja watu na kuanza kumkashifu kwa maneno ya kejeli na dhihaka. kwanini lakini? Yaani watu wako busy na mitandao mwezi mzima kujadili gari ya mtu kuwa bei ni ndogo sana,mara used sasa hata ikiwa used wewe unapungukiwa nini? Au kama inauzwa 10m yeye kasema 100m wewe unapungukiwa nini?
 
Ni kweli.kabisa
 
Watanzania hawapendi maendeleo ya wengine huku wao wakiwa wamejificha kwenye bajaji huwa nawashangaa sana hawa ndugu zangu wanawezaje kujadili Bentley huku wakiwa wanaangalia passo isivujishe oil mwingine anaikosoa Hilux ya 2026 huku akiwa anataka kumrusha boda boda magari makubwa ambayo sina uwezo nayo huwa nayaangalia tu kama kwenye movie watu wengi hatujapanda G 63 ya 2025 kuja mbele ila ukiwaona wasizwa wanavyoichambua kama vile zimejaa kigogo..
 
Watu wanapenda kusikia umelala njaa na umevunjika miguu yote na kupooza uno. Hapo watasuuzika sana roho huku wakijifanya kukupa pole na kukupangusa machozi.

ila ukiwaambia umenunua VIEITEE kama ile niliyoinunua juzi kwa mkopo wa SONGESHA watanuna kwa ghadhabu unaweza hata ukarogwa mpaka mdomo uende upande.

Mdomo ukishaenda upande, wanarudi tena kukupangusa machozi.

Nachoka sana.

Cc: Lamomy binti kiziwi Harmful Mbaga Jr Tlaatlaah Seran secretarybird
 
Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe.

Sasa hivi karibuni mke wa huyu msanii kanunua Bentley, yaani maneno yale yale yamerudi. Mara used, bei yake sio ile ni hii yaani ni tafrani ili mradi tu kumshusha. Wengine wanaenda mbali zaidi kuingia mitandaoni kutafuta gari kama hio iliogongwa au kuwa scrapped huko ughaibuni na kusema ndio bei za haya magari.

Kwanini watu wanakuwa na roho za namna hii? Hata humu JF mtu akipost kitu chake gari au nyumba watakuja watu na kuanza kumkashifu kwa maneno ya kejeli na dhihaka. kwanini lakini? Yaani watu wako busy na mitandao mwezi mzima kujadili gari ya mtu kuwa bei ni ndogo sana,mara used sasa hata ikiwa used wewe unapungukiwa nini? Au kama inauzwa 10m yeye kasema 100m wewe unapungukiwa nini?
Matairi kipara hahaha
 
Hali ipo hivyo hata mtaani Mkuu, watu wana hila, watu wana roho ya inda, watu wana roho ya kwanini, watu wana roho ya ikidi, watu wamejawa na husuda…
Ndiyo maana kufanikiwa kwetu inakua ngumu sana, sijui hii roho watz tuliitoa wapi
 
Back
Top Bottom