Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

Watanzania wanataka amani na maendeleo sio demokrasia

Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
There is no point ya kuwa na maendeo halaf huwezi kuyatumia sababu hamna democrasia

Ulichoandika hapa ni uteer bulshit na ni different na watanzania walivyo kwa ground
 
Utter nonsense! Who told you?
Kama demokrasia inasababisha watu kufa, mali za umma na watu kuchomwa moto na kuibiwa ni bora amani, uhai na usalama wa watu na mali zao kuliko demokrasia.
 
Amani na maendeleo huku ukiongea ukweli unatekwa na kuuliwa? Kwanza kwa jinsi hali ilivyo na aina ya viongozi Ccm iliyo nayo sasa hivi ni wazi kuwa maendeleo ni kitu kisichowezekana ina viongozi hopeless kabisa wasio na maono wala udhubutu wamekalia ufisadi na ujangili
 
Una uhakika Ulaya huko huwa hakuna Mikutano ya vyama vya Siasa baada ya Chaguzi au unahisi tu ???
HAkuna. Uhakika ninao, hakuna mikutano ya hadhara inayofanywa nchi nzima. Kama wangefanya hivyo wangekuwa maskini sawa na Afrika.
 
Hata maana ya demokrasia huijui,hivi ccm ndio wameishiwa kiasi hiki?
Demokrasia ipi kaka kama jamii iko kimya wakati mabinti wao wanakeketwa na kunyimwa ardhi na wanawake wanapigwa kama ng'ombe? Wanapigania haki zipi kama sio kusababisha vurugu nchini?. Kama umeshindwa kutoa haki kwenye ngazi ya familia utaweza kwenye ngazi ya taifa?
 
Hakuna amani , hakuna maendeleo unyanyasaji ,utekaji na uuaji ndio ulio tamalaki kwa wingi
Wewe unadhani ndani ya familia kuna amani na haki kama watoto wa kike ukiwanyima urithi wa ardhi ya wazazi wao? Kuna amani na haki gani kumkeketa binti yako kwa nguvu? Kuna amani na haki gani kama jamii iko tayari kumchoma moto mwizi wa simu? . Wanasiasa na wanasheria lazima wajikite kwanza kukuza haki na demokradia kwenye ngazi ya familia na jamii kabla ya haki ionekane Ikulu tu.
 
Watanzania wako tayari kuvumilia ukosefu wa haki na demokrasia lakini hawako tayari kuvumilia ukosefu wa amani, utulivu na usalama. Hii inatokana na ukweli kwamba wamezaliwa, kulelewa na kukulia kwenye familia, mitaa, jamii na taasisi ambazo hazitoi haki wala demokrasia.

Mfano, kuna jamii ambazo watoto wanavumilia kunyimwa haki ya kurithi mali kama ardhi za wazazi wao kwa visingizio vya kipuuzi kabisa lakini wapo tu wanadunda.

Nchi kama China, NKorea, Cuba na Urusi hakuna demokrasia ya magharibi lakini kwao sio tatizo.

Naunga mkono wazo la kuzuia harakati za kisiasa nchini baada ya uchaguzi kwisha kama vile nchi iko kwenye kampeni za uchaguzi tena. Hata Ulaya na Marekani uchaguzi ukishamalizika huwa hawafanyi siasa za kuzunguuka nchi nzima kwa mikutano ya hadhara.

Ningeishangaa serikali kama ingeruhusu vurugu za siasa mikoani nchi nzima kama vile kuna uchaguzi mwingine October 2026. Wacha wananchi wafanyekazi za uzalishaji mali badala ya kukumbana na misafara na kelele za wanasiasa.

Mungu mbariki Katambi.
Hivi nyie ngumbaru ni nani aliyewadanganya Ulaya na Marekani uchaguzi ukiisha mikutano ya kisiasa nayo inaisha? Nyie mipumbavu pengine hata kuvuta mipaka ya Tanzania hamjawahi ila nyenyenye Ulaya na Marekani hakuna mikutano ya kisiana baada ya uchaguvu. Pumbavu msiongee kitu msichokijua bloodfuckin
 
Hata maana ya demokrasia huijui,hivi ccm ndio wameishiwa kiasi hiki?
Kaka demokrasia sio kuitisha maandamano siku ya uchaguzi siku ya sherehe za uhuru wa taifa, au siku ya sherehe ya Sabasaba ambayo watanzania na wageni wana haki ya kuhudhuria na kulindwa waende na kurudi salama majumbani kwao.

Mtanzania wa kweli hawezi kuitisha maandamano kwenye siku kama hizi. Hata Marekani hakuna mikutano ya hadhara ya siasa eakati wakati huu wa kombe la dunia. Kama tukicheka nao hawa watafanya mikutano ya hadhara wakati wa mashindano ya AFCON hapa nchini. Tuwadhibiti sasa na milele kwakua hawana nia njema. Wanajua makosa ya Tundu Lissu ndio maana wanataka kutumia nguvu.
 
Hata Muamar Gagafi alikuwa na mawazo ya kipuuzi kama wewe

Wananchi wake wenyewe wakumuulia kwenye mitaro michafu
Aliuliwa na NATO sio wananchi. Sasa baada ya kumuua walipata nini? Maisha yaliboreka? Wana amani?.

Yaani unataka nasisi tuwe kama Libya?
 
Illiterate chawa with zero exposure, hizo nchi ulizozitaja tunahangaika nao huku kwa mabeberu yaani wamejazana kama nyenyere(sisimizi) na hawatakaki kabisa kurudi kwa kuwa wameshaonja raha za kuishi kwa uhuru.
Tembea ujionee dunia ilivyo, hiyo elimu(brainwashing) mnayopewa na wenyeviti wenu huko vijijini kwenu it's sadly contrasting reality.
Kaka ni wapi kuna raha? Magereza ya Marekani yamefurika vijana, homeless kibao, ombaomba kibao, vijana wanafanyakazi kama punda; kazi/shift tatu kwa siku ili kumudu maisha na kulipa madeni. Unadhani sisi hatuna exposure? Vijana wa Waafrika hatufanyi kazi tukiwa Afrika.
 
Umefanya utafiti ukagundua watanzania hawahitaji haki?
Wewe nikikupiga kibao na nisichukuliwe hatua za kisheria utakuwa na amani?.
Haki ndio msingi mkuu wa amani.
Anayebisha ama ana tatizo la kiakili au ana maslahi binafsi.

Mungu ibariki Tanzania.
Wangapi huko wanapigwa na kutukanwa na kuishia hukohuko mitaani? Watu wanawashika matako wahudumu bar hadharani bila kukutana na mkono wa sheria.
Huku tuliko sisi hata ukimsonya mtoto wako atakuitia polisi ukamatwe sembuse umpapase mhidumu matakoni.

wanasiasa wa tz wanafanya vurugu za kutafuta pesa sio kutafuta haki na demokrasia. Ukosefu wa haki na demokrasia sio tatizo la jamii hata kidogo.
 
Amani na maendeleo huku ukiongea ukweli unatekwa na kuuliwa? Kwanza kwa jinsi hali ilivyo na aina ya viongozi Ccm iliyo nayo sasa hivi ni wazi kuwa maendeleo ni kitu kisichowezekana ina viongozi hopeless kabisa wasio na maono wala udhubutu wamekalia ufisadi na ujangili
Inategemea unasema nini na unasemaje. Mbona humu tunatoa maoni yetu ya kila aina tu na hatutekwi?

Kama wewe ni hatari kwa amani na usalama wa wenzako lazima yakukute. Yaani wewe utembee na mke wa mtu halafu mwenye mke umpangie akupe adhabu gani. Yaani wewe tufanye biashara wote halafu utudhulumu pesa zetu halafu utupangie tukupe adhabu gani. Yaani wewe uwe jambazi halafu polisi uwapangie wakupe adhabu gani. Uwe kibaraka wa mabeberu halafu usalama wakukodolee macho tu. Kama ni hivi tutatekwa wengi sana.
 
Kaka ni wapi kuna raha? Magereza ya Marekani yamefurika vijana, homeless kibao, ombaomba kibao, vijana wanafanyakazi kama punda; kazi/shift tatu kwa siku ili kumudu maisha na kulipa madeni. Unadhani sisi hatuna exposure? Vijana wa Waafrika hatufanyi kazi tukiwa Afrika.
Nipo Canada zaidi ya miongo miwili, nakwambia kwamba hizo nchi ulizozitaja watu hawazamii huko na lakini the opposite is what's happening. Watu huzamia nchi za magharibi na kwa kupambana wanaanza kutuma pesa kwa ndugu zao na 'kuwavuta' ndugu wa karibu(family), kama umetembea nchi tofautofauti around the world naamini unajua jinsi tofauti ya standards za maisha ilivyo.
 
Libya ilikuwa nchi yenye raha, sasa hivi vijana wa Libya wanafia baharini kuikimbia nchi yao. Eti Heche akiwa majukwaani anatoa mifano ya Libya, Hitler na Sudani. Kweli tz tuwe kama Lybia na Sudani kwa maslahi ya nani?
 
Hao wanaotekwa na kupotezwa sio watanzania?

Utataka vipi amani au uwe na amani endapo ndugu yako mlionana au kuongea nae October 29 halafu hadi leo hujui yupo hai ai amekufa baada ya miezi 8.

Utakuaje na amani watu wanatekwa mchana kweupe halafu baadae tunaambiwa walijiteka?
 
Ni idadi ngapi ya Watanzania wanaishi Survival mode?

Ukijua Hilo tu utajua kuwa Maandamano hayawezi kufanikiwa hata kidogo.

Watu ambao hawana uhakika wa kula mpaka watoke wakafanye kazi , jiulize how they gonna survive wakiandamana.
Ukiona wanashikia bango kufanyika kwa maandamano wakati tunaishi kwa mkono kwenda kinywani tambua kwamba wanaoandaa hayo maandamano wanao uhakika wa kulipwa pesa chafu na waliopo nyuma ya harakati zao.

Hasara ya zile vurugu za siku moja kila mtu aliziona lakini Mange, Maria, Nuruvazi na wanaharakati wengine hakuna kati yao aliyeathirika kiuchumi kupitia vurugu zile.

Wanataka kuwaingiza mkenge vijana wengi wanaoishi kwa kuikimbiza senti kila siku kwa kutoka jasho jingi.
 
Libya ilikuwa nchi yenye raha, sasa hivi vijana wa Libya wanafia baharini kuikimbia nchi yao. Eti Heche akiwa majukwaani anatoa mifano ya Libya, Hitler na Sudani. Kweli tz tuwe kama Lybia na Sudani kwa maslahi ya nani?
Mpuuzi yule jamaa, alishalipwa pesa na wazungu sasa anataka kuwaonyesha waliomlipa kuwa hiyo pesa imeshatumika.
 
Back
Top Bottom