Watanzania waliosoma Havard

Watanzania waliosoma Havard

Na mimi nishamaliza MPH Havard. Teh teh teh teh!!!
 
Mwanasiasa,

Sijui hoja yako inalenga wapi Kwani sidhani kama unawafahamu maprofesa wote duniani. Kumbuka saa hupimwa kwa marefu ya nyuzi - meridian kwa hiyo hapa Profesa aliyeko karibu nahuyo Kamala sijui ni yupi unayemtaka na atoke nchi gani ili upate kukubaliana na biashara hii ya Elimu.

Nimekwisha sema njia rahisi kabisa ni mmoja wenu a-apply shule tena kwa masomo yaleyale ya hao akina Nchimbi na Kamala kisha utawapata hao maprofesa na kuzipata data zao.

Ebu niwaulizeni hivi kweli ukiumwa na ukatibiwa nyumbani kwa daktari ambaye ni msataafu Kenya huwezi kupona kwa sababu tu hana address ya Muhimbili au Zahanati?...Je, huyu daktari tena Profesa atakuwa na upungufu gani ikiwa ataamua kufundisha medical ktk chuo kilichosajiliwa Marekani! hali hakuna mtu Marekani anayefahamu walimu wake..

Jamani tunajaribu kutafuta kitu gani hapa?... Digri ya Tumaini haitambuliwi Marekani, Je hii ina maana digri hiyo ni fake? Naa hata kama ina address na majina ya maprofesa wa Tumaini hii itamsaidia nini msomi wa Marekani?

Nachosema mimi Commonwealth open na vyuo kibao vya aina hii vinatambulika ktk baadhi ya nchi na institutions. Sijaona sheria ama sehemu inayosema taasisi fulani ya Elimu Tanzania haitambui cheti cha COU na sababu kubwa ni kuwa open university!

Mwanasiasa, Ukiangalia madai ya wote humu ni hayo ya COU kutokuwa na address, mshikaji siku hizi biashara inafanyika watu wakiwa angani na wengine kaburini... biashara sio address, leo hii ktk IT kuna kampuni kibao ukipiga simu unaongea na mtu toka Delhi, India ama Accra, Ghana akizungumza kama yupo vile Frolida, Marekani na kukupa ushauri wa ktk ununuzi wa share. Dunia ya mtandao ni kasi mpya tofauti kabisa na ile yetu tuliyokulia ya kucharazwa bakora na kukaa darasani masaa manane!..


Kukaguliwa uniform, meno na kucha na kupewa adhabu ya kutorudi shule mpaka umekuwa safi... familia maskini hakuna anayejali wala sii swala la shule. Ufugaji kucha siku hizi ni ulembo kwa akina mama, wengine wana meno ya dhahabu na vipini ktk ulimi. Lakini zina-charge kishenzi! Dunia mpya hii jamani kubalini changes mpango wa UDSM na Havard siku hizi siii majengo tu unaweza kusoma hata Havard kwa kupitia mtandao na address yake kwa elimu ya mtandao ikiwa tofauti kabisa na hiyo unayoifahamu wewe.

Ibrahim lipumbs
 
faizafoxy

tuwe wa kweli hatuna pa kumuweka na urasimu wa serekali ya maccm ni sumu na mjua yule mtaalamu wa cuma aliyepo scandnavia country huko ansema walisomeshwa na nyerere kuja kuzalisha chuma na makaa ya mawe na madini mengine, wamemaliza shule na wamebobe sasa wamerudi ndc na serekali ya mkapa waliwapiga chini na kuwadharau na sasa wamerudi hukohuko wanaendlea na maisha.

Ona huyu mbona nasa walimruhusu.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-10-most-intelligent-people-in-the-world.html

3. Kim ung yong – 210 iq


this south korean has a tremendous capacity for both numbers and languages. He started speaking when he was only six months old. By the time he was three years old, he could read several languages already, including korean, japanese, german and english, as well as solve complex calculus problems. He also wrote poetry in chinese and korean and compiled enough essays and poems for two books. He was already auditing college courses when he was four. Nasa then invited him to study in the u.s. When he was eight. By the time he was a teenager, he was already working for them. He then returned to korea and switched fields from physics to civil engineering. He then published 90 papers about hydraulics.
hawa ndio extra ordinary da.oky
 
Ni nani na yuko wapi now?

He went on to Havard University for his graduate and doctoral studies in Economics......

he studied there

Ni she not he,alikuwa anasoma Agakhan mzizima akapata scholarship kupitia International school of Tanganyika.Ni mtoto wa jaji mstaafu aliyesimamia kesi ya babu seya.She is bright hatari
 
Back
Top Bottom