Kwa kusema ukweli ulio moyoni kwangu Sioni Kama kuna faida ya Taifa kuwajua. Kuna Watanzania kadhaa ni Maprofesa wa vyuo vikubwa Marekani na Canada. Kuna Watanzania wanafanya kazi sehemu nyeti akiwamo mmoja ni namfahamu personal yuko pale Cape Canaveral ( NASA) pale Florida. Kuna vichwa viko IBM n.k. Kama Taifa halikutambua au halitambui hivi Vichwa basi Taifa linastahili kutopata faida ya michango Yao kwa Jamii na Ulimwengu kwa ujumla. Asante mkuu.
Justinian Rweyemamu
Hawa wawili wa chini nilikutana nao Maryland near Washington DC.
Somebody Daghar, Orijino Tanga.
Dr. Ahmed M. (B/M and PhD) zote Harvard. USA hawamwachii huyu hata kidogo yupo NSA, Orijino Dodoma.
mkuu hyo taarifa yako sio kweli,NSA hawaajili mtu kama sio mmarekani,secret service yoyote haiajili mtu km sio mmarekan vngnevyo akane uraia wake maana atakua anafanya double agenting,labda km n special agent,na special agent awe anafanyia kaz zake nje ya usa sasa km yuko pale pale usa jambo hlo haliwezekan.
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?
Mulugo