excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,861
Kuna ex wangu anaitwa Wende Kisamfu...najutaaa kumpotezea
eeenh!..
Kuna ex wangu anaitwa Wende Kisamfu...najutaaa kumpotezea
Wapo wengi sana mkuu ,hata vijana wetu wa pale umenyeni (Iliboru ) walikuwa wanapata scholarship ila siku hizi naona watakuwa wanapewa vijana wa wazee wa chama . Wengine wamerudi bongo wanasaidia ujenzi wa taifa.
PAULSEN MRINA
STEVEN HABAKUKI
SARA CHECHE
Ni she not he,alikuwa anasoma Agakhan mzizima akapata scholarship kupitia International school of Tanganyika.Ni mtoto wa jaji mstaafu aliyesimamia kesi ya babu seya.She is bright hatari
Sawia mkuu,tukumbushane enzi za akina Mwaihojo,Yamsebo n.k
nimetoka pale mwaka jana.
Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kachukua Phd yake Havard
phd ya nini?
usmart
Kwani school fee kwa bachelor degree ya LLB ni sh.ngapi?maana matokeo yetu form six yameshatoka
Na qualification ni zipi?
Kwani school fee kwa bachelor degree ya LLB ni sh.ngapi?maana matokeo yetu form six yameshatoka
Na qualification ni zipi?
Kwa wale tulio Marekani tunaelewa kuwa KAMA HUNA KICHWA HATA APPLICATION YAKO HAIANGALIWI HAPO HARVARD! Kupata admission tu ni TABU lazima uwe na CV na vyeti vya shule zilizopita viwe vina misonge. Huku hakuna hongo hata kama nchi inakulipia if you can not meet their standards SORRY YOU ARE GONE. Hembu tuchambue mambo kwa kina na kujua habari kamili, ni kweli hawa watu waliosoma HARVARD NI VICHWA na wangesaidia sana nchi katika maamuzi yake.. Saying that nina maanisha kuwa AFRICA BADO TUNA MAWAZO FINYU tunadhania yale yanayoendelea AFRICA yapo dunia nzima huku HAKUNA MTOTO WA WAZIRI AU RAIS SHOW ME YOUR GPA AND I WILL GIVE A JOB OR EDUCATION. Ndo maana wengi wetu tuliokuja kusoma huku tulibaki cause the sysytem is clean otherwise tusingepata kazi za kiofisi kuna watanzania huku ni Directors wa makampuni, madaktari na wengi wanaongoza ofisi na wazawa wa nchi hii hakuna mjomba wala shangazi unaona kazi unaomba wanaagalia GPA yako au work history yako wanapiga simu kwa waajiri wako wa zamani if you are clean YOU GET A JOB... WAPENI SIFA WALE WANAOSTAHILI. HONGERENI MLIOSOMA HARVARD HATA HUKU MAREKANI UKISIKIA MTU KASOMA HUKO UNAONYESHA HESHIMA
So far nawajua wawili tu
Andrew Chenge, na Arnold Kileo...
kuna mtu anaweza ku list wengine ambao wamesoma chuo hiko maarufu
na wengi wanasema ndio the best in the world?