Watanzania tuwe makini na vyombo vya habari vya Kibeberu. CNN wazusha kukamatwa kwa Freeman Mbowe ni amri ya Rais Samia!

Mimi binafsi sioni tatizo CNN kuripoti kushikiliwa kwa Freeman Mbowe ni kwa amri ya Rais huo ndio ukweli usiopingika. Polis hawawezi mshikilia mtu kwanza halafu ndio watafute ashahidi wa kumtuhumu. Any action like that must be communicated to the President before taking such action to arrest the Chairman of the main opposition party. Kwa nchi zenye siasa uchwara tu ndio wanaoweza kuja na hoja mfu kiasi hiki.
 
Kwenye issue kama hizi anaetazamwa ni Rais sio mtu mwingine, Unaona Ubalozi wa marekani, Bunge la Marekani hawawezi kuwalaumu Police rather the head of state. Anaeshikilia mahusiana ya kimataifa ni Rais mwenyewe sio mtu mwingine.
 
Umeanza kupoteza credibility , nazani hii account is hacked
 
Mkuu kuhusu uzalendo usiwe na shaka hakuna watu wazalendo kama wapizani kwenye nchi hii ila polisi na usalama wenu wa ccm taifa ndiyo mnao haribu hili Taifa kwa kutengeneza mambo ya hovyo kabisa , halafu yanafumbiwa macho kwa kigezo cha uzalendo, uzalendo gani wa kutengeneza kesi za kubumba bumba kama Taifa hili halina misingi ya kiinteligensia?
Hata ukijaribu kuwatuhumu CNN jaribu kujiuliza GAIDI Mbowe ameanza kuwa GAIDI juzi baada ya kuwa mstari wa mbele kwenye chokochoko anazo dai mama kudai Katiba Mpya ni Chokochoko?
Hakuna jambo linalo udhi sana kwa wananchi wazalendo kama kubambikiana kesi za kukomoana , kwa nyie wanaccm jambo hilo KWENU ni furaha kwa vile hamjawahi kufeel maumivu ya wengine.
 
Pascle unatafuta uteuzi na hautaupata! WEW NI FUNGU LA KUKOSA. Warioba alikuita TBC utetee huo ujinga wako. Hatushangai kusikia ulitetea maana uliitwa na chombo cha umma utetee serikali, tena kwa kulipwa posho kwa mda wako.
Matter of fact; mbowe alikamatwa kwa maelekezo. TANGU LINI KUDAI KATIBA LIKAWA JAMBO LA UGAIDI. Alafu unatetea upumbavu mtu. Mayala kama jina lako njaa unaivalia kibwalya. Umri umekwenda sas hauna means za kupata mkate ukaona uwalambelambe uliokuwa unawakosoa ili upate posho ya kutukana CNN. Watakuwekea BAN ukose makongomano ya nje ndo akili itakukaa saw
 
Mleta mada ni wale wale wachumia tumbo!! Lini mtakuwa na values za ukweli??? Yaani msikilize dhamira zenu zinasema nini??

Wewe unadhani ni nani Tanzania anaweza kuruhusu ubambikizaji wa makosa makubwa kama ya ugaidi???? Be true to yourself!!
Uwaziri nafasi zimejaa. Ubunge zimejaa. Ukuu wa mkoa na wilaya zimejaa. Labda utapata ukurugenzi!!!
 
Paschal unashindwa kuelewa kuwa Rais wetu ni Mkuu wa nchi, Ni Amiri jeshi Mkuu, na kubwa zaidi Ni Mwenyekiti wa CCM taifa??? Na kubwa kuliko yote ni kuwa Rais wetu hashitakiwi na wala halazimishwi kufuata ushauri wa mtu yeyote wakati akitekeleza majukumu yake???

Kutokana na sifa hizo alizonazo, hawez kuepuka chochote kinachofanywa na vyombo vyake vya ulinzi na usalama. kwa vyovyote vile matukio yote yanayotokea katika nchi ni lazima yawe na baraka zake.
Kwa hiyo, hili la mbowe ana mkono wake na hawez kukwepa lawama.
 
Kitendo cha kubambikia watu mashitaka hakijapokelewa vyema na watanzania. Tutende HAKI siku zote. Kuwaonea watu na kuwaweka watu magerezani huku wewe ukila na kushiba ni kumkosea Muumba mbingu na Dunia.
Mkuu Akasankara , kwani ni yeye?, yaani wewe unakuwa kama hawa mabeberu?, maadam kesi inasikilizwa, nashauri tusiingilie uhuru wa mahakama, nadhani hata Mama hapendi hizo mambo.
Wewe usiwe kama wale mabeberu kudhania hiyo kesi ni mpango wa Mama.
Mimi kwa maoni yangu, hii wiki inayoanza kesho haiishi kabla DPP hajapeleka Nolle!.
P
 
Hiyo mahakama inayoambiwa isiingiliwe uhuru wake, Je iko huru?
 
umeanza kum
umeanza kumega kwa upendeleo sasa! huyo ni mama tu siyo ndo mnene wa nchi bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…