Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Endapo una Elimu inaweza kukubeba kwa namna fulani.

Lakini inategemea dhumuni ni nini kama utaweza, unaweza kwenda kitalii then mengine yataendelea.
Mbona dhumuni nishasema huko juu kunilipua mkuu

Elimu sina mkuu...

Acha nifanye ya kitalii kuna vin'gombe vya mzee nitaomba gawio nipate fwedha.
 
Mbona dhumuni nishasema huko juu kunilipua mkuu

Elimu sina mkuu...

Acha nifanye ya kitalii kuna vin'gombe vya mzee nitaomba gawio nipate fwedha.
Sawa lakini usikurupuke na vyema kabla ya kuomba gawio uanze kwa kutafuta connection mahala husika.
 
Kwa Switzerland experience kwanza jifunze atleast kijerumani,after, tafuta passport then visa ingawa kupata sio issue sana kama unakuja kama mtalii,kama umesoma angalia namna utapata fursa kuja kusoma hapa ukifka sasa kazi ni kwako. But kwanza jikamilishe financial uje kama mtalii baada sasa mengine yafate

But njia pekee itayokufikisha Europe kirahisi kama mtafutaji ni kufanya kazi na mashirika ya kimataifa UN, UNESCO etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
HV mkuu ada inaweza kufika kiasi huko kwa coz za afya kama nursing level ya bachelor. Na kama una kama 30m hv kanaweza kutosha kwa kuanzia?
 
Wakuu nataka kujilipua nipeni direction basi....nipo kijijini mambo ya hati za kusafiri sijui...hivyo atakayenielezea aanzia A-Z.

Nikitaka kujilipua huko ulayani nifanyeje?
Ukitaka kujilipua andaa petrol na kiberit alamsiki
 
Ama kweliiii!!Ningekuwa wewe iyo 30M naitupa kwenye Ujenzi..Yani Ile Paaa!Kiwanja Nachukua Cha Million 5,Hapa Jijini Mwanza,Maujenzi Ujenzi Mengine Yanakamilika Na amia..Wewe weka rehani 30M Bila shuguli Muhimu Uko Uswisi.Utajuta Kucheza Iyo Kamali.
HV mkuu ada inaweza kufika kiasi huko kwa coz za afya kama nursing level ya bachelor. Na kama una kama 30m hv kanaweza kutosha kwa kuanzia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ama kweliiii!!Ningekuwa wewe iyo 30M naitupa kwenye Ujenzi..Yani Ile Paaa!Kiwanja Nachukua Cha Million 5,Hapa Jijini Mwanza,Maujenzi Ujenzi Mengine Yanakamilika Na amia..Wewe weka rehani 30M Bila shuguli Muhimu Uko Uswisi.Utajuta Kucheza Iyo Kamali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huo utaratibu was ujenzi kitambo sana sasa tunaangalia mambo mengine ambao hawajafanya wanayo nafasi ya kufanya ivo.
 
Watu wana smartphone ila hawajui kutumia google. Smdh
 
Ama kweliiii!!Ningekuwa wewe iyo 30M naitupa kwenye Ujenzi..Yani Ile Paaa!Kiwanja Nachukua Cha Million 5,Hapa Jijini Mwanza,Maujenzi Ujenzi Mengine Yanakamilika Na amia..Wewe weka rehani 30M Bila shuguli Muhimu Uko Uswisi.Utajuta Kucheza Iyo Kamali.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ama kweli tumetofautiana..yaani 30 mwenzako anajichanga then aje ajenge kisa? Ah wap...! Ningekuwa mimi ningeizungusha kwenye biashara kwa miaka kadhaa !sijajenga bado kwahyo hela aisee! Zungusha kwa biashara hakikisha kila mwezj una return ya 3-4m! Hiyo profit ndo nngeanza ujenzi mdogo mdogo!
 
Back
Top Bottom