Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Sawa sawa now you are talking.

Kwa hiyo nikifika eyapoti wanahitaji kwa 2 weeks walau niwe na kiasi gani cha fedha mkuu cha kunisupport Uswizi?

Nikiruhusiwa kupita eyapoti niende wapi? Niianzie wapi?
Uswiss sio cheap as most think naweza sema ni amongst most expensive places in Europe yaweza Kua namba moja.

Airport hawakuulizi yote yaliisha pale ulipoomba visa sasa umeshaipata utakutana na maswali mbuzi tu ambayo kimsingi hayana umuhimu.

Minimum amount ya kutumia hapa as tourist ambae huna mtu unafahamiana nae atleast uwe na pesa sio chini ya 700CHF which is equivalent to 1.5 ( kwa maisha ya AIR BNB) a week but kwa kusema hotel za kawaida andaa 1500CHF= a week sababu hotel ni gharama sijawah ona. But utakua salama sana kama unawana unajuana nao hapa. But unaweza kujipanga ukajibana sijui how.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kujua tofauti ya Melted Cheese na Cheese Fondue. Juzi Parabora alisema anakula melted Cheese na Cheese Fondue. Tehtehteh
Ntakudanganya mimi sio mtu wa cheese tangu nipo hapa uswiss siku ya kwanza but hicho aluchokizungumzia jamaa hakijui ndio maana alikupanga. Hiyo kitu kimoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi najua kifaransa. Fondu(e) kwa kiingereza ni melted. Sema Ufaransa melted Cheese wanaita Fromage fondu.
He's fake nasubir anitafute mpaka leo kaingia mitini
Screenshot_20200513-151447.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mjingamimi, kiukweli kwa majibu yake kwenye huu uzi,yaani ni bonge la mstaarabu.
Nimesoma nyuzi zote za Full evidence na ya utetezi,nami nikiri huyu jamaa kuna utata. Kama akitudhihirishia kuwa yupo huko Uswiz pasi na shaka,basi litamfutia tuhuma zote,ila mpaka athibitishe.
 
Kuwa makini usije sema haukuambiwa
Mkuu mjingamimi, kiukweli kwa majibu yake kwenye huu uzi,yaani ni bonge la mstaarabu.
Nimesoma nyuzi zote za Full evidence na ya utetezi,nami nikiri huyu jamaa kuna utata. Kama akitudhihirishia kuwa yupo huko Uswiz pasi na shaka,basi litamfutia tuhuma zote,ila mpaka athibitishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaangaikaga na Ulaya yaani miye wali nazi nimwachie nani, nendeni miye mpk kieleweke uko ntakujakutembea
Siendi huko mimi
.
Mademu hamna huko. Unakuwa memba wa CHAPUTA wa kudumu. Ukikaa vibaya unageuzwa ww.
 
Back
Top Bottom