UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
- Thread starter
- #81
Hapo ni Bern kama mtu wa kujichanganya na mtafutaji kweli panafaa na panatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Lucerne ni German speaking au swiss Germany mwambie akajitutumue laussanneKwa kutumia French sogea Luzern au Lausanne.
Details. Yaani hapa ukifanya mishe zipi unatoka ?Hapo ni Bern kama mtu wa kujichanganya na mtafutaji kweli panafaa na panatoaView attachment 1448202View attachment 1448203View attachment 1448205
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ukifika inakuwaje ?unaishi wapi ?Maana hapa unasema akajitutumue Laussanne how ?Lucerne ni German speaking au swiss Germany mwambie akajitutumue laussanne
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu @Parabora,kweli wewe upo Uswiz,maana majibu yako yote yamejaa "ustaarabu" wa Uswiz. Mungu akubariki sana.😀 😀 usijali mkuu, mimi nitawajibu kwa kile wanachouliza bila kujalisha wanamaanisha au la
Probably Bern, Vaud na GenevaLucerne ni German speaking au swiss Germany mwambie akajitutumue laussanne
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu? Connection? Vipawa? Uwezo?Sasa ukifika inakuwaje ?unaishi wapi ?Maana hapa unasema akajitutumue Laussanne how ?
Acha nijikalie hapa buza nichome mihogo yangu.Elimu? Connection? Vipawa? Uwezo?
Nimeuliza dada, mbona unakata tamaa?Acha nijikalie hapa buza nichome mihogo yangu.
Mabaharia tunaelewa sana mkuuVp madem wapo wakutosha? Hawasumbui wakitongozwa na waafrica? Mnaweza kuona nimeuliza ujinga ila kwangu ni swali la muhimu. Nawasilisha
Sent from iPhone 6s Plus


😂😂 nakubali
Sioni nafikaje huko,nina watoto. Naanzia wapi beba wanangu kwenda mahali sijui nitaishije ?Nimeuliza dada, mbona unakata tamaa?
Zipo nyingi sana minimum salary kwa mtu wa chini ni 2500CHF by law chini ya hapo unamshtaki muajili wakoDetails. Yaani hapa ukifanya mishe zipi unatoka ?
Kufika ni jambo moja kupata visa ni lingine kupewa resident permit ni extra jingineSasa ukifika inakuwaje ?unaishi wapi ?Maana hapa unasema akajitutumue Laussanne how ?
Kujilipua wapiWakuu nataka kujilipua nipeni direction basi....nipo kijijini mambo ya hati za kusafiri sijui...hivyo atakayenielezea aanzia A-Z.
Nikitaka kujilipua huko ulayani nifanyeje?
Zipo nyingi sana minimum salary kwa mtu wa chini ni 2500CHF by law chini ya hapo unamshtaki muajili wako
Ukiwa jobless kuna social fund 900CHF a month nyumba unapewa health insurance na serikali kwa masharti ya kawaida tu.
Kazi zipo nyingi sana but muhimu saaaana ni elimu ukiwa na elimu hapa utapapenda japo zipo dirty job zisizohitaji shule but risk sana
Sent using Jamii Forums mobile app

Victoire ukitumia hii formula nauhakika unaweza.Kufika ni jambo moja kupata visa ni lingine kupewa resident permit ni extra jingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshaamua kubaki Buza.Victoire ukitumia hii formula nauhakika unaweza.