Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Hongera! Huwa unafika Apostelnstrasse 19?
Huwa napenda kujivinjari mto Rhine Sambamba na makubusho kedekede hapa mjini,ikizingatiwa mji huu Ni mji wa kitamaduni,mji huu ndio kitovu cha waafrika hapa ,Pia ni mji wenye wakatoliki wengi,ujerumani asilimia kubwa ni walutherani
Kuna kanisa kubwa la katoliki ambalo inasemekana mamajusi wa mashariki(kwa wakatoliki wanajua) inasemekana wamehifadhiwa
Cc
instanbul
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom