isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Yes naona due Updates imenilazimu ni quote tena. Hakika Mkuu na style yake ya ujenzi naona imefanana na mfumo wa Mikoa miwili maarufu kwa Kahawa na Ndizi hakuna tall buildings za kutisha. 😉Huwa napenda kujivinjari mto Rhine Sambamba na makubusho kedekede hapa mjini,ikizingatiwa mji huu Ni mji wa kitamaduni,mji huu ndio kitovu cha waafrika hapa ,Pia ni mji wenye wakatoliki wengi,ujerumani asilimia kubwa ni walutherani
Kuna kanisa kubwa la katoliki ambalo inasemekana mamajusi wa mashariki(kwa wakatoliki wanajua) inasemekana wamehifadhiwa
Cc
instanbul
Sent using Jamii Forums mobile app
