Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Nipo serious kiongozi...

Nataka kuja Ulaya kaka nami nichakarike.
Kwa Switzerland experience kwanza jifunze atleast kijerumani,after, tafuta passport then visa ingawa kupata sio issue sana kama unakuja kama mtalii,kama umesoma angalia namna utapata fursa kuja kusoma hapa ukifka sasa kazi ni kwako. But kwanza jikamilishe financial uje kama mtalii baada sasa mengine yafate

But njia pekee itayokufikisha Europe kirahisi kama mtafutaji ni kufanya kazi na mashirika ya kimataifa UN, UNESCO etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hiyo kazi na hayo mataifa nitaipata wapi mkuu!

Tuje hiyo njia ya juu. Kuja kama mtalii...natakiwa niwe kama na shilingi ngapi?
 
Uzuri wa ulaya unaweza kupiga kazi yoyote bila kuona aibu kwasababu hakuna ndugu au marafiki wanaokuona ndo maana napazimia. Bi mkubwa akikuuliza unafanya kazi gani huko unamwambia ni mfamasia mkuu wa BERN case closed.
😂😂😂😂
 
Sasa hiyo kazi na hayo mataifa nitaipata wapi mkuu!

Tuje hiyo njia ya juu. Kuja kama mtalii...natakiwa niwe kama na shilingi ngapi?
Well kama mtalii atleast uwe na kazi hapa nchini,pili uwe na bank statement 6-7 months nyuma(sikumbuki vizuri).
Huwe hujawah kunasa kwenye any criminal case (hati ya Tabia njema)
Ujue utafukia hotel gani
Uwe sure utakaa siku ngapi(vizuri kusema utakaa atleast 1-4 weeks kuonesha huna nia ya kuishobokea nchi yao
Yellow fever is not a must
Taja specific place mfano kama unataka kwenda Canton flan uwaambie nini kimekusukuma kiutalii.
Uwe na cheti cha kuzaliwa sio chini ya miezi 6
Kilichokuwa confirmed lita
Uwe na flight ticket au booking sababu wanaamini taarifa ulizojaza ni honest
Ukimeet vigezo vyao Visa ni two weeks then karibu uswiss
20200513_123958(0).jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well kama mtalii atleast uwe na kazi hapa nchini,pili uwe na bank statement 6-7 months nyuma(sikumbuki vizuri).
Huwe hujawah kunasa kwenye any criminal case (hati ya Tabia njema)
Ujue utafukia hotel gani
Uwe sure utakaa siku ngapi(vizuri kusema utakaa atleast 1-4 weeks kuonesha huna nia ya kuishobokea nchi yao
Yellow fever is not a must
Taja specific place mfano kama unataka kwenda Canton flan uwaambie nini kimekusukuma kiutalii.
Uwe na cheti cha kuzaliwa sio chini ya miezi 6
Kilichokuwa confirmed lita
Uwe na flight ticket au booking sababu wanaamini taarifa ulizojaza ni honest
Ukimeet vigezo vyao Visa ni two weeks then karibu uswiss View attachment 1449022

Sent using Jamii Forums mobile app

Sawa sawa now you are talking.

Kwa hiyo nikifika eyapoti wanahitaji kwa 2 weeks walau niwe na kiasi gani cha fedha mkuu cha kunisupport Uswizi?

Nikiruhusiwa kupita eyapoti niende wapi? Niianzie wapi?
 
Kwa Switzerland experience kwanza jifunze atleast kijerumani,after, tafuta passport then visa ingawa kupata sio issue sana kama unakuja kama mtalii,kama umesoma angalia namna utapata fursa kuja kusoma hapa ukifka sasa kazi ni kwako. But kwanza jikamilishe financial uje kama mtalii baada sasa mengine yafate

But njia pekee itayokufikisha Europe kirahisi kama mtafutaji ni kufanya kazi na mashirika ya kimataifa UN, UNESCO etc.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo njia ya pili unaeza kuelezea kidogo na sisi tupate uelewa.
 
Back
Top Bottom