Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Duuh ! Na je kama degree nilipatia hapa bongo na masters chuo cha nje bado itakua ngumu kupata kazi ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kama masters ulipata chuo cha nje umelamba dume. Unajua uswiss bureaucracy hawanaga Longo Longo but wako very optional kwenye swala hili la kung'amua a competible degree,masters au diploma etc kwao wanaamini vyeti halali kuliko sehemu yeyote naweza sema duniani

s10+
 
Hapo ni Bern kama mtu wa kujichanganya na mtafutaji kweli panafaa na panatoaView attachment 1448202View attachment 1448203View attachment 1448205

Sent using Jamii Forums mobile app
kweli hawa ni mabeberu hii miji unaanzaje kwa upambanaji sasa
kila kitu kipo mahali pake aiseee yaani kama mjasiriamali kutoka huku kwetu kuingia hapa na kuset busines nahis si chini ya mil 50/100 duh huku maji marefu aisee ngojea tukomae hapahapa kwa nyerere
uku ukiona huelewi unaweka banda pembeni ya barabara tayar unatoa huduma ya mpesa/tigopesa
 
Back
Top Bottom