Watanzania tulioko Switzerland

Watanzania tulioko Switzerland

Uswiss sio cheap as most think naweza sema ni amongst most expensive places in Europe yaweza Kua namba moja.

Airport hawakuulizi yote yaliisha pale ulipoomba visa sasa umeshaipata utakutana na maswali mbuzi tu ambayo kimsingi hayana umuhimu.

Minimum amount ya kutumia hapa as tourist ambae huna mtu unafahamiana nae atleast uwe na pesa sio chini ya 700CHF which is equivalent to 1.5 ( kwa maisha ya AIR BNB) a week but kwa kusema hotel za kawaida andaa 1500CHF= a week sababu hotel ni gharama sijawah ona. But utakua salama sana kama unawana unajuana nao hapa. But unaweza kujipanga ukajibana sijui how.

Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa kaka...wacha Corona ikiisha tu nianze harakati za pasipoti kisha viza...

Sema huwa naangalia tiiiviii naona askari wenye mbwa wanasimama pembeni na kuwaita abiria na kuwauliza maswali...kama unaenda wapi? Tuone pasipoti yako.

Wengine naona kabisa wanawadepoti (kwenye tivii lakini) nikajua nikifika wataniuliza maana kiingereza sipo vizuri kabisa naweza jichanganya.

Ila kama mambo yataishia Dar aah hawa tutaelewana.
 
Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UrbanGentleman njia nyingine ya kurahisisha Daby kufika ni mualiko maana utakuwa umempunguzia mzigo. Kama alihitaji kutafuta 1000CHF basi atatafuta 600CHF na hii itamlahisishia kuwa na uhakika wa mapokezi na sehemu ya malazi.

Cost comparison itakuwa imekwatwa kwa mgongo wako. (Inategemea upo vipi)
Sina rafiki au ndugu Ulaya mkuu.
 
Back
Top Bottom